Angalizo: Makonda akiendeleza siasa kwenye maandalizi ya Taifa Stars atawagawa watanzania

Hakuna Watu Wapumbavu Hapa Tanzania Kama Wafuasi Wa Chadema Yaani Taifa Stars Wafungwe Kwa Ajil Ya Makonda? Kama Hamumpendi Makonda Hameni Dar Es Salaam Basi Achen Upumbavu Mabwege Nyie
mkuu binafsi kura yangu uchaguzi ujao Ngosha atapata ila ktk mechi hii nasema Uganda shida goli nyingi...Bashite ni janga la kitaifa!!!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hamasa inabidi maswala ya dolali na si nusu bei ya vinywaji yeye anadhani wote ni walevi,
 

Tuachane na huyo mwanasiasa,yeye atapita lakini timu yetu ya Taifa itaendelea kuwepo.
Tukaiunge mkono timu yetu.
 
Mimi huwa sielewagi kwani hii ni team ya Mkoa wa Dar es salaam au ni team ya Taifa? Bashite kujiingiza hapa inakuwaje? Anajua mpira kweli huyu? Inamaana kakosekana mtu mwingine kuwa mwenyekiti wa kamati ambaye ni mweledi ktk mambo ya mpira? Najua huyu n mtu wa kuforce mambo ila hatutatoboa. Nilishajipanga kuingia Taifa ila kwahili limenifanya ni ghairi. Mtu mwenye laana ya damu za watu wengine mikononi mwake, anaanzisha mambo hayakamilikagi hata siku moja kama Pimbi leo anapewa shughuli hii adhim kabisa tena ktk dakika za majeruhi. Nyoooo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…