Majok majok
JF-Expert Member
- Aug 3, 2023
- 783
- 2,057
punguzeni porojo , mtakuja kulia na kusaga meno ,THIS IS FOOTBALLHatutaki baadaye kuja na zile swaga za kushiba makande ya mchana na kuanza kuangalia upepo umelalia wapi ndio mnaibuka!
Inatakiwa tujue mapema hii timu ni ya aina gani ili kusudi tuweke kumbukumbu sawa.
Kuna wale vijana wa Mwenyekiti Rage washasema ndio mwisho wa Yanga, hawatoboi kutokana na ubora wa El Merekh lakini kuna wengine ni kama vile wanasita kutoa tamko; hawajui wawe upande upi wa shilingi, wanaogopa kusutwa mambo yakiwa ndivyo sivyo.
Tunawataka hao wachague upande tuwajue, hatutaki unafiki na uzandiki wa kusubiria matokeo ndio waanze kutujazia nyuzi hapa zisizokuwa na kichwa wala miguu!
Chagua upande mwana lunyasipunguzeni porojo , mtakuja kulia na kusaga meno ,THIS IS FOOTBALL
El Merreikh ni timu nyepesi sana, haina uwanja wa nyumbani kwao, ligi yao imesimama kwa sababu ya vita, wachezaji wao mahiri wamekimbia. Ni kazi nyepesi tu kwa utopolo kuitoa El Mereikh, na kama watashindwa kuitoa, basi kocha afukuzwe maana atabaki kufundisha kwa ajili ya nini sasa? Maana kama ni ligi ya bara, hata Minziro anaweza kuifundisha utopoloInatakiwa tujue mapema hii timu ni ya aina gani ili kusudi tuweke kumbukumbu sawa.
Sasa si mmesema tuchague moja? Mbona ni kama unatupangia tena jibu?Marrekh Ikifa utaskia mara vita, oohh sjui njaa Kali.
Mara yanga inakutana na vitim vya hovyo.
Kwaiyo iyo Yanga ifungwe ifukuze kocha? Ilo ondoa kichwani mwako.El Merreikh ni timu nyepesi sana, haina uwanja wa nyumbani kwao, ligi yao imesimama kwa sababu ya vita, wachezaji wao mahiri wamekimbia. Ni kazi nyepesi tu kwa utopolo kuitoa El Mereikh, na kama watashindwa kuitoa, basi kocha afukuzwe maana atabaki kufundisha kwa ajili ya nini sasa? Maana kama ni ligi ya bara, hata Minziro anaweza kuifundisha utopolo
Sisi hatupokei vilivyoachwa na Yanga. Mkude ni nyota kabisa pale YangaKwaiyo iyo Yanga ifungwe ifukuze kocha? Ilo ondoa kichwani mwako.
Tafuteni kocha mapema msisubiri kocha wa Yanga
Subiri nikuitie OKW BOBAN SUNZU The greatest of All Time ScarsHatutaki baadaye kuja na zile swaga za kushiba makande ya mchana na kuanza kuangalia upepo umelalia wapi ndio mnaibuka!
Inatakiwa tujue mapema hii timu ni ya aina gani ili kusudi tuweke kumbukumbu sawa.
Kuna wale vijana wa Mwenyekiti Rage washasema ndio mwisho wa Yanga, hawatoboi kutokana na ubora wa El Merekh lakini kuna wengine ni kama vile wanasita kutoa tamko; hawajui wawe upande upi wa shilingi, wanaogopa kusutwa mambo yakiwa ndivyo sivyo.
Tunawataka hao wachague upande tuwajue, hatutaki unafiki na uzandiki wa kusubiria matokeo ndio waanze kutujazia nyuzi hapa zisizokuwa na kichwa wala miguu!
Subiri nikuitie OKW BOBAN SUNZU The greatest of All Time ScarsHatutaki baadaye kuja na zile swaga za kushiba makande ya mchana na kuanza kuangalia upepo umelalia wapi ndio mnaibuka!
Inatakiwa tujue mapema hii timu ni ya aina gani ili kusudi tuweke kumbukumbu sawa.
Kuna wale vijana wa Mwenyekiti Rage washasema ndio mwisho wa Yanga, hawatoboi kutokana na ubora wa El Merekh lakini kuna wengine ni kama vile wanasita kutoa tamko; hawajui wawe upande upi wa shilingi, wanaogopa kusutwa mambo yakiwa ndivyo sivyo.
Tunawataka hao wachague upande tuwajue, hatutaki unafiki na uzandiki wa kusubiria matokeo ndio waanze kutujazia nyuzi hapa zisizokuwa na kichwa wala miguu!
Kuwa au kutokuwa na uwanja haakuifanyi timu iwe ngumu au nyepesi. Inter Milan aliyecheza fainali ya UEFA champions league dhidi ya Man City hana uwanja tangu enzi izo pamoja na Ac Milan.El Merreikh ni timu nyepesi sana, haina uwanja wa nyumbani kwao, ligi yao imesimama kwa sababu ya vita, wachezaji wao mahiri wamekimbia. Ni kazi nyepesi tu kwa utopolo kuitoa El Mereikh, na kama watashindwa kuitoa, basi kocha afukuzwe maana atabaki kufundisha kwa ajili ya nini sasa? Maana kama ni ligi ya bara, hata Minziro anaweza kuifundisha utopolo
Subiri kwanza.. hawa vijana wa mwwnyekiti Rage ndio wale aliosema wote ni mambumbu?Hatutaki baadaye kuja na zile swaga za kushiba makande ya mchana na kuanza kuangalia upepo umelalia wapi ndio mnaibuka!
Inatakiwa tujue mapema hii timu ni ya aina gani ili kusudi tuweke kumbukumbu sawa.
Kuna wale vijana wa Mwenyekiti Rage washasema ndio mwisho wa Yanga, hawatoboi kutokana na ubora wa El Merekh lakini kuna wengine ni kama vile wanasita kutoa tamko; hawajui wawe upande upi wa shilingi, wanaogopa kusutwa mambo yakiwa ndivyo sivyo.
Tunawataka hao wachague upande tuwajue, hatutaki unafiki na uzandiki wa kusubiria matokeo ndio waanze kutujazia nyuzi hapa zisizokuwa na kichwa wala miguu!
Tate acheni stori mazee , hakuna timu pale, ndiomaana ilipokutana na simba haikuweza kufua dafu na kocha wakamtimua, sudan timu ni moja tu na habari zake mnazo. Hapo uto njia nyeupe makundiNaona bendera fuata upepo wanaogopa yasije yakatokea kama yale ya msimu uliopita. Wanchokifanya sasa ni kuvizia tu Yanga ifanye makosa, ili wapate sasa cha kusema.
Isipokuwa timu ipo power dynamo ya zambia🤣🤣Tate acheni stori mazee , hakuna timu pale, ndiomaana ilipokutana na simba haikuweza kufua dafu na kocha wakamtimua, sudan timu ni moja tu na habari zake mnazo. Hapo uto njia nyeupe makundi
El mereikh nayo timu basi? Yanga ina bahati kucheza na timu za ovyo ovyo. Mara Asas sijui ya wauza maziwa wa Iringa?Hatutaki baadaye kuja na zile swaga za kushiba makande ya mchana na kuanza kuangalia upepo umelalia wapi ndio mnaibuka!
Inatakiwa tujue mapema hii timu ni ya aina gani ili kusudi tuweke kumbukumbu sawa.
Kuna wale vijana wa Mwenyekiti Rage washasema ndio mwisho wa Yanga, hawatoboi kutokana na ubora wa El Merekh lakini kuna wengine ni kama vile wanasita kutoa tamko; hawajui wawe upande upi wa shilingi, wanaogopa kusutwa mambo yakiwa ndivyo sivyo.
Tunawataka hao wachague upande tuwajue, hatutaki unafiki na uzandiki wa kusubiria matokeo ndio waanze kutujazia nyuzi hapa zisizokuwa na kichwa wala miguu!
Sema mapema. Kila mtu anajua kuwa this is footbalpunguzeni porojo , mtakuja kulia na kusaga meno ,THIS IS FOOTBALL