Angalizo la Picha: Donda lisilopona kwa zaidi ya Miaka 10, Naomba msaada wa Dawa

Angalizo la Picha: Donda lisilopona kwa zaidi ya Miaka 10, Naomba msaada wa Dawa

Habari zenu wana JF.

Ninaomba mwenye kujua dawa ya hili donda. Saivi lina miaka zaidi ya kumi, linakauka na kurudia tena.

Hospitali za kawaida mpaka Muhimbili kwa kulazwa mwezi mzima. Limefika hili donda mpaka India. Limepakwa dawa za kunywa na kupaka, za mitishamba.

Likichomoka lina maumivu makali sana mpaka lipate sindano. Linasababisha kukosa usingizi, kutoka nje, na kutokuwa na hamu ya kula.

Sio mgonjwa wa sukari, wala sio kansa. Ni donda tuu lililokuwa haliponi kwa miaka mingi sana.

View attachment 3295772
Nitafute nikusaidie
 
Pole sana mkuu hyo shida alikuwaga nayo mzee sema yeye alkuwa na sukari alipona kabisa njoo dm sitaki sh 10 yako ndani ya week 3 ubakimbia mbio kabisa
 
Ni hatari hi, ila tupe ushuhuda mkuu ni mwaka sasa
Hakiponi kuna maza jana nilimsikia anamzungumzia kijana wake mwenye shida km hio mguu kidonda hakiponi kuna mwingine nimekutana nae hapa katikati ndio kimeanza kidonda hakiponi alinionyesha unaona mguu huu kaka kidonda hiki hakiponi sema yeye ameambiwa amerogwa kwa hio nilimuacha anafanya taratibu za kwenda kwa Sangoma sikuongea chochote
 
wenye tatzo kama hilo waambie wawe wanatumia alovera yale maji yake anakipaka kidonda kesho anasafisha na kupakaa tena.

Huenda ikawafaa.

Kama vipi hiyo dozi anaweza kunywa na juis majan ya mashona nguo siku tatu kwa kusafisha na kuongeza damu.

AFU UTALETA MREJESHO HAPA
 
Afu matatzo kama haya mengi huwa ni sumu ya nyoka.
Nyoka wa kichawi.
Unaweza ukachomwa kijit au mwiba kumbe tiari ni nyoka.

Pataanza kuuma mwisho kidonda ndugu hakiponi.

TIBA
unaweza tumia dawa za kuondoa sumu ya nyoka.
au
kojoa mkojo wako kias kunywa na oga. ule wa ahsubh ndo mzuri.
 
Badilisha diet chief,fanya carnivores diet. Hiyo diet itaondoa inflamation mwilini, sukari itashuka na kidonda kitapona .
 
1. Mtafute dr kawambwa
AU
2. nenda kwa madhabahu ya MUNGU aliye hai ya nabii nicolous suguye, utaenda na matatizo yako na utayaacha pale madhabahuni, utarudi nyumbani ukiwa mzima.
UWE HAI, YESU YU HAI MTU WA MUNGU.

kwa akili yangu kubwa niliyo nayo, ushauri namba 2 unakuhusu. jitahidi kupunguza wimbi la dhambi.
 
Ni ishara Kinga za mwili ziko chini( siyo ukimwi). tuwasiliane kwa 0713 039 875
 
Back
Top Bottom