Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Wakuu,
Hizi failed attempts za utekaji na episodes za uvamizi uvamizi usio na akili unaofanywa na vikosi vya serikali ni mkakati bunifu wa ndani unaolenga kuliondoa taifa kwenye kujadili, kukemea na kupinga uhuni mkubwa na ovu dhidi ya chaguzi zilizofanyika.
Tusitoke relini wakuu
Tusife moyo

- Tuendelee kujadili yatokanayo na uchaguzi huo. Tuendelee kuibana serikali dhidi ya uhuni wanaoufanya kwa kushirikiana na CCM
- Mchengerwa na Samia tuwaambie wazi wazi kuwa ni maadui wa Taifa kwa kubuni, kufinance na kutekeleza mipango ovu dhidi ya demokrasia yetu
- CCM iendelee kupigwa spana. Hakuna kiongozi bora atakayetokana na CCM.
- Tuungane kupambania Katiba bora ya Wananchi. Tusipangiwe bali tupange wenyewe namna tunavyotaka kuongozwa
- Tuwapige spana polisi na TISS wasiwafanyie ugaidi Watanzania wanaohoji masuala mbalimbali ya nchi.
Tusife moyo