Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Muache huyo ni punguani, kwa uzi huu na nyingine nyingi Makonda na watu wake wamejua kuwa hawapendeki kabisa katika anga hili. Ona watu wamekuwa radhi kuiombea mabaya timu yao sababu ya hilo jamaa Bashite kushirikishwa kwenye timu yetu. Na hilo likiwa halitoshi bado anakuja na upumbafu wa ajabu kwa kauli za kijingajinga kabisa.Eti kitengo, unataka watu aongelee kitu kimoja kwa siku ngapi, jambo lolote likijitokeza linapaswa kujadiliwa likishaeleweka linakufa lenyewe by natural death. Maalimu ni Zitto leo wako Pemba na kazi zingine zinaendelea kama kawaida.
Hivi Jiwe umelogewa nini hata makombora yote haya kwa hilo toto lako haramu wewe unajiona kama unapigiwa gitaa na Ndala Kasheba? Hebu kaa na mama Jesika muombe ushauri kuhusu haya mahaba yako kwa DAB ili akushauri uende kwa sangoma kupata zindiko la kuondoa hilo Limbwata