King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Yanga tunachapa khamsa khamsa tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yote mawili.Hatutaki baadaye kuja na zile swaga za kushiba makande ya mchana na kuanza kuangalia upepo umelalia wapi ndio mnaibuka!
Inatakiwa tujue mapema hii timu ni ya aina gani ili kusudi tuweke kumbukumbu sawa.
Kuna wale vijana wa Mwenyekiti Rage washasema ndio mwisho wa Yanga, hawatoboi kutokana na ubora wa El Merekh lakini kuna wengine ni kama vile wanasita kutoa tamko; hawajui wawe upande upi wa shilingi, wanaogopa kusutwa mambo yakiwa ndivyo sivyo.
Tunawataka hao wachague upande tuwajue, hatutaki unafiki na uzandiki wa kusubiria matokeo ndio waanze kutujazia nyuzi hapa zisizokuwa na kichwa wala miguu!
🤣🤣🤣Mpaka dakika hii Makada watiifu wa Makolo bado hayajajitokeza kutoa tamko lao sijui tatizo liko wapi...
Una hoja nzuriEl Merreikh ni timu nyepesi sana, haina uwanja wa nyumbani kwao, ligi yao imesimama kwa sababu ya vita, wachezaji wao mahiri wamekimbia. Ni kazi nyepesi tu kwa utopolo kuitoa El Mereikh, na kama watashindwa kuitoa, basi kocha afukuzwe maana atabaki kufundisha kwa ajili ya nini sasa? Maana kama ni ligi ya bara, hata Minziro anaweza kuifundisha utopolo
Hatutaki baadaye kuja na zile swaga za kushiba makande ya mchana na kuanza kuangalia upepo umelalia wapi ndio mnaibuka!
Inatakiwa tujue mapema hii timu ni ya aina gani ili kusudi tuweke kumbukumbu sawa.
Kuna wale vijana wa Mwenyekiti Rage washasema ndio mwisho wa Yanga, hawatoboi kutokana na ubora wa El Merekh lakini kuna wengine ni kama vile wanasita kutoa tamko; hawajui wawe upande upi wa shilingi, wanaogopa kusutwa mambo yakiwa ndivyo sivyo.
Tunawataka hao wachague upande tuwajue, hatutaki unafiki na uzandiki wa kusubiria matokeo ndio waanze kutujazia nyuzi hapa zisizokuwa na kichwa wala miguu!
Wacheki hapo nazani utapata majibuHatutaki baadaye kuja na zile swaga za kushiba makande ya mchana na kuanza kuangalia upepo umelalia wapi ndio mnaibuka!