Angalizo: Makonda akiendeleza siasa kwenye maandalizi ya Taifa Stars atawagawa watanzania

Angalizo: Makonda akiendeleza siasa kwenye maandalizi ya Taifa Stars atawagawa watanzania

Eti kitengo, unataka watu aongelee kitu kimoja kwa siku ngapi, jambo lolote likijitokeza linapaswa kujadiliwa likishaeleweka linakufa lenyewe by natural death. Maalimu ni Zitto leo wako Pemba na kazi zingine zinaendelea kama kawaida.
Muache huyo ni punguani, kwa uzi huu na nyingine nyingi Makonda na watu wake wamejua kuwa hawapendeki kabisa katika anga hili. Ona watu wamekuwa radhi kuiombea mabaya timu yao sababu ya hilo jamaa Bashite kushirikishwa kwenye timu yetu. Na hilo likiwa halitoshi bado anakuja na upumbafu wa ajabu kwa kauli za kijingajinga kabisa.
Hivi Jiwe umelogewa nini hata makombora yote haya kwa hilo toto lako haramu wewe unajiona kama unapigiwa gitaa na Ndala Kasheba? Hebu kaa na mama Jesika muombe ushauri kuhusu haya mahaba yako kwa DAB ili akushauri uende kwa sangoma kupata zindiko la kuondoa hilo Limbwata
 
Heshima kwenu wanajamvi.
Natoa tahadhari kwa TFF na watanzania kwa ujumla kuwa makini na propaganda za kisiasa zinazofanywa na mkuu wa mkoa wa Dsm Paul Makonda kila anapozungumzia maandalizi ya mchezo wa Taifa Stars dhididi ya Uganda.

Makonda anatumia nafasi aliyopewa ya mwenyekiti wa kamati ya maandalizi kumsifia rais na serikali badals ya kuwahamasisha watanzania kuisapoti timu ya taifa.

Natoa angalizo kwa TFF kuacha kuwateua wanasiasa kwenye masuala ya mpira kwani kunawagawa watanzania badala ya kuwaunganisha.
Yule Rais wa TFF ndo wa kulaumiwa kwa ujinga huu, hawazi mpira anawaza jimbo la Tanga Mjini mwaka 2020
 
poor him. anaona TS ina nafasi ya kufuzu ndo maana analeta shobbo.
 
kwenye mambo muhimu kama haya viongozi wa upinzani huwa hawaonekani wanaonekana kwenye kulaumu tu..
 
Tff yenyewe imekua kama tawi la ccm. Ni upuuzi mtupu unaendelea..

Sina tatizo na hilo, ingawa hiyo ni perception tu..Binafsi mimi sijaona kuwa TFF ni tawi la CCM, ila ni kweli hao TFF nadhani wengi wao hawajui wanachofanya...Hawana mikakati, hawaangalii masuala ya michezo ...nadhani wapo kimaslahi zaidi..Yaani kumleta Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam eti kuwa mhamasishaji??? They are not serious at all...Yaani nimeangalia ile kamati ...nimeshanggaa...yaani eti hata...Mungu anisaidie nisitaje majina...sijui wanenguaji...sijui wengine ni watu wa kujikomba...yaani kimsingi hawana sifa kabisa...watu muhimu wa soka...kama akina Kibadeni, Kitwana na wengine kadhaa hawamo...Hivi kuhamasisha maana yake ni nini hasa??!! My God...Nimesoma leo mahali timu ya Arusha United imejitoa kwenye ligi daraja la kwanza kwa sababu ambazo ukizisikia kama ni za kweli zinatisha kabisa....Ligi Kuu iko raundi ya lala salama sina hakika kama Simba imeshacheza mchezo hata mmoja na Kagera au Mtibwa...Sina hakika kama Yanga imecheza hata mchezo mmoja na Azam...Ni ngumu kuielewa hali hii....Yaani wahamasishaji ni wanenguaji, na baadhi yao hata moral aspect haipo kabisa ndani ya jamii...Ni maajabu...Binafsi nilikuwa na nia kwenda kuishangilia Taifa Stars yetu..lakini siendi kabisa...ikishinda nitashangilia ikifungwa nitasikitika kama Mtanzania....Upo wakati mtu mmoja anaongoza mkoa wa Dar es Salaam Simba na Yanga wanacheza yeye anavaa T shirt ya timu mojawapo...dah ...
 
Back
Top Bottom