SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Alikuwa mchawi kabisaJiwee alikuwa mshirikina?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuwa mchawi kabisaJiwee alikuwa mshirikina?
Kama utaratibu haujui je, utawezaje kumudu majukumu ya kila siku?Binafsi nitagombea na nitashinda sitaki chawa wala nini ,mwenye kujua taratibu kuanzia tuma maombi atusaidie
Hujui dunia wewe, kama ukiwa na majukum mazito unawezaje fuatilia kila jambo , weka mwongozo sitaki chawa yeyote wa kunipigia debe , kama nimevuka vikwazo 27 na kufaulu nashindwaje nafasi nyepesi kama hii?Kama utaratibu haujui je, utawezaje kumudu majukumu ya kila siku?
Hii sio nafasi ya mjumbe wa kitongoji.
JK ni nani pale WHO?Acha ujinga jana JK kaeleza alivyomsaidia Faustine kupata huo ukurugenzi
Siku zote usipo simama na maslahi, utatenda yalio sahihi kama mtaalamu mwenye taaluma yake! Na ndicho hicho alichofanya Ndugulile kipindi cha Corona,alisimama na taaluma yake,hata Kanisa lake halikumuyumbisha kwenye taaluma yake! Maana hata huko kuna watu wanapona kwa miujiza!!Hiyo ilikuwa kampeni na inaruhusiwa, na moja ya kampeni aliyofanya JK ilikuwa kuwaeleza wajumbe kwamba huyu alipinga nyungu, na kupinga kwake kulifanya atimuliwe
Basi hujasikilizakwamba?
Hajui hata mchakato unavoenda.Acha ujinga jana JK kaeleza alivyomsaidia Faustine kupata huo ukurugenzi
Hujui Dunia ,pumbavu ,kuwa uwezo biafsi unamtegemea Jk so whatHajui hata mchakato unavoenda.
Kwanza natoa pole kwa familia, ndugu, jamaa na marafiki. Ikumbukwe jambo la WHO ni la kitaifa nchi zingine nazo zilitoa wagombea wao. Mhe Ndugulile alikuwa na sifa zilizombeba.Lakini siasa z nje ya nchi nazo zilikuwa na nafasi jumuiya afrika mashariki na sadec zote zilichangia . Ruto alikubaliana na samia wampigie kampeni huku sisi Tanzania tukimpa sapoti raila odinga kwa nafasi ya mwenyekiti wa Au. Kwaiyo kikwete kwa kufahamiana na maraisi alitoa mchango wake. Tatizo viongozi wetu wanapenda sifa na dezo. Kwamba tupeww hata tusipostahiliKila mtu kamsaidia na makamba naye anadai amemsaidia, betina wa bungeni naye. bado mama Abdul aje naye atasema
Maccm kama Yana laana vile
Na mmarekani alivyofanya yake kuna dili tena huko?Naomba Kuwasilisha na Natanguliza Shukrani
😆😆😆😆😆Na mmarekani alivyofanya yake kuna dili tena huko?