Angalizo kwa haters mkiona faya inamwagia maji ndege haijaungua ile ni salute msije humu kukurupuka inawaka moto

Angalizo kwa haters mkiona faya inamwagia maji ndege haijaungua ile ni salute msije humu kukurupuka inawaka moto

Basi kipaumbele chake ni kufufua mashirika yaliouliwa na kujitahidi kupambana na majizi mbalimbali,hivyo tumsaidie kwenye vipaumbele vyake kama ambavyo wenye vipaumbele vya wizi walisaidiwa na wenzao.
Unakosea kusema hivyo,siamini kama Mwinyi, Ben,Jakaya hawakufanya kitu katika taifa hili,hata kama baadhi ya mambo hayakufanikiwa ila kauli za mtukufu Rais anakosea,afanye ili wengine ndiyo waseme yeye naweza waliposhindwa wenzake.

Si kwamba yeye akimaliza muda wake atakuwa kagusa kila sekta Tanzania, atalaumiwa tu
 
Halafu sasa hivi wewe unakuja hapa unasema eti mwaka jana ATCL iliingiza profit ya $14m. Kawadanganye wajinga wenzio.
Katamka Mtukufu Rais wangu na kasema atawafuatilia akahakikishe,
sasa unashindana na Hotuba au hukuisikiliza? mm uniniingizaje na wajinga wenzangu au nimesikia vibayanisahihishe au sikiliza Hotuba sielewi km ...
 
Hahhaah... ni aibu kubwa kwako kuja na hoja ya kuwa eti Raisi kasema, kwa hiyo kila anachosema raisi ni sahihi?. Unatia aibu kishenzi yani.

Katafute report ya CAG ya mwaka jana usome jedwali number 14.

Ukumbuke kuwa Germany urusi China na uingereza walifanya maendeleo ya vitu mpaka Sasa NI mataifa makubwa na baadhi ya wananchi ni masikini lakini marekani ilienda na vitu vyote vitu/na watu ilishindwa ikaamua kuendeleza vitu kwa hiyo hata haya yanayofanyika siyo yakubeza
Aende Detroit marekani atashangaa kuona walivyo masikini watu wa huko ilhali ndio taifa kubwa kíuchumi duniani.
 
Hahhaah... ni aibu kubwa kwako kuja na hoja ya kuwa eti Raisi kasema, kwa hiyo kila anachosema raisi ni sahihi?. Unatia aibu kishenzi yani.
Katafute report ya CAG ya mwaka jana usome jedwali number 14.
wewe ndio PUNGA NA MSHENZI mkubwa kwani mimi silioni kosa au nacholeta hapa kikufurahishe km mm sikikuaafiki kwa kuona hii si biashara ila ni hasara ndio unilaum
tumia akili kidogo uone ni wapi nimesifia mtaji wa 1bnUSD uzalishe 14m USD
km umelewa kapumzike kesho njoo angalia ni wapi napingana na CAG
ATCL ni bonge la hasara km wewe wazazi wako bora wasingekuleta km ATCL
 
Sawa,lakini ni lini TBC wataonyesha live hali kama hii huko vijijini?

Angalia hapa:

Hivi wewe Bibi unamatatizo gani? Huko Pemba kwa mamako una shamba siukalime? Anyway ngoja nikuambie hao washajengewa zahanati na madawati wamenunuliwa umeme was rea tayari ushawaka wanachaji simu bila shida, ila kumbuka hiyo picha sio Tanzania Ni South Sudan
 
wewe ndio PUNGA NA MSHENZI mkubwa kwani mimi silioni kosa au nacholeta hapa kikufurahishe km mm sikikuaafiki kwa kuona hii si biashara ila ni hasara ndio unilaum
tumia akili kidogo uone ni wapi nimesifia mtaji wa 1bnUSD uzalishe 14m USD
km umelewa kapumzike kesho njoo angalia ni wapi napingana na CAG
ATCL ni bonge la hasara km wewe wazazi wako bora wasingekuleta km ATCL
Bora mzee angevaa ndomu. Hivi wewe na akili zako timamu eti unakuja na kauli ya mtu kama uthibitisho kwamba shirika fulani linaingiza profit, una akili timamu wewe? Kwanza una miaka mingapi? Mimi nmekuletea ile video ya CAG lakini aliyokuwa anayasoma pale yapo kwenye report yake.
 
Sawa,lakini ni lini TBC wataonyesha live hali kama hii huko vijijini?

Angalia hapa:

Aviation Photo #0777422: Gulfstream Aerospace G-V-SP Gulfstream G550 - Tanzania - Government. Miaka kadhaa imepita serikali ya TZ walinunua hii ndege gharama kubwa tu (sina bei kwa sasa) na ni kwa VIP tu. Hatukuulizana kama itawasaidia vipi kule vijijini. Hii ya sasa, ni kwa ajili ya kuhudumia watu wote, na kumsaidia mtu wa kijijini si lazima kuwe moja kwa moja baina ndege na mtu binafsi bali kutokana na waajiriwa wapya, viwanja vya ndege na kadhalika.
 
Huyu ni jembe wa upinzani ila hajui indirect benefits za airline.
Mzee karume sijui alikosea wapi. Angetumia mpira tu.
Hakika hapa alipoteza mbegu zake bure au pengine alitumia mpira Ila ukapusuka wakati wa mchezo na tunaweza kumuita huyu fatuma Kama mtoto wa ajari ya mpira.
 
Airline ina benefits gani? Mshamba sana wewe, unafananisha ndege na maji, hao unaona wana ndege masuala madogo madogo wameshayapita.
Mkuu unalia maji unasiku ngapi hujaoga? Una siku ngapi hujala? Au na wewe Ni mchumia juani tu.
 
Jibu ni hili, pesa ambayo ingetaliwa kuwapandishia mshahara wafanyakazi na kuwalipa vyema stahiki zao zimepelekwa kununua midege, marais waliopita walijali zaid watu kuliko vitu
Ni ukweli usiopingika kuwa WAFANYAKAZI nao pia ni vizuri awakumbuke maana nao wanapitia CHANGAMOTO ngumu za kimaisha maana maisha yamepanda, na MCHANGO wao pia{ KAMA WENGINE }ni mkubwa katika ukuaji wa uchumi wa taifa letu na wanahitaji kukumbukwa.

Yaonekana kuwa kila wakiona NDEGE MPYA, HASIRA zinawapanda maana wanaonwa ni kama wamesahaulika. Ambayo si kweli.
Hata hivyo isiwe SABABU za KUMCHUKIA Rais Magufuli.Maana aliipata nchi hii ikiwa kwenye ICU. Ukweli ni vizuri tuuseme jamani.

NAAMINI kuwa yeye kama KIONGOZI wa taifa ANALIJUA HILI na anajua KILIO cha wafanyakazi na ninaamini KIMEMFIKIA mezani pake.
Na kwa kuwa yeye ni mwenye HURUMA akimaliza PRIORITIES zake kwanza alizoziweka huenda atalishughulikia mapema na pengine VIZURI ZAIDI na vicheko vitakuwa "Smile all the way to the BANK"
Tusubiri tu.
Maana SUBIRA huvuta kheri!
 
Back
Top Bottom