Da realest
Senior Member
- Jan 12, 2019
- 106
- 160
Exceptional kwa wapemba! Wana umoja!
Nenda U.S. nenda U.K., nenda Sweden Norway, watz, hawana asili ya kushikana, roho za kwanini kwa asilimia kubwa, wanaoweza kushikana labda watu wa familia 1.
Wenzetu bamutubaCongo, Ghanaians, Naija, Ethiopians, Somali, Waganda wanashikana ndiyo maana wana diaspora community tofauti na sisi.
Everyday is Saturday................................😎
Mkuu hii sisal ambayo iko in decline balaa from synthetic fibers ina future kweli?Yaani ukiongelea suala la miti misuli ya kwapa inaachia ...kuna jank nmesoma naye huko Mufindi enzi zilee...nimekutana naye last month ana eka 36😭😭🥱🥱😭😭! Kalimia mdabulo...mm siwez panda kwasasa...ntapoteza tu
Fitofu ndema be bei ya viazi ni ndogo mno naona uvv balaa..umelimia kipande kipi? Hongeraa..mie nna mpango labda wa kulima sisal
Mkuu Si bora Somalia, kule hakuna kodi za ajabu ajabu na mizigo ya maana inaletwa kutoka Dubai na Ulaya.Juzi nilienda Ethiopia daah!! kuna njaa ya hatari ombaomba wanawazidi Watalii kwa wingi
Yanini bhana nikapigwe mtungo na umri wangu huu ambao uko adhuhuriMkuu Si bora Somalia, kule hakuna kodi za ajabu ajabu na mizigo ya maana inaletwa kutoka Dubai na Ulaya.
Inalipa sanaMkuu hii sisal ambayo iko in decline balaa from synthetic fibers ina future kweli?
Mkuu pm yako lockedPls do tht...pays a lot...
Short term au long term? Maeneo gani Tanga au Moro nijipande?Inalipa sana
Moro..its 4yrsShort term au long term? Maeneo gani Tanga au Moro nijipande?
Juzi nilienda Ethiopia daah!! kuna njaa ya hatari ombaomba wanawazidi Watalii kwa wingi
Ndio ujue Maflyover sio uchumi ni nuksi tuHAO na Kenya sawaa
Ubarikiwe!Moro..its 4yrs
Duuuuu pole mkuuSouth Noma niliwahi kufata mkumbo mwaka 1990 nikashawishika kwenda South dah nilipofika nilijilaumu sana baada ya kuona maisha halisi waliokuwa wanaishi watz.... Baada ya kufika moja kwa moja tulienda kujitambuliza kwa home wetu kuwa tayar tumeingia basi home boy akatupeleka anakokaa kwenye mgorofa mmoja humo kuna wabongo kama wote.... Yaani sitokuja sahau aisee... Hilo gorofa kila muda ni milio ya risasi namuuliza mwanangu vip ananiambia kuna mtu kazingua kabigwa risasi mara wabongo wale wa kule wamevamia hapa wamepiga watu risasi kisa demu aisee maiti kila muda duh mbaya zaidi rafiki yangu alienitoa bongo kunileta kwa mkaburu asubuhi a naona watu wamejazana chini nauliza naambiwa mwanao kapigwa kisu na wazuru kafa yupo hapo chini polisi(kitenga) bado hawajafika... Nilishangaa sana yaani matukio ya mauwaji ni kitu cha kawaida maeneo hayo... nikaona hapa sio sio sehemu ya kuishi.... Nafanyaje na hela sina akili ikanijia nikajilipue polisi mimi mtanzania naishi South bila documents yoyote labda naeza kurudishwa home kirahis.....thubutu sijaamini nilichikutana nacho baada ya kujitambulisha mimi mtanzania sijui naishi bila kibali.... Picha linaanza nilifukuzwa hapo kituo cha polisi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]... Huko sio kwa kwenda kama una Channel yoyote ya maana utaenda juta
Nahisi jamaa atakuwa ameisahahu jina maana ana reply post nyingine tu lakini post ya swali hili hajajibu hadi sasa...Kiongozi hiyo website inaitwaje tujaribu bahati
Nimeoa wawili?alikua anang'ang'ana aje migodini kule sasa ndo angekufa kwa kunywa mipombr ya bure ah wap ...nampaga za kula tu na tena nampa mkewe maana ndo anateseka
Ila wanajenga bwawa kubwa la umeme!Juzi nilienda Ethiopia daah!! kuna njaa ya hatari ombaomba wanawazidi Watalii kwa wingi
Shukrani sana Rafiki nitakutafutaHaya you know where to find me
Shukrani MkuuMatangazo inabidi uingie kwenye website za nchi zao mkuu, mfano Dubai jobs.
Nyingine wajuzi wataleta.
Ntafanyia kazi hii maana ninazo heka 5 hapo dakawa.Nilitaka kupanda miparachichi ngoja nibadili gea angani.Moro..its 4yrs
Cheki na website yao..ntakuunga na mkulimaNtafanyia kazi hii maana ninazo heka 5 hapo dakawa.Nilitaka kupanda miparachichi ngoja nibadili gea angani.