Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Hao wanasiasa kazi yao ni kuwahamasisha tu mashabiki zao na wananchi wanaowaongoza kujitokeza uwanjani kuwashangilia stars
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao wanasiasa kazi yao ni kuwahamasisha tu mashabiki zao na wananchi wanaowaongoza kujitokeza uwanjani kuwashangilia stars
mkuu binafsi kura yangu uchaguzi ujao Ngosha atapata ila ktk mechi hii nasema Uganda shida goli nyingi...Bashite ni janga la kitaifa!!!.Hakuna Watu Wapumbavu Hapa Tanzania Kama Wafuasi Wa Chadema Yaani Taifa Stars Wafungwe Kwa Ajil Ya Makonda? Kama Hamumpendi Makonda Hameni Dar Es Salaam Basi Achen Upumbavu Mabwege Nyie
hamasa inabidi maswala ya dolali na si nusu bei ya vinywaji yeye anadhani wote ni walevi,Mbona watanzania wameshaliona hilo angalizo kitambo ndio maana huoni mzuka...wamejazana mle wanalumumba watupu..ni bahati mbaya Rais wa TFF nae ni kibaraka wa lumumba na mbaya zaidi hanaga USHAWISHI wowote katika soka letu...kwa walivyokosea kujazana humo kwenye kamati tusitegemee kuona hamasa yoyote au kujaa uwanja jumapili...
Heshima kwenu wanajamvi.
Natoa tahadhari kwa TFF na watanzania kwa ujumla kuwa makini na propaganda za kisiasa zinazofanywa na mkuu wa mkoa wa Dsm Paul Makonda kila anapozungumzia maandalizi ya mchezo wa Taifa Stars dhididi ya Uganda.
Makonda anatumia nafasi aliyopewa ya mwenyekiti wa kamati ya maandalizi kumsifia rais na serikali badals ya kuwahamasisha watanzania kuisapoti timu ya taifa.
Natoa angalizo kwa TFF kuacha kuwateua wanasiasa kwenye masuala ya mpira kwani kunawagawa watanzania badala ya kuwaunganisha.
Kushinda mtashinda,lakini Sisi Lesotho tunawafunga Cape Verde goal Moja tuu basiVery sad, lakini tutashinda hata usiposhangilia!
Nlidhani ntakuwa pekeyangu aiseee!!Binafsi jpili hii nitakua upande wa UGANDA
siwezi kuhamasishwa kushangilia na kina Wema, Steve, JB & CO
Mtu kama huyu anahamasisha nini Mkuu?Hao wanasiasa kazi yao ni kuwahamasisha tu mashabiki zao na wananchi wanaowaongoza kujitokeza uwanjani kuwashangilia stars
Daaah le mtumboz kanifurahisha sana asee!!
CHADEMA mtalitakia lini taifa letu mema muda wote ni siasa za U CCM na U CHADEMA.
Hapana mkuu! ombea washinde na wafuzu Afcon wao wanawakilisha Tz hayo mengine tujadili baadae.
Hiyo ruhusa anatoa nani? Hao wengine watakoshiriki umejiridhisha hakuna wanafiki?Hakuna ruhusa wanafiki kushiriki Afcon.