ANGALIZO: Wazee wa kubadili gia angani mseme mapema kama El Merekh ni timu bora ama mbovu

ANGALIZO: Wazee wa kubadili gia angani mseme mapema kama El Merekh ni timu bora ama mbovu

El mereikh nayo timu basi? Yanga ina bahati kucheza na timu za ovyo ovyo. Mara Asas sijui ya wauza maziwa wa Iringa?

Mngekutana na Power Dynamos si mngeenda leba kabla ya siku zenu.
Itoshe kusema kuwa hujui au haufatilii mpira. Al Merrikh ni timu yenye profile kubwa kwenye michuano ya CAF kuliko hao vibonde power dynamos. Al Merrikh msimu ulioisha kacheza makundi na msimu wa nyuma yake kafka hadi nusu fainali kama sijakosea kwenye kombe la shirikisho. Hao power dynamos wanalipi la kuizidi Al Merrikh?
 
Kwa kuziangalia Singida na Azam namna zilivyombwela mi naomba Yanga na Simba zote ziingie makundi tufurahie mpira na kukuza wigo wetu wa ushiriki msimu ujao
Sema kwenye kwenda mbele ndio naombea yanga twende final na Mamelody yani kifupi tumtoe Al Ahly semi final
 
"lakini kuna wengine ni kama vile wanasita kutoa tamko"
Mbona hutaki kuamini kilichotamkwa? Au una jibu lako kichwani ambalo sasa umeona ni tofauti na ulivyodhani? Tamko ni hili, narudia:
El Merreikh ni timu nyepesi sana, haina uwanja wa nyumbani kwao, ligi yao imesimama kwa sababu ya vita, wachezaji wao mahiri wamekimbia. Ni kazi nyepesi tu kwa utopolo kuitoa El Mereikh, na kama watashindwa kuitoa, basi kocha afukuzwe maana atabaki kufundisha kwa ajili ya nini sasa? Maana kama ni ligi ya bara, hata Minziro anaweza kuifundisha utopolo
 
Itoshe kusema kuwa hujui au haufatilii mpira. Al Merrikh ni timu yenye profile kubwa kwenye michuano ya CAF kuliko hao vibonde power dynamos. Al Merrikh msimu ulioisha kacheza makundi na msimu wa nyuma yake kafka hadi nusu fainali kama sijakosea kwenye kombe la shirikisho. Hao power dynamos wanalipi la kuizidi Al Merrikh?
Na wewe pengine huyajui mazingira yanavyoendelea huko nje. Unadhani kwa nini wale wanafunzi wa udaktari kutoka Sudan wamekuja kumalizia kozi zao hapa Muhimbili? Mifumo ya uendeshaji mingi imesimama Sudan kwa sababu ya machafuko ya wenyewe. Ile El Mereikh iliyomaliza msimu sambamba na Al Hilal zimejikuta zinaondokewa na wachezaji kukimbia vita, hadi zikaomba msaada wa kisheria FIFA.
 
Nimekwambia nitajie hao wachezaji, ugumu uko wapi kuwataja hao wachezaji waliokimbia ni akina nani?
 
Mbona hutaki kuamini kilichotamkwa? Au una jibu lako kichwani ambalo sasa umeona ni tofauti na ulivyodhani? Tamko ni hili, narudia:
Sasa shikilia hapohapo na tunaomba katika mechi nyinine za Yanga zinazofuata yatangulie matamko kwamba hii timu inayokwenda kucheza na Yanga bingwa ngumu au nyepesi
 
Kwasasa ni wabovu labda wawaotee. Wachezaji wao wazuri wa kigeni wameondoka sababu ya vita na pia hali yao kiuchumi wameyumba. Kazi kwenu Utopwax
 
Mpaka dakika hii Makada watiifu wa Makolo bado hayajajitokeza kutoa tamko lao sijui tatizo liko wapi...
Wanajua kile kichaka walichozoea kujifichia cha klabu bingwa kwamba wao ndio wanaweza kufanya vizuri safari hii wameshikwa pabaya, akuna tena sehemu ya kujibanza wakiangalia timu yao na pira linalopigwa na vijana wa gamondi wanaona kabisa wanakwenda kuachwa kwenye mataa, Yanga hii breki ya kwanza wataikamatia robo fainali au nusu fainali!
 
Back
Top Bottom