B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 31,698 Reaction score 41,733 Jan 11, 2025 #1 Hii ni wakati tukimpambania Dk. Slaa: Pia soma: Tusio na adui wa kudumu tunasimama na Dkt. Slaa Nani asiyejua kuwa TAL ni High Valued Target (HVT) kwa maadui wote wa ndani na nje? Kwamba kwa maneno yao wenyewe, kumbe kipi kinaweza kisiwepo mezani? Kwamba wengine wanajutia kushikilia chupa za damu Lissu akipelekwa Nairobi na makorokoro uchwara mengine? Looh! Kwani ilikuwa rushwa? "Lile tumbo la Lissu likisemwa na Wenje, Arusha Dar kutolihusisha nao ni kujidanganya!" Hata sasa baina ya wahaini wenyewe akili kichwani, kitakukula kilichoko nguoni mwako.
Hii ni wakati tukimpambania Dk. Slaa: Pia soma: Tusio na adui wa kudumu tunasimama na Dkt. Slaa Nani asiyejua kuwa TAL ni High Valued Target (HVT) kwa maadui wote wa ndani na nje? Kwamba kwa maneno yao wenyewe, kumbe kipi kinaweza kisiwepo mezani? Kwamba wengine wanajutia kushikilia chupa za damu Lissu akipelekwa Nairobi na makorokoro uchwara mengine? Looh! Kwani ilikuwa rushwa? "Lile tumbo la Lissu likisemwa na Wenje, Arusha Dar kutolihusisha nao ni kujidanganya!" Hata sasa baina ya wahaini wenyewe akili kichwani, kitakukula kilichoko nguoni mwako.
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Jan 11, 2025 #2 RIP Meddy
B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 31,698 Reaction score 41,733 Jan 11, 2025 Thread starter #3 johnthebaptist said: RIP Meddy Click to expand... Wanaaminika? Kwamba? "Sasa mbona unang'ang'ana?" Hadi ufurushwe,?
johnthebaptist said: RIP Meddy Click to expand... Wanaaminika? Kwamba? "Sasa mbona unang'ang'ana?" Hadi ufurushwe,?
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jan 11, 2025 #4 Ngoja tuone... Cc: Mahondaw
R Rutechula JF-Expert Member Joined Jun 19, 2024 Posts 392 Reaction score 347 Jan 11, 2025 #5 brazaj said: Wanaaminika? Kwamba? View attachment 3198449 "Sasa mbona unang'ang'ana?" Hadi ufurushwe,? Click to expand... Afirushwe na nini?? Hivi kwa nini TAL team inaogopa sanduku la kura na kutamani ushindi wa mezani???!
brazaj said: Wanaaminika? Kwamba? View attachment 3198449 "Sasa mbona unang'ang'ana?" Hadi ufurushwe,? Click to expand... Afirushwe na nini?? Hivi kwa nini TAL team inaogopa sanduku la kura na kutamani ushindi wa mezani???!
B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 31,698 Reaction score 41,733 Jan 11, 2025 Thread starter #6 Rutechula said: Afirushwe na nini?? Hivi kwa nini TAL team inaogopa sanduku la kura na kutamani ushindi wa mezani???! Click to expand... Wapi umeona kuogopwa sanduku la kura? Au hujui sanduku la kura ndilo rasmi litumikalo kufurushwa wasiotakiwa? Au kufurushwa hujui maana yake ndugu? Kwamba kiswahili ni kigumu kwako hivyo?
Rutechula said: Afirushwe na nini?? Hivi kwa nini TAL team inaogopa sanduku la kura na kutamani ushindi wa mezani???! Click to expand... Wapi umeona kuogopwa sanduku la kura? Au hujui sanduku la kura ndilo rasmi litumikalo kufurushwa wasiotakiwa? Au kufurushwa hujui maana yake ndugu? Kwamba kiswahili ni kigumu kwako hivyo?
imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 55,997 Reaction score 88,219 Jan 11, 2025 #7 brazaj said: Wanaaminika? Kwamba? View attachment 3198449 "Sasa mbona unang'ang'ana?" Hadi ufurushwe,? Click to expand... Safari hii ndio tumeona his true colours ππ
brazaj said: Wanaaminika? Kwamba? View attachment 3198449 "Sasa mbona unang'ang'ana?" Hadi ufurushwe,? Click to expand... Safari hii ndio tumeona his true colours ππ
T Twoten JF-Expert Member Joined May 4, 2014 Posts 2,052 Reaction score 2,163 Jan 11, 2025 #8 Mbowe out
imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 55,997 Reaction score 88,219 Jan 11, 2025 #9 Twoten said: Mbowe out Click to expand... ππππΈπΊ