Zabron Hamis
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 7,093
- 11,377
Hakika. Kwa asilimia kubwa wasanii wamechangia sana mmomonyoko wa maadili.Matamasha hayo ya kishgshg tu
Ova
Nachukia nikisikia msanii kujiita kioo cha jamii wakati anaharibu jamii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika. Kwa asilimia kubwa wasanii wamechangia sana mmomonyoko wa maadili.Matamasha hayo ya kishgshg tu
Ova
Hayo matamasha ni ushnz mtupuuu tuuHakika. Kwa asilimia kubwa wasanii wamechangia sana mmomonyoko wa maadili.
Nachukia nikisikia msanii kujiita kioo cha jamii wakati anaharibu jamii
Poleni Mbeya sio mkoa wa kabila Moja,kuna makabila mbalimbali na wahamiaji Toka mikoa mingine.Ukienda Sehemu Moja inaitwa undalini na huko Sehemu za Mwakaleli,huwezi kusikia mwizi au wezi hata wa pini au sindano.Ni Bangi zinawashanganya hao walioko Mbeya mjini na ushamba wa kizamani kwamba u babe ndio maisha!Husika na kichwa Cha habari hapo juu.
Tofauti na ilivyo kwenye majiji mengine Kama vile Dodoma, Arusha, Tanga na kwingineko Ila tabia na matendo ya watu wa Mbeya kwa wageni na kwa miundombinu ni hatari mno kwa usitawi wa amani na maendeleo ya jiji Hilo la Mbeya. Haya yafuatayo ndo yanakichafua Jiji la Mbeya;
1. Wizi wa Solar za taa za barabarani, haya mambo yanafanywa na wenyeji na hutaona tabia hizi hata kwenye Halmashauri tu.
2. Kuwashambulia wageni hasa wale wanakuja kwa ajili ya kufanya matamasha. Tumeona juzi hapa msanii akirushiwa makopo ya maji bila sababu, hii inachafua taswira ya Jiji la Mbeya, baadae wasanii watakuwa hawaji
Pia, Soma: Wasafi Festival Mbeya hali imekuwa tete. Zuchu akimbia Jukwaa
Yapo mengi sana yakuorodhesha hapa lakini kwa leo naomba niishie hapo ili nipate muda wa kuyajadili haya.
NB: Hizo tabia zikiendelea ipo siku jiji la Mbeya litafutwa na kuwa halmashauri ya Mji mdogo, tunawaomba viongozi wetu endeleni kutoa adhabu Kali kwa wote wanaolichafua jiji, pia hizo taa za barabarani wekeni doria kuzilinda.
Jiji limejaa watu wenye tabia za kihalmashauri ya wilaya Bora hata lifutwe tu, inakuwaje watu wa jiji wanaiba mpaka betr za sola za barabaraniJiji halifutwi kirahisi hivyo, punguza siasa nyepesi.
Badala ya kulaumu, shida imeanzia wapi? Mzizi wa tatizo ni nini?
Mpumba.vu mwandamizi wewe,yaani kizuchu kile ndo kitusumbue sisi na tulia wake?? MfyuuuJiji la Mbeya sidhani Kama watu wake wanajua kuwa wapo jiji wapo very primitive
Sisi wageni tunapopita Mbeya mjn na kuona taa usiku haiwaki kisa mtu kaiba betri ya solar tunasema watu wa Mbeya wanaiba hata betr za taa za barabaraniunaposema sema watu mbeya am sure unakuwa umejumuisha kila mwana mbeya kwamba ndiyo tabia zao,???
Basi halifutwi kwa hisia zako, wala halitofutwa kwa tabia za watu. Maana jiji lote haliko hivyoJiji limejaa watu wenye tabia za kihalmashauri ya wilaya Bora hata lifutwe tu, inakuwaje watu wa jiji wanaiba mpaka betr za sola za barabarani
Tamasha lilikuwa linaendelea vizuri sana huku watu wakiendelea kupata burudani. Aliyekuja kuharibu hilo tamasha lao ni hako katoto tutakoless mnakokaita Zuchu.Stress za maisha zitawaua watu. Yani wewe umeenda kushiriki tamasha na kuna msanii humpendi unaanza kurusha mawe na chupa, akili gani hizi?? Hizo nguvu si bora utumie kupaza sauti serikali yako ilete maendeleo huko kwenu??
Tabia ya kijinga na kishamba, na umasikini wa kifikira na kukosa ustaarabu. Ifikie wakati maeneo yote ya matamasha yafungwe CCTV ili wehu kama hawa wadakwe wakaeleze vizuri hizo stress zao wanataka kuzimalizia kwa watu wengine kwa sababu gani.
Huyu demu kashaanza kula Narcotics eehNi sahihi msanii kuonesha dole la kati kama inavoonekana kwenye picha mkuu?
Wanajielewa,msanii anaandaa event unalipia,unaenda kwenye tamasha usikilize na kuenjoy mziki halafu analeta kampeni za siasa, lazima upopolewe mawe!Jiji la Mbeya sidhani Kama watu wake wanajua kuwa wapo jiji wapo very primitive
Sema ulitaka uongelee swala la zuchu tuHusika na kichwa Cha habari hapo juu.
Tofauti na ilivyo kwenye majiji mengine Kama vile Dodoma, Arusha, Tanga na kwingineko Ila tabia na matendo ya watu wa Mbeya kwa wageni na kwa miundombinu ni hatari mno kwa usitawi wa amani na maendeleo ya jiji Hilo la Mbeya. Haya yafuatayo ndo yanakichafua Jiji la Mbeya;
1. Wizi wa Solar za taa za barabarani, haya mambo yanafanywa na wenyeji na hutaona tabia hizi hata kwenye Halmashauri tu.
2. Kuwashambulia wageni hasa wale wanakuja kwa ajili ya kufanya matamasha. Tumeona juzi hapa msanii akirushiwa makopo ya maji bila sababu, hii inachafua taswira ya Jiji la Mbeya, baadae wasanii watakuwa hawaji
Pia, Soma: Wasafi Festival Mbeya hali imekuwa tete. Zuchu akimbia Jukwaa
Yapo mengi sana yakuorodhesha hapa lakini kwa leo naomba niishie hapo ili nipate muda wa kuyajadili haya.
NB: Hizo tabia zikiendelea ipo siku jiji la Mbeya litafutwa na kuwa halmashauri ya Mji mdogo, tunawaomba viongozi wetu endeleni kutoa adhabu Kali kwa wote wanaolichafua jiji, pia hizo taa za barabarani wekeni doria kuzilinda.
Hao wasanii wenu mnao waanzishia uzi hivi wamewapa nini cha maana?Mbeya hatukuwahi kuomba liwe jiji mbona mji wetu wa mbeya ulikuwa bora chini ya kina mpesya.
Sugu na mzee Mwakisisile kuliko hii takataka mnayoita jiji chini ya wavamizi wahuni wasiojulikana kina Tulia na wenzake.
Mnafunga na kupoteza watu halafu mnaleta visanii vyenu vinavyoliwa na kina pdidi utegemee watafurahi.
Yule kijana mpaka Leo haijulikani mmempeleka wapi
Mnapochabikiaga Machadema mlidhani Huwa wanapandikiza nini?Husika na kichwa Cha habari hapo juu.