Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,600
- 59,760
Nimeshindwa kuangalia haki ya nani siweziunasukari sema imegoma kua displayed kwenye vipimo
Nimeshindwa kuangalia haki ya nani siweziunasukari sema imegoma kua displayed kwenye vipimo
Mkuu; Tunaomba na sisi walau utupe muongozo tafadhali. Utabarikiwa.Kuna dawa ya kienyeji unaweza tumia. Muhimu kuizingatia. Hamna gharama zaidi ya muda wako. Nitumie ujumbe
Napenda iwe hivo ila haifai kwa kulinda biashara za hospitaliMkuu; Tunaomba na sisi walau utupe muongozo tafadhali. Utabarikiwa.
Nenda kwa Dr. Abbas yupo mtaa wa Swahili na Faru - Dar es Salaam atakusaidia in shaa Allah.Habari zenu wana JF.
Ninaomba mwenye kujua dawa ya hili donda. Saivi lina miaka zaidi ya kumi, linakauka na kurudia tena.
Hospitali za kawaida mpaka Muhimbili kwa kulazwa mwezi mzima. Limefika hili donda mpaka India. Limepakwa dawa za kunywa na kupaka, za mitishamba.
Likichomoka lina maumivu makali sana mpaka lipate sindano. Linasababisha kukosa usingizi, kutoka nje, na kutokuwa na hamu ya kula.
Sio mgonjwa wa sukari, wala sio kansa. Ni donda tuu lililokuwa haliponi kwa miaka mingi sana.
View attachment 3295772
Mkuu; Mbona Hospitali wenyewe hawajawahi kuijali na kuilinda Heshima na Baraka kwako ila kila uchao wao wanajali maokoto tuu? Kwa mfano hai; Si juzi kati hapo ulimsikia yule jamaa aliyesema eti mjamzito bila hela ajifungulie nyumbani??! Jipe moyo na uwasaidie wenzako kwani hata maandiko yanadai hivyo: Mpende jirani yako.... - lakini Hospitali hawawaoni wagonjwa kama majirani bali wanawaona wagonjwa na wasumbukao na maradhi kama Wateja. Je; ww nawe unawaunga mkono kwamba tuendelee kujisajili kwao kama wateja wa kudumu?Napenda iwe hivo ila haifai kwa kulinda biashara za hospitali
Tumia ute wa cactus plant kupaka kwenye kidonda na pia tumia juisi yakeMkuu; Mbona Hospitali wenyewe hawajawahi kuijali na kuilinda Heshima na Baraka kwako ila kila uchao wao wanajali maokoto tuu? Kwa mfano hai; Si juzi kati hapo ulimsikia yule jamaa aliyesema eti mjamzito bila hela ajifungulie nyumbani??! Jipe moyo na uwasaidie wenzako kwani hata maandiko yanadai hivyo: Mpende jirani yako.... - lakini Hospitali hawawaoni wagonjwa kama majirani bali wanawaona wagonjwa na wasumbukao na maradhi kama Wateja. Je; ww nawe unawaunga mkono kwamba tuendelee kujisajili kwao kama wateja wa kudumu?
🙏 🙏 🙏Tumia ute wa cactus plant kupaka kwenye kidonda na pia tumia juisi yake
Nasubiri mrejesho ndani ya wiki🙏 🙏 🙏
Upo mkoa gani.... Niambie nikuunganishe na mtu nilishuhudia katibu watu wawili walishindikana Muhimbili.Habari zenu wana JF.
Ninaomba mwenye kujua dawa ya hili donda. Saivi lina miaka zaidi ya kumi, linakauka na kurudia tena.
Hospitali za kawaida mpaka Muhimbili kwa kulazwa mwezi mzima. Limefika hili donda mpaka India. Limepakwa dawa za kunywa na kupaka, za mitishamba.
Likichomoka lina maumivu makali sana mpaka lipate sindano. Linasababisha kukosa usingizi, kutoka nje, na kutokuwa na hamu ya kula.
Sio mgonjwa wa sukari, wala sio kansa. Ni donda tuu lililokuwa haliponi kwa miaka mingi sana.
View attachment 3295772
Mkuu; Cactus plant zipko za ainaVarieties nyingi sana. Nyingine hutoa "ute-maziwa" na ni sumu ikigusana na ngozi yako. Hebu tuweke sawa hapo ni aina ipi ya cactus: Ikiwezekana weka picha yake e.g.Tumia ute wa cactus plant kupaka kwenye kidonda na pia tumia juisi yake
Ya kwanza na ya pili. Uangalifu wako kwenye kuvuna maana miba yake tatizo nadhani unajua jina lakeMkuu; Cactus plant zipko za ainaVarieties nyingi sana. Nyingine hutoa "ute-maziwa" na ni sumu ikigusana na ngozi yako. Hebu tuweke sawa hapo ni aina ipi ya cactus: Ikiwezekana weka picha yake e.g.
View attachment 3297808 View attachment 3297804 View attachment 3297806
Unga wa chuma chekundu ndio dawa ya hiyo kituHabari zenu wana JF.
Ninaomba mwenye kujua dawa ya hili donda. Saivi lina miaka zaidi ya kumi, linakauka na kurudia tena.
Hospitali za kawaida mpaka Muhimbili kwa kulazwa mwezi mzima. Limefika hili donda mpaka India. Limepakwa dawa za kunywa na kupaka, za mitishamba.
Likichomoka lina maumivu makali sana mpaka lipate sindano. Linasababisha kukosa usingizi, kutoka nje, na kutokuwa na hamu ya kula.
Sio mgonjwa wa sukari, wala sio kansa. Ni donda tuu lililokuwa haliponi kwa miaka mingi sana.
View attachment 3295772
hivi unafahamu majaribu ya shetani ndio yana nguvu sana kuliko neema ya Mungu kuwakomboa wanadam.Na wewe waamini ktk ujinga huo?
Kwamba kidonda cha kuvuta utajiri,..,...hamna kitu kama hicho.h
hivi unafahamu majaribu ya shetani ndio yana nguvu sana kuliko neema ya Mungu kuwakomboa wanadam.
hii inajidhihirisha pale inaposemwa watakaoona ufalme wa mbingu ni wachache.
hivyo ni vyepesi kuamini huko.
Mungu hawezi kukubali kumtesa mtu ambaye yupo sambamba naye isipokuwa kwa kusudi maalum.
Sawa, point yangu ipo kwa yule anayeamini kuwa kidonda kama hicho kinavuta utajiri.Kwani huyo mgonjwa ni mtu mzima(Adult)? Mbona naona ni kama ni Mzazi anayempambania mwanaye ambaye mguu wake huyo mtoto umetatizika kwa kidonda kisichopona? ref. maelezo hapo Na.#86.
Dr.Abbas bado yupo? Duh ni muhindi wa siku nyingi sanaa.Nenda kwa Dr. Abbas yupo mtaa wa Swahili na Faru - Dar es Salaam atakusaidia in shaa Allah.