Nitafute nikusaidieHabari zenu wana JF.
Ninaomba mwenye kujua dawa ya hili donda. Saivi lina miaka zaidi ya kumi, linakauka na kurudia tena.
Hospitali za kawaida mpaka Muhimbili kwa kulazwa mwezi mzima. Limefika hili donda mpaka India. Limepakwa dawa za kunywa na kupaka, za mitishamba.
Likichomoka lina maumivu makali sana mpaka lipate sindano. Linasababisha kukosa usingizi, kutoka nje, na kutokuwa na hamu ya kula.
Sio mgonjwa wa sukari, wala sio kansa. Ni donda tuu lililokuwa haliponi kwa miaka mingi sana.
View attachment 3295772
Mkuu kinaweza pona mwenye donda aje pm tuhojianeDR ABBAS WA KARIAKOO KIDONDA KESHAKITIBU SANA, PANAKUWA NAFUU IKISHA KINAREJEA TENA,
AHSANTE SANA
Pole sana mkuu hyo shida alikuwaga nayo mzee sema yeye alkuwa na sukari alipona kabisa njoo dm sitaki sh 10 yako ndani ya week 3 ubakimbia mbio kabisaHabari zenu wana JF.
Ninaomba mwenye kujua dawa ya hili donda. Saivi lina miaka zaidi ya kumi, linakauka na kurudia tena.
Hospitali za kawaida mpaka Muhimbili kwa kulazwa mwezi mzima. Limefika hili donda mpaka India. Limepakwa dawa za kunywa na kupaka, za mitishamba.
Likichomoka lina maumivu makali sana mpaka lipate sindano. Linasababisha kukosa usingizi, kutoka nje, na kutokuwa na hamu ya kula.
Sio mgonjwa wa sukari, wala sio kansa. Ni donda tuu lililokuwa haliponi kwa miaka mingi sana.
View attachment 3295772
Pole sana zinatishaje labda? Ungeeleza vizurimods muwe mna weka angalizo.
PICHA ZINATISHA
Hakiponi kuna maza jana nilimsikia anamzungumzia kijana wake mwenye shida km hio mguu kidonda hakiponi kuna mwingine nimekutana nae hapa katikati ndio kimeanza kidonda hakiponi alinionyesha unaona mguu huu kaka kidonda hiki hakiponi sema yeye ameambiwa amerogwa kwa hio nilimuacha anafanya taratibu za kwenda kwa Sangoma sikuongea chochoteNi hatari hi, ila tupe ushuhuda mkuu ni mwaka sasa
wenye tatzo kama hilo waambie wawe wanatumia alovera yale maji yake anakipaka kidonda kesho anasafisha na kupakaa tena.Hakiponi kuna maza jana nilimsikia anamzungumzia kijana wake mwenye shida km hio mguu kidonda hakiponi kuna mwingine nimekutana nae hapa katikati ndio kimeanza kidonda hakiponi alinionyesha unaona mguu huu kaka kidonda hiki hakiponi sema yeye ameambiwa amerogwa kwa hio nilimuacha anafanya taratibu za kwenda kwa Sangoma sikuongea chochote