Angalizo la Picha: Donda lisilopona kwa zaidi ya Miaka 10, Naomba msaada wa Dawa

Angalizo la Picha: Donda lisilopona kwa zaidi ya Miaka 10, Naomba msaada wa Dawa

Muanzisha mada kwanza pole sana kwa ugonjwa huo.


katika kuzunguka kwako ushaonana na Dr.anaitwa Mohammed Kawambwa.
Nadhani yuko Muhimbili au MOI.?

Kama hujawahi kuonana nae nambie nikuelekeze pa kumpata.
SeliSelina

Maana kuna jamaa nae alikuwa na kidonda sugu kama hicho kwa miaka karibu 10, ila alisaidiawa hadi akapona.

Jamaa hadi mke wake alimkimbia.
Kazunguka hospitali kibao ila wapi.
Ila Mungu alipoamua jamaa kapona chini ya huyo Dr. Ni plastic surgeon.
 
Funga siku tatu kavu huku ukitubu na kuomba rehema kwa Mungu akuponye na muahidi ukipona utafanya nini kwa faida yake. Mungu yupo na anatenda kazi hadi sasa na milele. Huo ni mtihani ukiushinda utakuwa na ushuhuda kwa vizazi vyote ikiwemo hapa JF.Mungu na akajifunue kwako na utukufu na enzi vimrudie yeye asiyeshindwa
 
Back
Top Bottom