Hii ni wakati tukimpambania Dk. Slaa:
Pia soma: Tusio na adui wa kudumu tunasimama na Dkt. Slaa
Nani asiyejua kuwa TAL ni High Valued Target (HVT) kwa maadui wote wa ndani na nje?
Kwamba kwa maneno yao wenyewe, kumbe kipi kinaweza kisiwepo mezani?
Kwamba wengine wanajutia kushikilia chupa za damu Lissu akipelekwa Nairobi na makorokoro uchwara mengine?
Looh!
Kwani ilikuwa rushwa?
"Lile tumbo la Lissu likisemwa na Wenje, Arusha Dar kutolihusisha nao ni kujidanganya!"
Hata sasa baina ya wahaini wenyewe akili kichwani, kitakukula kilichoko nguoni mwako.