Kimangi
Member
- Jan 7, 2019
- 16
- 16
Utekaji kwenye anafeliKwa upande wangu naona tu ile Bashite kuwa Kiongozi wa Uhamasishaji kwa Timu ya Taifa tayari ni NAJISI kwa hii timu..
Hakuna lolote la Maendeleo lililowahi kusimamiwa na huyu jamaa limewahi kufanikiwa labda mambo ya kishezishenzi kama utekaji nk nk.
Sent using Jamii Forums mobile app
