Angalizo la Picha: Donda lisilopona kwa zaidi ya Miaka 10, Naomba msaada wa Dawa

Angalizo la Picha: Donda lisilopona kwa zaidi ya Miaka 10, Naomba msaada wa Dawa

Pole Sana ulivyoelezea hapo I feel that pains .

Kuna dogo alikuwa na kidonda ila najaribu kufananisha hizi kesi nashindwa kutoa ushauri mzuri anyway nitamuulizia dawa zipi alitumia

Kuna watu wawili walipona vidonda vikubwa vikubwa Ila hii ya kwako is too much ulivyosema umeenda India nimeogopa na kuumia

Anyway I pray for you upone
Tumia hata google unaweza kukusaidia ukamsaidia.
 
Tumia hata google unaweza kukusaidia ukamsaidia.
Mimi sio mtaaalamu wa magonjwa ya binadamu .

Nitakachofanya nitatafuta taarifa kutoka kwa watu ambao waliwahi pitia the same situation na kuona je walitumia dawa zipi.

Nadhani lengo kuu la mtoa mada ni kushare uzoefu na wataalamu pamoja na wadau tofauti .


Mwaka 2009 niliona jambo Kama la mtoa mada Ila alipona muhusika na mwaka jana kuna dogo muuza mayai alipitia the same situation Ila alipona so tunaendelea kujifunza
 
Mwili wa binadamu ni WA ajabu sana.
Mwili wa binadamu mfano wake ni kama mfumo wa gari unavyofanya kazi.
Ukisahau kuweka coolant itasumbua,usipoitunza tairi itasumbua,ukiweka mafuta yenye uchafu itasumbua,ukiibebesha mzigo mzito kuliko uwezo wake itasumbua.
So ikipata hitilafu ili uitengeneze ni lazima kwanza ujue ni nini kilichosababisha tatizo ndio itapona
 
Mimi sio mtaaalamu wa magonjwa ya binadamu .

Nitakachofanya nitatafuta taarifa kutoka kwa watu ambao waliwahi pitia the same situation na kuona je walitumia dawa zipi.

Nadhani lengo kuu la mtoa mada ni kushare uzoefu na wataalamu pamoja na wadau tofauti .


Mwaka 2009 niliona jambo Kama la mtoa mada Ila alipona muhusika na mwaka jana kuna dogo muuza mayai alipitia the same situation Ila alipona so tunaendelea kujifunza
Nimechanganya mimi niliyedhani wewe siye.
 
Habari zenu wana JF.

Ninaomba mwenye kujua dawa ya hili donda. Saivi lina miaka zaidi ya kumi, linakauka na kurudia tena.

Hospitali za kawaida mpaka Muhimbili kwa kulazwa mwezi mzima. Limefika hili donda mpaka India. Limepakwa dawa za kunywa na kupaka, za mitishamba.

Likichomoka lina maumivu makali sana mpaka lipate sindano. Linasababisha kukosa usingizi, kutoka nje, na kutokuwa na hamu ya kula.

Sio mgonjwa wa sukari, wala sio kansa. Ni donda tuu lililokuwa haliponi kwa miaka mingi sana.

View attachment 3295772
shubiri unaijua?
 
1. Chukua Shubiri (Alovera iliyokaushwa), huwa ni nyeusi
2. Chukua Flagyl(Metronidazole)
3. Chukua Asali (iwe pure)
4. Chukua Eusol solution (dawa ya kuoshea vidonda)
5. Cotton balls (pamba za kusafishia vidonda)

Saga Shuburi kiasi iwe unga, Saga Flagyl ziwe unga, changanya unga huo pamoja kwenye Asali, Safisha kidonda kutumia pamba na eusol, paka mchanganyiko kwenye kidonda. Fanya hivyo kila siku mpaka pale kidonda kitakapopona. Kwa uwezo wa Mungu dawa hii itakutibu.
 
Hilo ni donda sugu kutoka kwa waganga ili upate utajiri. Vipi ulizipata hizo hela au umeambulia donda na kuendelea kuwa kapuku?
 
NATAKA KUKUTUMIA PRIVATE VETI VYOTE ILA NASHINDWA


BIOPSY ALISHAFANYA SIO MARA MOJA, DOPPLER NAYO IMEFANYIKA PIA.

HAKUNA HOMA, WALA USAHA , NI MAJI TUU HUWA KINATOA

MGUU ULIANZA KUWA MWEUSI, AKAPEWA DAWA, PAKAFANYA KIJIPU, BAADA YA KUPIMWA NDIO AKAAMBIWA ENDE MUHIMBILI KWA MARA YA KWANZA, WAKATI ANAMSUBIRI DAKTARI, NDIO PAKATUMBUKA PAKATOKA MAJI MENGI SANA, AKALAZWA MIEZI MIWILI KWA MARA YA KWANZA, AKATIBIWA AKAPONA, BAADA YA MUDA UKAREJEA UPYA, AKARUDI TENA MUHIMBILI, AKALAZWA TENA, AKATIBIWA AKAPONA, BAADA YA MUDA UKARUDI TENA NDIO AKAENDA INDIA, AKAPATA MATIBABU, AKAPONA, UKAREJEA TENA, HALI NDIO HIYO HIYO YA KUJIREJEA REJEA NDIO ALOKUWA NAYO, NDIO MPAKA AKATUMIA MITI SHAMBA.

SASA HIVI MGUU MWENGINE NDIO UMEANZA ISHARA ZILE ALIZOKUWA NAZO MWANZO KWENYE MGUU WA KWANZA, NDIO NIKAONA NILETE HAPA KWA WATAALAM WA JAMIIFORUM TUPATE KUSAIDIANA. HIVI SASA PIA YUPO MAHANGAIKO, ILA ALISHAPITIA KWA MADAKTARI WENGI, WA KWETU, WA KICHINA NA DAWA ZAO, WA KIHINDI, WA MTISHAMBA, MGUU UNAKWENDA NA KURUDI.

AHSANTENI,

SHUKRANI WA WOTE WA JF
Mimi sio tabibu lakini kwa maelezo haya napata hisia kuwa chanzo cha tatizo ni cha kiroho zaidi kuliko kimwili. You need a spiritual deliverance for the wound to heal completely.
 
Ni siku kadhaa naona bandiko hili nafuata vigezo na masharti. Leo kilichonifanya nifungue sijui ni kipi
 
Back
Top Bottom