Angalizo kwa wanaotaka kuja kutafuta ajira Afrika Kusini

Angalizo kwa wanaotaka kuja kutafuta ajira Afrika Kusini

Exceptional kwa wapemba! Wana umoja!
Nenda U.S. nenda U.K., nenda Sweden Norway, watz, hawana asili ya kushikana, roho za kwanini kwa asilimia kubwa, wanaoweza kushikana labda watu wa familia 1.

Wenzetu bamutubaCongo, Ghanaians, Naija, Ethiopians, Somali, Waganda wanashikana ndiyo maana wana diaspora community tofauti na sisi.

Everyday is Saturday................................😎

Yes indeed
 
Yaani ukiongelea suala la miti misuli ya kwapa inaachia ...kuna jank nmesoma naye huko Mufindi enzi zilee...nimekutana naye last month ana eka 36😭😭🥱🥱😭😭! Kalimia mdabulo...mm siwez panda kwasasa...ntapoteza tu

Fitofu ndema be bei ya viazi ni ndogo mno naona uvv balaa..umelimia kipande kipi? Hongeraa..mie nna mpango labda wa kulima sisal
Mkuu hii sisal ambayo iko in decline balaa from synthetic fibers ina future kweli?
 
Mkuu Si bora Somalia, kule hakuna kodi za ajabu ajabu na mizigo ya maana inaletwa kutoka Dubai na Ulaya.
Yanini bhana nikapigwe mtungo na umri wangu huu ambao uko adhuhuri

Wapige mishemishe zao huko huko na mimi nitapigia hapahapa mbagala

Wakija huku sawa
 
South Noma niliwahi kufata mkumbo mwaka 1990 nikashawishika kwenda South dah nilipofika nilijilaumu sana baada ya kuona maisha halisi waliokuwa wanaishi watz.... Baada ya kufika moja kwa moja tulienda kujitambuliza kwa home wetu kuwa tayar tumeingia basi home boy akatupeleka anakokaa kwenye mgorofa mmoja humo kuna wabongo kama wote.... Yaani sitokuja sahau aisee... Hilo gorofa kila muda ni milio ya risasi namuuliza mwanangu vip ananiambia kuna mtu kazingua kabigwa risasi mara wabongo wale wa kule wamevamia hapa wamepiga watu risasi kisa demu aisee maiti kila muda duh mbaya zaidi rafiki yangu alienitoa bongo kunileta kwa mkaburu asubuhi a naona watu wamejazana chini nauliza naambiwa mwanao kapigwa kisu na wazuru kafa yupo hapo chini polisi(kitenga) bado hawajafika... Nilishangaa sana yaani matukio ya mauwaji ni kitu cha kawaida maeneo hayo... nikaona hapa sio sio sehemu ya kuishi.... Nafanyaje na hela sina akili ikanijia nikajilipue polisi mimi mtanzania naishi South bila documents yoyote labda naeza kurudishwa home kirahis.....thubutu sijaamini nilichikutana nacho baada ya kujitambulisha mimi mtanzania sijui naishi bila kibali.... Picha linaanza nilifukuzwa hapo kituo cha polisi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]... Huko sio kwa kwenda kama una Channel yoyote ya maana utaenda juta
Duuuuu pole mkuu
 
Kiongozi hiyo website inaitwaje tujaribu bahati
Nahisi jamaa atakuwa ameisahahu jina maana ana reply post nyingine tu lakini post ya swali hili hajajibu hadi sasa...

Na ni watu kadhaa wameuliza.
Wabongo kazi ipo..!
 
Nimeoa wawili?alikua anang'ang'ana aje migodini kule sasa ndo angekufa kwa kunywa mipombr ya bure ah wap ...nampaga za kula tu na tena nampa mkewe maana ndo anateseka

Mwite aje huko chimbo ashindwe kuokota kuni za kupikia? Ashindwe hata kusogeza mercury au kalai, ashindwe hata kushika scale? Ashindwe hata kuingia kwenye konga hata mara moja? Haiwezekani
 
Juzi nilienda Ethiopia daah!! kuna njaa ya hatari ombaomba wanawazidi Watalii kwa wingi
Ila wanajenga bwawa kubwa la umeme!
Na wana ndege za abiria nyingi mkuu!🤔

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Back
Top Bottom