M.Rutabo
JF-Expert Member
- Apr 8, 2015
- 1,031
- 2,647
Faida za mji flani kuitwa jiji tutajie tafadhali?Kumbe humu Kuna watu weupe kiasi hk kwani uliambiwa hayo majengo ndo yamefanya lile jiji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Faida za mji flani kuitwa jiji tutajie tafadhali?Kumbe humu Kuna watu weupe kiasi hk kwani uliambiwa hayo majengo ndo yamefanya lile jiji
Wacha wapasue mawe as long as wanapata kipato. Wacha wauze ardhi kwani si ni ya mababu zao??Siwaabudu wanyakyusa man, unanishambulia kwa makonde mfululu safwa boy, mimi sikukutuma uwe msafwa.
Waelemishe ndgu zako huko milimani, wajae mjini na wamiliki biashara badala ya kuuza maeneo mjini na kwenda kupasua mawe milimani, matokeo yake mnaishi kijima.
Usikasirike jombaa, no hard feelings...Wacha wapasue mawe as long as wanapata kipato. Wacha wauze ardhi kwani si ni ya mababu zao??
Nyie Wanyakyusa kwenu kubaya ndiyo maana mnajaa Mbeya. Hebu jaribuni mbakie kule Rungwe na Kyela. Wachovu tu mlichobakiza ni majivuno
Toa ufala wako punga wewe!Husika na kichwa Cha habari hapo juu.
Tofauti na ilivyo kwenye majiji mengine Kama vile Dodoma, Arusha, Tanga na kwingineko Ila tabia na matendo ya watu wa Mbeya kwa wageni na kwa miundombinu ni hatari mno kwa usitawi wa amani na maendeleo ya jiji Hilo la Mbeya. Haya yafuatayo ndo yanakichafua Jiji la Mbeya;
1. Wizi wa Solar za taa za barabarani, haya mambo yanafanywa na wenyeji na hutaona tabia hizi hata kwenye Halmashauri tu.
2. Kuwashambulia wageni hasa wale wanakuja kwa ajili ya kufanya matamasha. Tumeona juzi hapa msanii akirushiwa makopo ya maji bila sababu, hii inachafua taswira ya Jiji la Mbeya, baadae wasanii watakuwa hawaji
Pia, Soma: Wasafi Festival Mbeya hali imekuwa tete. Zuchu akimbia Jukwaa
Yapo mengi sana yakuorodhesha hapa lakini kwa leo naomba niishie hapo ili nipate muda wa kuyajadili haya.
NB: Hizo tabia zikiendelea ipo siku jiji la Mbeya litafutwa na kuwa halmashauri ya Mji mdogo, tunawaomba viongozi wetu endeleni kutoa adhabu Kali kwa wote wanaolichafua jiji, pia hizo taa za barabarani wekeni doria kuzilinda.
Hiyo kauli ya "Samia mitano tena" inaudhi sana kwa kweli.Husika na kichwa Cha habari hapo juu.

Jina jiji linakupa ugali? Mbona maeneo tunayoishi hayaitwi jiji lakin hatulali njaa, fikiri kabla haujaamua heading ya habari yakoHusika na kichwa Cha habari hapo juu.
Tofauti na ilivyo kwenye majiji mengine Kama vile Dodoma, Arusha, Tanga na kwingineko Ila tabia na matendo ya watu wa Mbeya kwa wageni na kwa miundombinu ni hatari mno kwa usitawi wa amani na maendeleo ya jiji Hilo la Mbeya. Haya yafuatayo ndo yanakichafua Jiji la Mbeya;
1. Wizi wa Solar za taa za barabarani, haya mambo yanafanywa na wenyeji na hutaona tabia hizi hata kwenye Halmashauri tu.
2. Kuwashambulia wageni hasa wale wanakuja kwa ajili ya kufanya matamasha. Tumeona juzi hapa msanii akirushiwa makopo ya maji bila sababu, hii inachafua taswira ya Jiji la Mbeya, baadae wasanii watakuwa hawaji
Pia, Soma: Wasafi Festival Mbeya hali imekuwa tete. Zuchu akimbia Jukwaa
Yapo mengi sana yakuorodhesha hapa lakini kwa leo naomba niishie hapo ili nipate muda wa kuyajadili haya.
NB: Hizo tabia zikiendelea ipo siku jiji la Mbeya litafutwa na kuwa halmashauri ya Mji mdogo, tunawaomba viongozi wetu endeleni kutoa adhabu Kali kwa wote wanaolichafua jiji, pia hizo taa za barabarani wekeni doria kuzilinda.
Una dharau sana wewe bwege kuponda makabila ya wenzio as if wewe kabila lako kila mmoja ana mafanikio. Watanzania wote tuko sawa, kuna walio na mafanikio na kisomo na kuna ambao hawana mafanikio.Mimi sio mnyakyusa jombaa, na sijaweka jab sina uhasama na wasafwa popote mlipo hata huko milimani nikiishi nanyi.
Umeanza kwa ustaarabu mwanzo, mwisho umeishia kunishambulia tena, we msafwa jau sana.Una dharau sana wewe bwege kuponda makabila ya wenzio as if wewe kabila lako kila mmoja ana mafanikio. Watanzania wote tuko sawa, kuna walio na mafanikio na kisomo na kuna ambao hawana mafanikio.
Sisi makabila yaliyopo makao makuu ya miji ma majiji hatuna namna ya ku-resist kusogea pembeni wakati Mamlaka za Mijiji/Manispaa/ Miji inapotaka maeneo.
Kuwacheka Wasafwa au Wazaramo wanaosogea pembeni kupisha mipango miji ya Serikali ni kuwakosea heshima. Ndiyo maana nasema kama wewe siyo Mnyakyusa basi liweke kabila lako hapa tulichambue. Acha upumbavu wako
Umeshuhudia nini? Cha ajabu nini? Ulitaka Wasafwa wang'anga'anie kukaa mjini? Wewe ni MKABILA na umeamua kutumia jukwa hili kuwazodoa Wasafwa. Siwezi kukukalia kimya MNYAMANYAFU mla watu kutoka TukuyuUmeanza kwa ustaarabu mwanzo, mwisho umeishia kunishambulia tena, we msafwa jau sana.
Mimi sina dharau, naandika nilichoshuhudia na kusikia, safwa boy punguza jazba.
Stuxnet zimbombo.....
Daah braza mpaka unaniita mnayamanyafu, watu wa malawi hao, wanelowea maeneo karibu na ikuti huko..Umeshuhudia nini? Cha ajabu nini? Ulitaka Wasafwa wang'anga'anie kukaa mjini? Wewe ni MKABILA na umeamua kutumia jukwa hili kuwazodoa Wasafwa. Siwezi kukukalia kimya MNYAMANYAFU mla watu kutoka Tukuyu
Kama kwenu ni kuzuri kwanini msikae huko mpaka mankuja Mbeya??
Jiji la Mbeya sidhani Kama watu wake wanajua kuwa wapo jijin