Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Vitisho vikali tumekuelewaSina maneno mengi sana ila tu ninapenda kuwakumbusha kumuasi Mungu siku ya leo ni sawa na kumuasi Mungu siku ya Qiyama.
Kama wewe muislamu umefunga siku 30 na ukaweka nadhiri kufanya mambo yasiyo mpendeza Mungu siku ya leo mfano kuzini, kunywa pombe, kudhulumu nk elewa ni sawa na umemuasi Mungu siku ya Qiyama.
Hivyo ili kuzilinda funga zenu hakikisheni hamfanyi mambo machafu msije funga zenu zikawa sawa na bure.
Chai...cc Hance MtanashatiSina maneno mengi sana ila tu ninapenda kuwakumbusha kumuasi Mungu siku ya leo ni sawa na kumuasi Mungu siku ya Qiyama.
Kama wewe muislamu umefunga siku 30 na ukaweka nadhiri kufanya mambo yasiyo mpendeza Mungu siku ya leo mfano kuzini, kunywa pombe, kudhulumu nk elewa ni sawa na umemuasi Mungu siku ya Qiyama.
Hivyo ili kuzilinda funga zenu hakikisheni hamfanyi mambo machafu msije funga zenu zikawa sawa na bure.
Fundi seremala wa NazarethMungu yupi huyo?
Leo wenye ma guest, graph yao ya mapato, itapanda sanaaPicha linaanza Lodge na Guest Houses leo zimekuwa fully booked.
MnyaziMungu yupi huyo?
Leo ni siku ya kila mtu kufurahi na demu wake.Sina maneno mengi sana ila tu ninapenda kuwakumbusha kumuasi Mungu siku ya leo ni sawa na kumuasi Mungu siku ya Qiyama.
Kama wewe muislamu umefunga siku 30 na ukaweka nadhiri kufanya mambo yasiyo mpendeza Mungu siku ya leo mfano kuzini, kunywa pombe, kudhulumu nk elewa ni sawa na umemuasi Mungu siku ya Qiyama.
Hivyo ili kuzilinda funga zenu hakikisheni hamfanyi mambo machafu msije funga zenu zikawa sawa na bure.
Natamani hizi nadhiri ziwe kwa siku zote za maisha ya mwanadamu, tuache kumuasi Mwenyezi Mungu, na tuwe wema baina yetu, kama inawezekana kwa siku 30, kwa nini tusiendeleze?Sina maneno mengi sana ila tu ninapenda kuwakumbusha kumuasi Mungu siku ya leo ni sawa na kumuasi Mungu siku ya Qiyama.
Kama wewe muislamu umefunga siku 30 na ukaweka nadhiri kufanya mambo yasiyo mpendeza Mungu siku ya leo mfano kuzini, kunywa pombe, kudhulumu nk elewa ni sawa na umemuasi Mungu siku ya Qiyama.
Hivyo ili kuzilinda funga zenu hakikisheni hamfanyi mambo machafu msije funga zenu zikawa sawa na bure.
Wahakikishe wamevaa mavazi ya kiarabu na makobazi, wahakikishe wamefuga ndevu pia.Sina maneno mengi sana ila tu ninapenda kuwakumbusha kumuasi Mungu siku ya leo ni sawa na kumuasi Mungu siku ya Qiyama.