Angalizo Maalumu kutoka kwa Kigogo kwenda CCM

ANGALIZO MAHSUSI:

Kinachoendelea huko instagram na Facebook na TikTok kama wahusika watadharau na kuchukulia poa basi hawako sawa kiakili!..

Serikali hii ilikuwa so dear to wananchi na wakiipenda sana toka siku ya kwanza!. Swali ni kuwa imekuwaje imefika hapa? Nini kimetokea tena kwa muda mfupi sana? Majibu ni mengi lakini machache ni kuwa mawaziri ni majizi na hayajali lolote yanaiba sana, mawaziri wamegeuka kuwa miungu watu wanawaza madaraka tu na wameacha kusikiliza wananchi, tunatumia propadanga zaidi kuliko uhalisia kuelezea shida za watu na watanzania na maisha yao!

Hatutaki kuwa wakweli kunapokuwa na matatizo na shida za watu wetu! Mwisho tumeamua kutumia akina Mwijaku, Baba Levo sijui Dotto Magari kama nembo ya utaifa wetu kwenye kuelezea mambo ya maana! That is where is started to rain on us!..and we are in such a predicament as a country!..

Tunawakumbusha tu kuwa Tanzania ilipata uhuru bila kupigana vita wala kumwaga damu ! Sasa sijajua nini kinawadanganya kuwa watu hawawezi kuleta resistance na kuanzisha civil disorbedience kwa staili ile ile ya wakati wa kupigania uhuru na ikatokea!..

Tusipokuwa na maarifa na akili kwenye kushughulika na hili basi tukae tukijua kuwa watu hawa watajamasishana na uchaguzi wa mwakahuu unaweza ukawa uchaguzi wenye turnout ndogo sana kuliko uchaguzi wowote katika historia ya Tanzania!

Haya ni matokeo ya kutumia watu wajinga na wenye mizaha kuzungumzia mambo ya maana ya hili taifa na maisha ya watanzania ,sasa haya ndiyo matokeo yake!.. Kidogo kidogo tutajikuta tuko sehemu ngumu sana kama taifa..

Maneno haya yanaweza kuwa machungu kama pakanga lakini dawa chungu na kali sana ndiyo inayotibu na kuondoa maradhi!..Kwa hiyo mkichukia chukieni at your own risk lakini mwisho wa siku we have a countey to protect na tunafanya kazi ya ki Mungu na Mungu atatulinda pale watu wanapotukasirikia na shetani wao na kutaka kutufyatua!..

Hatuwezi kusonga mbele kama taifa kwa kutumia uganga na uchawi na kutoa watu makafara kama anavyofanya Wassira! HAIWEZEKANI

#KigogoMediaUpdates​
Kumbe umevimbiwa, nenda kaharishe huo uvundo, pumbavu lisilo na haya, km una hamu na vita kahamie Sudan au Gaza

Jitu zima huoni aibu kupoteza muda wako kuandika huu uchafu? Tafuta kazi ya kufanya we mbwa koko
 
Huyu tapeli si ndio kutwa alidharau No reform No Election na ku under estimate nguvu ya TAL na JWH, pumbavu kabisa sasa ameuona uhalisia ground kuko tofauti watu wamehamasika kampeni ya No reform No election despite ya kuwa na bajeti hafifu inapata mapokei makubwa kuliko kampeni ya INEC yakuhamasisha uandikishijaji yenye mabilioni ya shilingi mdogo mdogo tutaelewana watu wakae mezani reforms zifanyike tusonge mbele kiroho safi na wezi wote waanze kurejeaha mali za umma mdogo mdogo kabla hakujakucha hii nchi sio masikini wala sio nchi yakuombaomba kuna watu wakifilisiwa hapa tunaweza ku finance hata bajeti nzima ya nchi natukiondoa matumizi ya anasa kila mtu atafurahia hii nchi
Lioneni zombie lisilojitambu
 
ANGALIZO MAHSUSI:

Kinachoendelea huko instagram na Facebook na TikTok kama wahusika watadharau na kuchukulia poa basi hawako sawa kiakili!..

Serikali hii ilikuwa so dear to wananchi na wakiipenda sana toka siku ya kwanza!. Swali ni kuwa imekuwaje imefika hapa? Nini kimetokea tena kwa muda mfupi sana? Majibu ni mengi lakini machache ni kuwa mawaziri ni majizi na hayajali lolote yanaiba sana, mawaziri wamegeuka kuwa miungu watu wanawaza madaraka tu na wameacha kusikiliza wananchi, tunatumia propadanga zaidi kuliko uhalisia kuelezea shida za watu na watanzania na maisha yao!

Hatutaki kuwa wakweli kunapokuwa na matatizo na shida za watu wetu! Mwisho tumeamua kutumia akina Mwijaku, Baba Levo sijui Dotto Magari kama nembo ya utaifa wetu kwenye kuelezea mambo ya maana! That is where is started to rain on us!..and we are in such a predicament as a country!..

Tunawakumbusha tu kuwa Tanzania ilipata uhuru bila kupigana vita wala kumwaga damu ! Sasa sijajua nini kinawadanganya kuwa watu hawawezi kuleta resistance na kuanzisha civil disorbedience kwa staili ile ile ya wakati wa kupigania uhuru na ikatokea!..

Tusipokuwa na maarifa na akili kwenye kushughulika na hili basi tukae tukijua kuwa watu hawa watajamasishana na uchaguzi wa mwakahuu unaweza ukawa uchaguzi wenye turnout ndogo sana kuliko uchaguzi wowote katika historia ya Tanzania!

Haya ni matokeo ya kutumia watu wajinga na wenye mizaha kuzungumzia mambo ya maana ya hili taifa na maisha ya watanzania ,sasa haya ndiyo matokeo yake!.. Kidogo kidogo tutajikuta tuko sehemu ngumu sana kama taifa..

Maneno haya yanaweza kuwa machungu kama pakanga lakini dawa chungu na kali sana ndiyo inayotibu na kuondoa maradhi!..Kwa hiyo mkichukia chukieni at your own risk lakini mwisho wa siku we have a countey to protect na tunafanya kazi ya ki Mungu na Mungu atatulinda pale watu wanapotukasirikia na shetani wao na kutaka kutufyatua!..

Hatuwezi kusonga mbele kama taifa kwa kutumia uganga na uchawi na kutoa watu makafara kama anavyofanya Wassira! HAIWEZEKANI

#KigogoMediaUpdates​
Ni mwanaccm yupi kasema haya? Mtaje
 
MKuu wa Nchi: Form four failure, Chura Kiziwi, Mama kizimkazi
Mkuu wa protokali Ikulu: Steve Nyerere
Waliopewa jukumu la kuisemea serikali: Baba Levo, Mwijaku & Dotto Magari

Kwa hali kama hii tunategemea nini????? We are experiencing national humiliation.
This Fat, Short and Stupid Woman is a skunk
Mbwa koko Samia siyo size yako, usimlinganishe na mamako ile ni akili kubwa amefanya maajabu kwa muda mfupi. Ur just useless sperm
 
Screenshot_20250604_192640_X.jpg
 
ANGALIZO MAHSUSI:

Kinachoendelea huko instagram na Facebook na TikTok kama wahusika watadharau na kuchukulia poa basi hawako sawa kiakili!..

Serikali hii ilikuwa so dear to wananchi na wakiipenda sana toka siku ya kwanza!. Swali ni kuwa imekuwaje imefika hapa? Nini kimetokea tena kwa muda mfupi sana? Majibu ni mengi lakini machache ni kuwa mawaziri ni majizi na hayajali lolote yanaiba sana, mawaziri wamegeuka kuwa miungu watu wanawaza madaraka tu na wameacha kusikiliza wananchi, tunatumia propadanga zaidi kuliko uhalisia kuelezea shida za watu na watanzania na maisha yao!

Hatutaki kuwa wakweli kunapokuwa na matatizo na shida za watu wetu! Mwisho tumeamua kutumia akina Mwijaku, Baba Levo sijui Dotto Magari kama nembo ya utaifa wetu kwenye kuelezea mambo ya maana! That is where is started to rain on us!..and we are in such a predicament as a country!..

Tunawakumbusha tu kuwa Tanzania ilipata uhuru bila kupigana vita wala kumwaga damu ! Sasa sijajua nini kinawadanganya kuwa watu hawawezi kuleta resistance na kuanzisha civil disorbedience kwa staili ile ile ya wakati wa kupigania uhuru na ikatokea!..

Tusipokuwa na maarifa na akili kwenye kushughulika na hili basi tukae tukijua kuwa watu hawa watajamasishana na uchaguzi wa mwakahuu unaweza ukawa uchaguzi wenye turnout ndogo sana kuliko uchaguzi wowote katika historia ya Tanzania!

Haya ni matokeo ya kutumia watu wajinga na wenye mizaha kuzungumzia mambo ya maana ya hili taifa na maisha ya watanzania ,sasa haya ndiyo matokeo yake!.. Kidogo kidogo tutajikuta tuko sehemu ngumu sana kama taifa..

Maneno haya yanaweza kuwa machungu kama pakanga lakini dawa chungu na kali sana ndiyo inayotibu na kuondoa maradhi!..Kwa hiyo mkichukia chukieni at your own risk lakini mwisho wa siku we have a countey to protect na tunafanya kazi ya ki Mungu na Mungu atatulinda pale watu wanapotukasirikia na shetani wao na kutaka kutufyatua!..

Hatuwezi kusonga mbele kama taifa kwa kutumia uganga na uchawi na kutoa watu makafara kama anavyofanya Wassira! HAIWEZEKANI

#KigogoMediaUpdates​
Inasikitisha sana. Zile 4R za Dkt Samia kazikanyaga zote. Mungu yupo hai na atalitetea taifa letu.
 
Mbwa koko Samia siyo size yako, usimlinganishe na mamako ile ni akili kubwa amefanya maajabu kwa muda mfupi. Ur just useless sperm
Speaking of sperm, your father probably should have worn a condom, you faggot son of bich you are a walking reminder of why condoms were invented.
 
Uyu mshamba mda huu anatafuta huruma za wanainchi alijifanya mjuaji kubagaza wapinzani this time kaona wapinzani wamepata mwitikio na jamii anaanza mandiko yake ya kishamba shamba apite vile
 
Tujiulize kwanini viongozi wa CCM wanationa mazwazwa hivi?
Wanahubiri uchaguzi HURU lakini ulio na wa HAKI hawataki!
Wanaohubiri uchaguzi HURU na wa HAKI wanaambiwa wanavunja amani na utulivu wa Nchi!
Nahisi wanatuona mazwazwa sana ila watambue kuwa wengi wetu sio akina mwijaku au Dotto.
 
Sasa hao wakina doto magari sjui mwijaku steve mengele mpk wakushawishi basi na wewe utakuwa zoba 😄

Ova
 
Back
Top Bottom