Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa yaishe comrade🙏🏿Wewe ndio mweupe kwanza sisi toka wameweka hizo sola sijaona kama kuna mahali zimeibiwa na kama kuna mahali zimeibiwa basi hali siyo mbaya kama unavyo tuaminisha.kuhusu wageni kupigwa zuchu alistahili kichapo . kuna mtu ameongelea Udini sio kweli kwa sababu kitongoji ninacho kaa mwenyekiti wetu ni muislamu na wananchi wake asilimia tisini ni wakristo na pia siyo mwenyeji wa huku lakini anakubalika sio kawaida .mkitaka kufuta jijini futeni halituongezei chochote mfukoni
😂😂😂 Jombaa mimi sio mnyakyusa, na ni kweli wanyakyusa wanasifika kwa kugawa mbunye, maharage ya mbeya maji mara moja ndo wanyakyusa.Kumbe nabishana na Mnyakyusa!! Wanyakyusa mumechangamsha kitu gani? Kama ni uchovu tuko sawa tu. Nyie wanyakyusa mnachotuzidi ni maringo na dharau tu. Nimetembea sana Rungwe na Kyela, maskini watupu, mapalachichi na ndizi tu ndiyo mnategemea. Na wanawake zenu kuuza uchi. Daadaadeki
hakuna udini mkoani mbeyaWewe ndio mweupe kwanza sisi toka wameweka hizo sola sijaona kama kuna mahali zimeibiwa na kama kuna mahali zimeibiwa basi hali siyo mbaya kama unavyo tuaminisha.kuhusu wageni kupigwa zuchu alistahili kichapo . kuna mtu ameongelea Udini sio kweli kwa sababu kitongoji ninacho kaa mwenyekiti wetu ni muislamu na wananchi wake asilimia tisini ni wakristo na pia siyo mwenyeji wa huku lakini anakubalika sio kawaida .mkitaka kufuta jijini futeni halituongezei chochote mfukoni
Hata kama siyo mnyakyusa unabakia ni wakala wa Wanyakyusa maana ndiyo unawaabudu. Usafi wa Wanyakyusa uko wapi? Na kuna shida gani kupasua mawe kama wateja wa mawe wapo? Kipi bora kupasua mawe upate hela au kuuza "K" ndiyo ukalishe familia.😂😂😂 Jombaa mimi sio mnyakyusa, na ni kweli wanyakyusa wanasifika kwa kugawa mbunye, maharage ya mbeya maji mara moja ndo wanyakyusa.
Wanyakyusa wanawadisi wasafwa kua ni wachafu na washamba, wasafwa wanawadisi wanyaki kua ni malaya.
Ninyi wasafwa mmestaarabika juzi tu apo, mpaka leo ituha wasafwa wanakimbilia milimani kwa kuogopa wageni, kazi yao kubwa ni kupasua mawe huko milimani.
Kama alisema mitano tena ni sahihi kuchapwa chupa na mashabiki. Unaleta uccm/chadema kwenye jukwaa la burudan ambalo watu wamelipia pesa zaoWameona bora wawe primitives kuliko kujifanya wajanja halafu wanaishia kula madawa na kulawitiwa.
Umeenda kutoa burudani halafu unaanza habari za eti mitano tena kwa mama? Wamewaambia wamekuja kwenye mkutano wa siasa?
Mbaya zaidi watu wamelipia wa itikadi tofauti tofauti, Wasinge fanya hivyo ndugu zangu ningewaona wameanza unafki.Wameona bora wawe primitives kuliko kujifanya wajanja halafu wanaishia kula madawa na kulawitiwa.
Umeenda kutoa burudani halafu unaanza habari za eti mitano tena kwa mama? Wamewaambia wamekuja kwenye mkutano wa siasa?
Nashangaa sijui amekula makande ya wapihakuna udini mkoani mbeya
umewahi sikia msikiti umechomwa eti ndugu yangu ???
anajaribu kuichafua mbeya haiwezekani😅
Wasanii wengi tktk tuWanajielewa,msanii anaandaa event unalipia,unaenda kwenye tamasha usikilize na kuenjoy mziki halafu analeta kampeni za siasa, lazima upopolewe mawe!
Big up Mbeya ila hapo kwenye solar za barabarani wanakosea.
Kuwa Jiji wananchi wanapewa mshahara?Kumbe humu Kuna watu weupe kiasi hk kwani uliambiwa hayo majengo ndo yamefanya lile jiji