Angalizo: Watu wa Mbeya mnaoishi Mbeya Mjitathimini mienendo yenu kinidhamu inalichafua Jiji, ipo siku jiji litafutwa

Lengo lako ni kuleta stori za Zuchu chawa wa sis'em hapa.

Kwa nini asipopolewe na makopo kuwaletea siasa watu kwenye burudani?

Mi nasema, watu wa Mbeya ni wastaarabu sana kumrushia makopo yasiyo na chochote ndani, maji wala mikojo.

Sehemu zingine watu ukiwaletea za kuleta unapopolewa kwa kutumia mayai viza ama chupa za mikojo ili uende uendako ukiwa unanuka hautamaniki.
 
Naona umeamua kuonesha uafrika wako sio...
Jeshi la police ndo linalinda Mali sasa kama awafanyi wajibu wao ipasavyo kuudhibiti vibaka nyakati za usiku unategemea nn, pili huyo msanii kushambuliwa ni kushika mambo mawili Kwa wakati mmoja taaluma na siasa ni maji na mafuta hivyo lazima achague kuwa moto au baridi na sio vuguvugu
 
Hujui ndio maana unaongea huu ujinga.

Kuwa Jiji ni pamoja na Serikali kutenga pesa nyingi za Maendeleo na favour zingine
Wewe kiande Sana mbeya imeanza kuwa Jiji Leo hizo pesa zinazotengwa ni chakula ya mafisadi waliopewa dhamana huko mbeya akuna manufaa yaendayo kwa wananchi acha utahira
 
Msafara wa Kikwete ulipigwa mawe na jiji halijafutwa, kumbuka Kikwete alikuwa Raisi, muulize aliyerushiwa Makopo amewafanya nini
Kwahiyo huo ndo ujanja!?
Mji gani una watu wachafu vile.
Saa mbili tu daladala hazifanyi kazi.
Kule kupigana nondo mmeshaacha?
Mbeya Bora nikae Sumbawanga Kuna ustarabu Safi kabisa.
 
Kwani nyie si mumeshika siasa zenu ,kama hamtaki si mnasema kwani lazima kumpiga ndio muonekane wa janja.

Hovyo kabisa mijitu ya huko si ajabu limji limejaa uswazi Kwa sababu Kila mtu mjuaji.
 
Siwaabudu wanyakyusa man, unanishambulia kwa makonde mfululu safwa boy, mimi sikukutuma uwe msafwa.

Waelemishe ndgu zako huko milimani, wajae mjini na wamiliki biashara badala ya kuuza maeneo mjini na kwenda kupasua mawe milimani, matokeo yake mnaishi kijima.
 
MAJITU ya MBEYA ni TOO MUCH KNOW
 
Yani unapoteza muda wako kuwapiga mikwara mbuzi watu wa mbeya you must be stupid on your own terms
 
Kwahiyo huo ndo ujanja!?
Mji gani una watu wachafu vile.
Saa mbili tu daladala hazifanyi kazi.
Kule kupigana nondo mmeshaacha?
Mbeya Bora nikae Sumbawanga Kuna ustarabu Safi kabisa.
sawa ila Zuchu wako ameshapata cha mtema kuni, nenda kakae huko Sumbawanga kila mtu akae alipopachagua
 
Mbeya ya sasa ina unafuu mkubwa, mbeya mji uliokuwa na ujinga mwingi, miaka hiyo watu wakiuliwa hovyo.

Mbeya japo imejengeka ila bado watu wengine mioyo yao ni mibaya.

Ni miaka hii wameanza kwenda hata hao wasanii maarufu, pia wamejifunza
Haa umepyapyata
 
Wewe hujui lolote
Priority inatolewa sehemu yenye uhitaji na sio jina eti kisa jiji hapana
Sasa ndio nakwambia kuanzia Leo kwamba haiko hivyo,hizo status Zina maana sana na ndio maana sheria za Mjimkuww Manispaa au Jiji zinasainiwa na Rais.

Hujiulizi Kwa nini Kila siku Dar mabarabara yanazidi kuongezwa wakati Mikoani mnaokula matope na vumbi? In real terms wapi Kuna uhitaji? Wanakobomoa za zamani na kujengwa upya au kule ambako hata za zamani hazipo?
 
Wapuuzi sana hawa,mbeya stands firmly.
Nilikuwa najiuliza Kwa nini Mkoa unatengwa nadhani wako sahihi,Waendelee kuwaacha mnaogelea kwenye mavumbi na kushonana na vijimba kama madampo Hadi akili ziwakae sawa.

Kwanza hata Barabara wasijenge Ili muwe mnakufa kama sisimizi humo kwenda Milima yenu.
 
Wenzao Arusha walishaona ni ujinga, baada ya kugundua chadema Ni matapeli wa kisiasa wameacha kabisa sahz mji upo tulivuuu
Subiri tamasha la zchu uletewe huku uende ukakate uno

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…