Angalizo: Vyeo vya WHO siyo vya Urithi

Hiyo ilikuwa kampeni na inaruhusiwa, na moja ya kampeni aliyofanya JK ilikuwa kuwaeleza wajumbe kwamba huyu alipinga nyungu, na kupinga kwake kulifanya atimuliwe
Kutokana na gubu lililokujaa hata hukuelewa alichokisema Mh. Rais Samia. Nitakusaidia; amesema Tanzania itatafuta mtu mwingine mwenye sifa ili "akashindane" kwenye usaili mwingine na sio "kupewa" nafasi ya Hayati Dk. Ndungulile.
By the way, kurithishana hata Chadema kupo. Babamkwe (Mzee Mtei) alikuwa Mwenyekiti Taifa. Alipotoka, Shemeji yake (Bob Makani) akaingia. Sasa hivi yupo "Mkwilima" wa Mzee Mtei (Mbowe). Baada ya hapo anasubiriwa Binti Wakili Msomi awe Mwenyekiti! Ahahahahaha!! Wewe utaishia kuwa chawa tu kama Mwijaku tofauti maeneo na namna ya kuwa chawa! Ahahahahaha!!!
 
Nimecheka ulivyo yapiga miba utosini na mambumbumbu ya kishirikina na ulozi toka Lumumba.
 
Sijaelewa kama unalalamika au unalia
 
Chonde wasipeleke kigwangala
 
Na Dr Mollel ataelezewa hivyo hivyo kwsmba aliunga Juhudi na kutwaa nafasi ya Ndugulile na kurejesha chanjo

Ikumbukwe Dr Mollel ndiye aliwashauri Wabunge wa Chadema waende lockdown πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hamnaa, huyo alikuwa ashaunga juhud, na alisimama na Magu mpaka akapewa unaibu waziri nafasi ya hayati Faustine
 
Na Dr Mollel ataelezewa hivyo hivyo kwsmba aliunga Juhudi na kutwaa nafasi ya Ndugulile na kurejesha chanjo

Ikumbukwe Dr Mollel ndiye aliwashauri Wabunge wa Chadema waende lockdown πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hizi pombe chafu unazofakamia bila kula zimekutoa akili kabisa
 
Hatuongelei kuepuka kifo, tunaongeoea uwezo mkubwa aliyokuwa nao Ndugulile wa kumpa za uso jiwe.
Hata hivyo hakuwa msaada kwa raia, alivyorejeshwa kwenye Uwaziri na kupewa wizara ya mawasiliano na teknolojia, chap akaruhusu mabando kupanda, ni kama alikuwa kasubiriwa yeye.

Maamuuzi yake hayo, hadi leo yanatutesa raia wa vipato vya chini.
 
Jamani, tunapotabiri watakaogombea tuangalie na muundo wa vichwa. Kweli muundo wa kichwa chake kimetokana na ugonjwa ZIKA naye tunamtabiria ukurugenzi wa WHO!!!
Jamani, jamani, jamani.....
 
Wahuni wanataka kupeleka mrithi kule.

Ubwege ni mzigo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…