Angalizo: Vyeo vya WHO siyo vya Urithi

Angalizo: Vyeo vya WHO siyo vya Urithi

Kwanza Kabisa nachukua nafasi hii kutoa pole kwa Msiba wa Dkt Faustine Ndugulile, Lakini pole hii naitoa kwa familia yake tu, Sitoi Pole kwa Bunge wala kwa mwingine yeyote yule.

Baada ya Utangulizi huo naomba niingie moja kwa moja kwenye hoja yangu fupi sana, Ni hivi, Vyeo vya Kimataifa, kama vya WHO au UNICEF si vyeo vya kurithishana kama vyeo vya Tanzania, hivi ni vyeo vinavyogombewa baada ya Usaili mzito kutoka kwa Watu wenye akili nyingi, anayesailiwa ni mtu binafsi, Mtu huyo huchunguzwa mwenendo wake tangu huko kwao alikotoka kama yeye binafsi anao weledi.

Ndugulile alifukuzwa Uwaziri baada ya kumpinga Rais wa Tanzania, John Magufuli kuhusu namna ya kupambana na Korona, Magufuli aliamini katika Ushirikina wa Kupiga nyungu, Jambo ambalo Dr Faustine alilipinga, na likamgharimu Cheo chake na mambo mengine ambayo sitayataja, jambo hili ni miongoni mwa yaliyomfanya apigiwe kura na Watu wengi, Alichaguliwa Dr Ndugulile, haikuchaguliwa Tanzania

Vyeo vya WHO si kama Ubunge wa ccm, kwamba kwa vile Selina Kombani kafa basi Ubunge wake tumpe Mwanaye, mwanaye ambaye kazi yake kubwa bungeni ilikuwa kuorodhesha dawa za kuongeza nguvu za kiume likiwemo vumbi la Congo, Nani aliyesahau hili?

Hoja yangu ni kwamba Kifo cha Dr Faustine hakitaifanya Tanzania ionewe huruma ili Hata wakipeleka mgombea Duni basi achaguliwe tu.
Mkuu ulimsikiliza Jk vzr akiwa msibani?
Na mama umemsikiliza?
 
Mboga mboga walijua wapo chimwaga🤣
 
Na Dr Mollel ataelezewa hivyo hivyo kwsmba aliunga Juhudi na kutwaa nafasi ya Ndugulile na kurejesha chanjo

Ikumbukwe Dr Mollel ndiye aliwashauri Wabunge wa Chadema waende lockdown 😂😂😂😂
Usisahau pia kuwa alidai alikuwa kwenye mpango wa CHADEMA wa kumpiga Lissu risasi. Hafai.
 
Na Dr Mollel ataelezewa hivyo hivyo kwsmba aliunga Juhudi na kutwaa nafasi ya Ndugulile na kurejesha chanjo

Ikumbukwe Dr Mollel ndiye aliwashauri Wabunge wa Chadema waende lockdown 😂😂😂😂

Dr. Mollel hapana kabisa kabisa, na CCM haiwezi mchagua mtu kama Mollel akagombee nafasi kama ya Ukurugenzi wa WHO Africa, one main reason is, Mollel ni kilaza sana sana, his ability even to explain himself hawezi, atatutia aibu
 
Ndugulile alifukuzwa Uwaziri baada ya kumpinga Rais wa Tanzania, John Magufuli kuhusu namna ya kupambana na Korona, Magufuli aliamini katika Ushirikina wa Kupiga nyungu, Jambo ambalo Dr Faustine alilipinga, na likamgharimu Cheo chake na mambo mengine ambayo sitayataja
Hiyo Corona yenu ilikuwa ni upumbavu mtupu. Pili Hakuondolewa uwaziri ila unaibu waziri. Tatu Kama angefukuzwa basi asingepewa Uwaziri kamili wa wizara mpya iliyoundwa baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 kwahiyo hichi ulichokiandika ni pumba tupu. Acha kuwa unajifariji kijinga.
 
Haijulkani kama Unalia au Unalalamika
 
Kwanza Kabisa nachukua nafasi hii kutoa pole kwa Msiba wa Dkt Faustine Ndugulile, Lakini pole hii naitoa kwa familia yake tu, Sitoi Pole kwa Bunge wala kwa mwingine yeyote yule.

Baada ya Utangulizi huo naomba niingie moja kwa moja kwenye hoja yangu fupi sana, Ni hivi, Vyeo vya Kimataifa, kama vya WHO au UNICEF si vyeo vya kurithishana kama vyeo vya Tanzania, hivi ni vyeo vinavyogombewa baada ya Usaili mzito kutoka kwa Watu wenye akili nyingi, anayesailiwa ni mtu binafsi, Mtu huyo huchunguzwa mwenendo wake tangu huko kwao alikotoka kama yeye binafsi anao weledi.

Ndugulile alifukuzwa Uwaziri baada ya kumpinga Rais wa Tanzania, John Magufuli kuhusu namna ya kupambana na Korona, Magufuli aliamini katika Ushirikina wa Kupiga nyungu, Jambo ambalo Dr Faustine alilipinga, na likamgharimu Cheo chake na mambo mengine ambayo sitayataja, jambo hili ni miongoni mwa yaliyomfanya apigiwe kura na Watu wengi, Alichaguliwa Dr Ndugulile, haikuchaguliwa Tanzania

Vyeo vya WHO si kama Ubunge wa ccm, kwamba kwa vile Selina Kombani kafa basi Ubunge wake tumpe Mwanaye, mwanaye ambaye kazi yake kubwa bungeni ilikuwa kuorodhesha dawa za kuongeza nguvu za kiume likiwemo vumbi la Congo, Nani aliyesahau hili?

Hoja yangu ni kwamba Kifo cha Dr Faustine hakitaifanya Tanzania ionewe huruma ili Hata wakipeleka mgombea Duni basi achaguliwe tu.
Hoja imesimama vema. Safi sana!
 
Back
Top Bottom