Angalizo: Makonda akiendeleza siasa kwenye maandalizi ya Taifa Stars atawagawa watanzania

habari ndiyo hiyo!!
 
Kwani kuwa shabiki wa timu flani ni lazima au hiari???

Sent using Jamii Forums mobile app

Hiyo ni national timu...siyo timu fulani..hapo siyo suala la ushabiki...ni suala la kitaifa...ila ni kweli kumhusisha huyo sijui nani naona ni kosa kubwa la kimkakati...Huyo abaki na mambo ya Dar es Salaam...Nasikitika sana kuwa na watu ndani ya TFF wasiopima issues...hovyokabisa...
 
Kitendo cha Bashite kuwepo kwenye kamati basi taifa star ifungwe tu! huyu hawezi kuongea bila kumtaja Jiwe utadhani mmewe
 

Huoni kwamba Stars ikishinda ni CCM imeshinda?
 
"Mimi ndio mkuu wa huu mkoa. Na huu mkoa ndio wa kwangu. Sijakabidhiwa kwa majaribio. Nimekabidhiwa kuongoza, nitabadilisha route zote kwenda uwanja wa taifa. Tukishinda tunafunga baadhi ya mitaa, vinywaji vyote vinauzwa kwa nusu bei kwa zaidi ya saa sita."
- Daudi Albert Bashite
πŸ˜³πŸ˜πŸ™ŒπŸΎπŸ‘†πŸΎ


Ni wazi kutakuwa na uvunjifu wa maadili kwa kuchochea unywaji wa kupindukia kwasababu tu timu imeshinda. Unafungaje mitaa ili watu wasiokuwa na shughuli za mpira wasiendelee na shughuli zao za maisha ya kila siku? Sioni kama huu ni uhamasishaji ila ni kuonesha ubabe na ulevi wa madaraka tu. Tayari mwenyekiti wa uhamasishaji kesha wakatisha tamaa wengi. Yeye silaha yake kubwa ni wasanii kwa kila jambo. Najiuliza hiyo nusu ya bei inayobaki analipa nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…