Angalizo la Picha: Donda lisilopona kwa zaidi ya Miaka 10, Naomba msaada wa Dawa

Angalizo la Picha: Donda lisilopona kwa zaidi ya Miaka 10, Naomba msaada wa Dawa

Habari zenu wana JF.

Ninaomba mwenye kujua dawa ya hili donda. Saivi lina miaka zaidi ya kumi, linakauka na kurudia tena.

Hospitali za kawaida mpaka Muhimbili kwa kulazwa mwezi mzima. Limefika hili donda mpaka India. Limepakwa dawa za kunywa na kupaka, za mitishamba.

Likichomoka lina maumivu makali sana mpaka lipate sindano. Linasababisha kukosa usingizi, kutoka nje, na kutokuwa na hamu ya kula.

Sio mgonjwa wa sukari, wala sio kansa. Ni donda tuu lililokuwa haliponi kwa miaka mingi sana.

View attachment 3295772
Somebody can cure You. Maana anatibu madonda ndugu
 

Attachments

  • Screenshot_20250410_083803_Chrome.jpg
    Screenshot_20250410_083803_Chrome.jpg
    261.8 KB · Views: 26
Habari zenu wana JF.

Ninaomba mwenye kujua dawa ya hili donda. Saivi lina miaka zaidi ya kumi, linakauka na kurudia tena.

Hospitali za kawaida mpaka Muhimbili kwa kulazwa mwezi mzima. Limefika hili donda mpaka India. Limepakwa dawa za kunywa na kupaka, za mitishamba.

Likichomoka lina maumivu makali sana mpaka lipate sindano. Linasababisha kukosa usingizi, kutoka nje, na kutokuwa na hamu ya kula.

Sio mgonjwa wa sukari, wala sio kansa. Ni donda tuu lililokuwa haliponi kwa miaka mingi sana.

View attachment 3295772
Nipigie kwa 0713 039 875, pole
 
Pole sana.

Hii inaweza kuwa chronic ulcer (venous leg ulcer). Ni kidonda kinachosababishwa na tatizo katika mishipa inayorudisha damu kutoka kwenye miguu (vein).

Ni muhimu ukaonana na daktari bingwa wa mishipa ya damu (vascular surgeon) na plastic surgeon.

Kila la kheri.
Huenda ukawa uko sahihi mkuu.
Huyo muuguzi anatakiwa awe anarekodi kila aina ya tiba na kila njia iliyotumika kutoa tiba kwenye kila hospitali anayokwenda vinginevyo atakuwa anapigwa hela kwa kurudia njia zilezile ambazo zishafanyika kwenye hospitali zingine alizokwenda kufanyiwa tiba.
 

Attachments

  • Screenshot_20250410_083803_Chrome.jpg
    Screenshot_20250410_083803_Chrome.jpg
    261.8 KB · Views: 27
Dr.Abbas bado yupo? Duh ni muhindi wa siku nyingi sanaa.
Naam, bado yupo na ni daktari pekee mwenye kutibu hasa vidonda vya watu wenye sukari mpaka vinapona, maana ukienda hospitali nyingine wao ni kukata viungo tu.
 
Sawa, point yangu ipo kwa yule anayeamini kuwa kidonda kama hicho kinavuta utajiri.
Dah! Ajabu kweli. Mwenye kidonda analalamika, anasumbuka hadi ameomba msaada. Halafu inakuwaje kuna mtu au watu wanasema kidonda kama hicho kinavuta Utajiri? Yani mapito magumu na makali ndo utajiri?
Imani za namna hiyo kama sio za kijinga(Kutokujua) basi ni za kipumbavu mno.
 
Naam, bado yupo na ni daktari pekee mwenye kutibu hasa vidonda vya watu wenye sukari mpaka vinapona, maana ukienda hospitali nyingine wao ni kukata viungo tu.
Naam, bado yupo na ni daktari pekee mwenye kutibu hasa vidonda vya watu wenye sukari mpaka vinapona, maana ukienda hospitali nyingine wao ni kukata viungo tu.
DR ABBAS WA KARIAKOO KIDONDA KESHAKITIBU SANA, PANAKUWA NAFUU IKISHA KINAREJEA TENA,
AHSANTE SANA
 
KIDONDA HICHI SIO CHA SUKARI, LAKINI DR ABBAS ALIKISHUGHULIKIA SANA SIO MARA MOJA JAPO YEYE NI MTAALAM WA SUKARI LAKINI ALIJITAHIDI KWA UPANDE WAKE ILA BADO KIDONDA KIPO NA MGUU MWENGINE UMEANZA ISHARA HIVYO HIVYO,
SASA VIMEKUWA VIDONDA VIWILI KIKUBWA KILE NILICHOTUMA NA KIDOGO VYOTE VINAFUNGWA DAWA KILA SIKU. SAMAHANINI KWA PICHA NILIZOTUMA. HIYO NDIO HALI HALISI,
1744282035951.png
 
DR ABBAS WA KARIAKOO KIDONDA KESHAKITIBU SANA, PANAKUWA NAFUU IKISHA KINAREJEA TENA,
AHSANTE SANA

Mzunguko Duni wa Damu (Poor Circulation)​

  • Kwa mfano: matatizo ya mishipa ya damu (venous insufficiency) au arterial disease.
  • Damu haifiki vizuri eneo la jeraha → huzuia kupona.
  • Huchangia vidonda hasa miguu au vifundoni.
Dalili: Mguu waweza kuwa baridi, unauma unapoinuliwa, ngozi kuwa kavu au rangi ya hudhurungi.
 
Tumia kupakaa utomvu wa papai bichi ukichana kidogo huwa kuna utomvu unatoka tumia huo kupakaa eneo husika kutwa mara 2
 

Mzunguko Duni wa Damu (Poor Circulation)​

  • Kwa mfano: matatizo ya mishipa ya damu (venous insufficiency) au arterial disease.
  • Damu haifiki vizuri eneo la jeraha → huzuia kupona.
  • Huchangia vidonda hasa miguu au vifundoni.
Dalili: Mguu waweza kuwa baridi, unauma unapoinuliwa, ngozi kuwa kavu au rangi ya hudhurungi.
Kama utakuwa na wasaa jaribu kufuatilia mishipa yako ya damu kama inapeleka vizuri damu sehemu zako za mwili, huenda nalo hilo likawa sababu ya kufanya vidonda kuchelewa kupona, onana na tabibu akufanyie vipimo la hilo tatizo.
 
Kwani huyo mgonjwa ni mtu mzima(Adult)? Mbona naona ni kama ni Mzazi anayempambania mwanaye ambaye mguu wake huyo mtoto umetatizika kwa kidonda kisichopona? ref. maelezo hapo Na.#86.
mgonjwa ni mtu mzima kwenye 70+
 
Habari zenu wana JF.

Ninaomba mwenye kujua dawa ya hili donda. Saivi lina miaka zaidi ya kumi, linakauka na kurudia tena.

Hospitali za kawaida mpaka Muhimbili kwa kulazwa mwezi mzima. Limefika hili donda mpaka India. Limepakwa dawa za kunywa na kupaka, za mitishamba.

Likichomoka lina maumivu makali sana mpaka lipate sindano. Linasababisha kukosa usingizi, kutoka nje, na kutokuwa na hamu ya kula.

Sio mgonjwa wa sukari, wala sio kansa. Ni donda tuu lililokuwa haliponi kwa miaka mingi sana.

View attachment 3295772
Pole sana ninakupa Dawa za aina 2 tumia usipo pona nitafute kwa wakati wako kitakuwa ni kidonda cha uchawi umerogwa na maaduwi zako. Dawa ya Kwanza unapo amka asubuhi unapo kojoa mkojo wako wa kwanza kinga uweke kwenye kidonda chako fanya hivyo kila siku utaweza kupona. dawa ya pili Safisha kidonda chako kw amaji ya uvuguvugu yaliyo changanywa na chumvi ya mawe kisha kikaushe kidond upakaze Asali safi ya nyuki iliyotoka katika mzinga wake hakikisha Asali iwe ni safi isiyo chakachuliwa kisha kupakaza Asali funga na bendeji kidonda chako ikae hiyo Asali kwenye kidonda chako siku 3 au siku 7 unaweka Asali nyingine. Kama ni kidonda cha kawaida utapona maradhi yako la kam ni kidondacha uchawi hutowezakupona kwa hizo dawa 2 nilizokupa utanitafuta kwa wakati wako ili niweze kukutibia upate kupona maradhi yako uguwa pole.
 
Back
Top Bottom