SeliSelina
JF-Expert Member
- Jun 27, 2014
- 419
- 902
Hii ni sukari kabisa wazee. Sijui sasa inakuaje haijaonekana... kitengo cha research muhimbili kimesemaje?unasukari sema imegoma kua displayed kwenye vipimo
Dahtulia pesa ziongezeke, madonda ya masharti kwa waganga hayajawahi kupona.
Nimetoka kusema jana hii kitumods muwe mna weka angalizo.
PICHA ZINATISHA
Acha upuuzi mkuu.tulia pesa ziongezeke, madonda ya masharti kwa waganga hayajawahi kupona.
It seems kuna ukurasa kachana kwenye hadithi ya kitabu chakeUmeenda India, umeenda muhimbili na umepima hauna sukari ,naangalia namna ya kutoa ushauri nakwama🤔
sasa mtu kafika hadi india kwaajili ya kidonda unafikiri ana uchumi wa kawaida?Acha upuuzi mkuu.
Hadithi yake imekaribisha mitume na manabii ,waganga wa kienyeji waaguzi na mambo ya kishirikiana kimkakati sana🤔🤔It seems kuna ukurasa kachana kwenye hadithi ya kitabu chake