Nyundo ya shujaa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2025
- 399
- 547
Ingekuwa sami ni raisi wa Zanzibar wangeshamuondoa kitambo sana. Lakini Tanganyika angalia hata bunge letu ukiwasikia wabunge wetu unajua kabisa Tanganyika hatuna viongozi
Hv kweli kama ww ni mtawala na una Akili TIMAMU unaweza kweli kuwatumia ,mwijaku,baba Levo na Doto magari kuzungumzia mambo ya msingi ya kitaifa,Alafu ww mkuu wa nchi eti unamtafuta kiongozi mmoja wa dini ya ukristo MALASUSA unamuhongo na yy kwa ujinga wake anakubali ili kutetea uovu.SAMIA nakuonea huruma dada yangu maana waliotaka kukuharibia wale wasaka uraisi wamefanikiwa sana kwa asilimia 90 na wamefanikiwa kukuchafua hata ukioga huwezi kutakata.ANGALIZO MAHSUSI:
Kinachoendelea huko instagram na Facebook na TikTok kama wahusika watadharau na kuchukulia poa basi hawako sawa kiakili!..
Serikali hii ilikuwa so dear to wananchi na wakiipenda sana toka siku ya kwanza!. Swali ni kuwa imekuwaje imefika hapa? Nini kimetokea tena kwa muda mfupi sana? Majibu ni mengi lakini machache ni kuwa mawaziri ni majizi na hayajali lolote yanaiba sana, mawaziri wamegeuka kuwa miungu watu wanawaza madaraka tu na wameacha kusikiliza wananchi, tunatumia propadanga zaidi kuliko uhalisia kuelezea shida za watu na watanzania na maisha yao!
Hatutaki kuwa wakweli kunapokuwa na matatizo na shida za watu wetu! Mwisho tumeamua kutumia akina Mwijaku, Baba Levo sijui Dotto Magari kama nembo ya utaifa wetu kwenye kuelezea mambo ya maana! That is where is started to rain on us!..and we are in such a predicament as a country!..
Tunawakumbusha tu kuwa Tanzania ilipata uhuru bila kupigana vita wala kumwaga damu ! Sasa sijajua nini kinawadanganya kuwa watu hawawezi kuleta resistance na kuanzisha civil disorbedience kwa staili ile ile ya wakati wa kupigania uhuru na ikatokea!..
Tusipokuwa na maarifa na akili kwenye kushughulika na hili basi tukae tukijua kuwa watu hawa watajamasishana na uchaguzi wa mwakahuu unaweza ukawa uchaguzi wenye turnout ndogo sana kuliko uchaguzi wowote katika historia ya Tanzania!
Haya ni matokeo ya kutumia watu wajinga na wenye mizaha kuzungumzia mambo ya maana ya hili taifa na maisha ya watanzania ,sasa haya ndiyo matokeo yake!.. Kidogo kidogo tutajikuta tuko sehemu ngumu sana kama taifa..
Maneno haya yanaweza kuwa machungu kama pakanga lakini dawa chungu na kali sana ndiyo inayotibu na kuondoa maradhi!..Kwa hiyo mkichukia chukieni at your own risk lakini mwisho wa siku we have a countey to protect na tunafanya kazi ya ki Mungu na Mungu atatulinda pale watu wanapotukasirikia na shetani wao na kutaka kutufyatua!..
Hatuwezi kusonga mbele kama taifa kwa kutumia uganga na uchawi na kutoa watu makafara kama anavyofanya Wassira! HAIWEZEKANI
#KigogoMediaUpdates
Hatuwezi kusonga mbele kama taifa kwa kutumia uganga na uchawi na kutoa watu makafara.
Mbona umepanic ewe chawa?Kumbe umevimbiwa, nenda kaharishe huo uvundo, pumbavu lisilo na haya, km una hamu na vita kahamie Sudan au Gaza
Jitu zima huoni aibu kupoteza muda wako kuandika huu uchafu? Tafuta kazi ya kufanya we mbwa koko
ANGALIZO MAHSUSI:
Kinachoendelea huko instagram na Facebook na TikTok kama wahusika watadharau na kuchukulia poa basi hawako sawa kiakili!..
Serikali hii ilikuwa so dear to wananchi na wakiipenda sana toka siku ya kwanza!. Swali ni kuwa imekuwaje imefika hapa? Nini kimetokea tena kwa muda mfupi sana? Majibu ni mengi lakini machache ni kuwa mawaziri ni majizi na hayajali lolote yanaiba sana, mawaziri wamegeuka kuwa miungu watu wanawaza madaraka tu na wameacha kusikiliza wananchi, tunatumia propadanga zaidi kuliko uhalisia kuelezea shida za watu na watanzania na maisha yao!
Hatutaki kuwa wakweli kunapokuwa na matatizo na shida za watu wetu! Mwisho tumeamua kutumia akina Mwijaku, Baba Levo sijui Dotto Magari kama nembo ya utaifa wetu kwenye kuelezea mambo ya maana! That is where is started to rain on us!..and we are in such a predicament as a country!..
Tunawakumbusha tu kuwa Tanzania ilipata uhuru bila kupigana vita wala kumwaga damu ! Sasa sijajua nini kinawadanganya kuwa watu hawawezi kuleta resistance na kuanzisha civil disorbedience kwa staili ile ile ya wakati wa kupigania uhuru na ikatokea!..
Tusipokuwa na maarifa na akili kwenye kushughulika na hili basi tukae tukijua kuwa watu hawa watajamasishana na uchaguzi wa mwakahuu unaweza ukawa uchaguzi wenye turnout ndogo sana kuliko uchaguzi wowote katika historia ya Tanzania!
Haya ni matokeo ya kutumia watu wajinga na wenye mizaha kuzungumzia mambo ya maana ya hili taifa na maisha ya watanzania ,sasa haya ndiyo matokeo yake!.. Kidogo kidogo tutajikuta tuko sehemu ngumu sana kama taifa..
Maneno haya yanaweza kuwa machungu kama pakanga lakini dawa chungu na kali sana ndiyo inayotibu na kuondoa maradhi!..Kwa hiyo mkichukia chukieni at your own risk laki
Wamesoma cjui km wamekuelewa maana ccm ni sikio la kufani mwisho wa siku we have a countey to protect na tunafanya kazi ya ki Mungu na Mungu atatulinda pale watu wanapotukasirikia na shetani wao na kutaka kutufyatua!..
Hatuwezi kusonga mbele kama taifa kwa kutumia uganga na uchawi na kutoa watu makafara kama anavyofanya Wassira! HAIWEZEKANI
#KigogoMediaUpdates
Ndio kataja ufisadi wa mawaziri tu na kuacha kutaja utekaji na uuaji kama moja ya sababu za CCM kukataliwa.Kigogo2014 ni mpuuzi kuliko wapuuzi wote Tanzania. Siku zote anasifia watu kuuwawa. Sasa kambi yao imegawanyika anajifanya kuonya. Useless kigogo2015 &KigogoMedia.
NO REFORMS NO ELECTIONANGALIZO MAHSUSI:
Kinachoendelea huko instagram na Facebook na TikTok kama wahusika watadharau na kuchukulia poa basi hawako sawa kiakili!..
Serikali hii ilikuwa so dear to wananchi na wakiipenda sana toka siku ya kwanza!. Swali ni kuwa imekuwaje imefika hapa? Nini kimetokea tena kwa muda mfupi sana? Majibu ni mengi lakini machache ni kuwa mawaziri ni majizi na hayajali lolote yanaiba sana, mawaziri wamegeuka kuwa miungu watu wanawaza madaraka tu na wameacha kusikiliza wananchi, tunatumia propadanga zaidi kuliko uhalisia kuelezea shida za watu na watanzania na maisha yao!
Hatutaki kuwa wakweli kunapokuwa na matatizo na shida za watu wetu! Mwisho tumeamua kutumia akina Mwijaku, Baba Levo sijui Dotto Magari kama nembo ya utaifa wetu kwenye kuelezea mambo ya maana! That is where is started to rain on us!..and we are in such a predicament as a country!..
Tunawakumbusha tu kuwa Tanzania ilipata uhuru bila kupigana vita wala kumwaga damu ! Sasa sijajua nini kinawadanganya kuwa watu hawawezi kuleta resistance na kuanzisha civil disorbedience kwa staili ile ile ya wakati wa kupigania uhuru na ikatokea!..
Tusipokuwa na maarifa na akili kwenye kushughulika na hili basi tukae tukijua kuwa watu hawa watajamasishana na uchaguzi wa mwakahuu unaweza ukawa uchaguzi wenye turnout ndogo sana kuliko uchaguzi wowote katika historia ya Tanzania!
Haya ni matokeo ya kutumia watu wajinga na wenye mizaha kuzungumzia mambo ya maana ya hili taifa na maisha ya watanzania ,sasa haya ndiyo matokeo yake!.. Kidogo kidogo tutajikuta tuko sehemu ngumu sana kama taifa..
Maneno haya yanaweza kuwa machungu kama pakanga lakini dawa chungu na kali sana ndiyo inayotibu na kuondoa maradhi!..Kwa hiyo mkichukia chukieni at your own risk lakini mwisho wa siku we have a countey to protect na tunafanya kazi ya ki Mungu na Mungu atatulinda pale watu wanapotukasirikia na shetani wao na kutaka kutufyatua!..
Hatuwezi kusonga mbele kama taifa kwa kutumia uganga na uchawi na kutoa watu makafara kama anavyofanya Wassira! HAIWEZEKANI
#KigogoMediaUpdates
Alianza kwa kuimba mapambio ...Hii ishu ni kwamba mtu fulani anaangushiwa jumba bovu ,kwa sababu ni moja tu: kama mimi ningepewa nafsi ningemshauri asiende kinyume na Marehemu ila yeye akifuata genge fulani ambalo lilikuwa linamjengea zengwe ..Anakumbuka shuka wakati kunakucha?
Na yeye ni mmoja wa waliochangia sana kutufikisha hapa kwa kumpa kichwa huyu mkatili Samia ili watubake, watulawiti, watuteke ba kutuua.
huyo mropokaji ni wawapi gentlemanANGALIZO MAHSUSI:
Kinachoendelea huko instagram na Facebook na TikTok kama wahusika watadharau na kuchukulia poa basi hawako sawa kiakili!..
Serikali hii ilikuwa so dear to wananchi na wakiipenda sana toka siku ya kwanza!. Swali ni kuwa imekuwaje imefika hapa? Nini kimetokea tena kwa muda mfupi sana? Majibu ni mengi lakini machache ni kuwa mawaziri ni majizi na hayajali lolote yanaiba sana, mawaziri wamegeuka kuwa miungu watu wanawaza madaraka tu na wameacha kusikiliza wananchi, tunatumia propadanga zaidi kuliko uhalisia kuelezea shida za watu na watanzania na maisha yao!
Hatutaki kuwa wakweli kunapokuwa na matatizo na shida za watu wetu! Mwisho tumeamua kutumia akina Mwijaku, Baba Levo sijui Dotto Magari kama nembo ya utaifa wetu kwenye kuelezea mambo ya maana! That is where is started to rain on us!..and we are in such a predicament as a country!..
Tunawakumbusha tu kuwa Tanzania ilipata uhuru bila kupigana vita wala kumwaga damu ! Sasa sijajua nini kinawadanganya kuwa watu hawawezi kuleta resistance na kuanzisha civil disorbedience kwa staili ile ile ya wakati wa kupigania uhuru na ikatokea!..
Tusipokuwa na maarifa na akili kwenye kushughulika na hili basi tukae tukijua kuwa watu hawa watajamasishana na uchaguzi wa mwakahuu unaweza ukawa uchaguzi wenye turnout ndogo sana kuliko uchaguzi wowote katika historia ya Tanzania!
Haya ni matokeo ya kutumia watu wajinga na wenye mizaha kuzungumzia mambo ya maana ya hili taifa na maisha ya watanzania ,sasa haya ndiyo matokeo yake!.. Kidogo kidogo tutajikuta tuko sehemu ngumu sana kama taifa..
Maneno haya yanaweza kuwa machungu kama pakanga lakini dawa chungu na kali sana ndiyo inayotibu na kuondoa maradhi!..Kwa hiyo mkichukia chukieni at your own risk lakini mwisho wa siku we have a countey to protect na tunafanya kazi ya ki Mungu na Mungu atatulinda pale watu wanapotukasirikia na shetani wao na kutaka kutufyatua!..
Hatuwezi kusonga mbele kama taifa kwa kutumia uganga na uchawi na kutoa watu makafara kama anavyofanya Wassira! HAIWEZEKANI
#KigogoMediaUpdates

FREE TUNDU ANTIPAS LISSUSiasa zenu mnatengeneza zengwe ili serikali ichukiwe badala mjenge sera nzuri ili mpate ushawishi ,ujinga mtupu ...Kwa hiyo kabadilika akaanza kuua watu ? Angeruhusu watu warudi ?hakuna mwenye roho hiyo ,asingekubali Lema na mwenzie warudi .
Ukweli usemwe ,mnatengeneza drama ambazo hakuna mwenye akili anaweza kukubali ,kuna wale wanaharakati wenu wala haingii akili : wamepigwa na kubakwa na polisi ,kadanganyeni wajinga wenzenu huko.
FREE TUNDU ANTIPAS LISSUTapeli huyo
FREE TUNDU ANTIPAS LISSUhuyo mropokaji ni wawapi gentleman![]()