LGE2024 ANGALIZO: Yamepangwa matukio kutuondoa tusijadili UBAKAJI wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Kwani hayo mengine ambayo mliachwa mjadili huo mjadala wenu ulikuwa na athari gani?
 
Wakuu,
Hizi failed attempts za utekaji na episodes za uvamizi uvamizi usio na akili unaofanywa na vikosi vya serikali ni mkakati bunifu wa ndani unaolenga kuliondoa taifa kwenye kujadili, kukemea na kupinga uhuni mkubwa na ovu dhidi ya chaguzi zilizofanyika.

Tusitoke relini wakuu
  1. Tuendelee kujadili yatokanayo na uchaguzi huo. Tuendelee kuibana serikali dhidi ya uhuni wanaoufanya kwa kushirikiana na CCM
  2. Mchengerwa na Samia tuwaambie wazi wazi kuwa ni maadui wa Taifa kwa kubuni, kufinance na kutekeleza mipango ovu dhidi ya demokrasia yetu
  3. CCM iendelee kupigwa spana. Hakuna kiongozi bora atakayetokana na CCM.
  4. Tuungane kupambania Katiba bora ya Wananchi. Tusipangiwe bali tupange wenyewe namna tunavyotaka kuongozwa
  5. Tuwapige spana polisi na TISS wasiwafanyie ugaidi Watanzania wanaohoji masuala mbalimbali ya nchi.

Tusife moyo
CHADEMA mnachekesha kweli kweli. Humu ndani ni sehemu ndogo mno katika suala zima la kuufikia umma wa watanzania.

Kuna mamilioni hawafikiwi na siasa za kipuuzi za kuanzisha nyuzi za JF, na wanaiona kazi ya maana inayofanywa na serikali ya CCM kila siku.

Mnapoteza muda wenu kuzeeka na akili za wanaharakati bila hata ya kufikiria namna ya kubadilika kimtazamo.
 
Wajinga sana hawa halafu wanakuja na hoja za kuibiwa kura siku za uchaguzi mkuu.

Mwendo kasi unajengwa kila mahali kwa kasi kubwa, nani afikirie kuiba kura wakati vitendo halisi vinatosha kuziteka akili za watu makini!.

ATC wanaanza safari ya Afrika ya Kusini kwa wiki zitakwenda na kurudi katika siku tano, nani mwenye akili timamu aje awaibie kura CHADEMA!?.

Viwanja vya ndege vinamaliziwa kujengwa nchi nzima, uwekezaji unarahisishwa, nani awaibie kura hawa mapunguani?.
 
Wakuu,
Hizi failed attempts za utekaji na episodes za uvamizi uvamizi usio na akili unaofanywa na vikosi vya serikali ni mkakati bunifu wa ndani unaolenga kuliondoa taifa kwenye kujadili, kukemea na kupinga uhuni mkubwa na ovu dhidi ya chaguzi zilizofanyika.

Tusitoke relini wakuu
  1. Tuendelee kujadili yatokanayo na uchaguzi huo. Tuendelee kuibana serikali dhidi ya uhuni wanaoufanya kwa kushirikiana na CCM
  2. Mchengerwa na Samia tuwaambie wazi wazi kuwa ni maadui wa Taifa kwa kubuni, kufinance na kutekeleza mipango ovu dhidi ya demokrasia yetu
  3. CCM iendelee kupigwa spana. Hakuna kiongozi bora atakayetokana na CCM.
  4. Tuungane kupambania Katiba bora ya Wananchi. Tusipangiwe bali tupange wenyewe namna tunavyotaka kuongozwa
  5. Tuwapige spana polisi na TISS wasiwafanyie ugaidi Watanzania wanaohoji masuala mbalimbali ya nchi.

Tusife moyo
Kujadili hata tukijadili mwka mzima haisaidii chochote, kinachotakiwa ni kuchukua maamuzi magumu ya kukabiliana na wezi wa kura kwa namna yoyote sio kuishia kujadili jadili kama mnavyojadili mpira wa Simba na Azam.
 
hakuna haja ya kung'ang'ana na porojo,

kama taifa yafaa kuanza maandalizi ya uchaguzi mkuu wa Oct 2025.full stop 🐒
Nawapa pole kwa ujinga mliouonesha
 
CHADEMA mnachekesha kweli kweli. Humu ndani ni sehemu ndogo mno katika suala zima la kuufikia umma wa watanzania.

Kuna mamilioni hawafikiwi na siasa za kipuuzi za kuanzisha nyuzi za JF, na wanaiona kazi ya maana inayofanywa na serikali ya CCM kila siku.

Mnapoteza muda wenu kuzeeka na akili za wanaharakati bila hata ya kufikiria namna ya kubadilika kimtazamo.
Sawa
 
Kujadili hata tukijadili mwka mzima haisaidii chochote, kinachotakiwa ni kuchukua maamuzi magumu ya kukabiliana na wezi wa kura kwa namna yoyote sio kuishia kujadili jadili kama mnavyojadili mpira wa Simba na Azam.
Haujalazimishwa
 
CHADEMA ni chama cha siasa ambacho kilijipambanua kusimama na wananchi hususani kwenye suala la Katiba na Haki.

Lakini nionavyo mimi naona wazi kabisa tusitegemee sana vyama vya siasa maana kama wananchi tunalazimishwa kutumia siasa kuamua hatima ya nchi yetu, haikubaliki na lazima tukatae kuporwa nchi yetu na wanasiasa.

Ukisoma hoja yangu uliyoinukuu utaona sijataja utegemezi wa chama au siasa. Tusimame kama wananchi. Ni rahisi kuungana na kusimama
Mimi nakubaliana na wewe kabisa, katika kuto vitegemea vyama vya siasa; ila tatizo ni moja.

Bila ya kuwa chini ya kivuli cha uongozi maalum wananchi tuta jipanga vipi kutimiza wajibu wetu huu?

Ni lazima pawepo na uongozi wa kundi maalum linalo tegemewa kuratibu na kuunganisha juhudi zetu; na nilidhani, hapana nategemea vyama vya siasa vinavyo onekana kuwa na msimamo, kama CHADEMA wange kuwa ni sehemu muhimu wa kundi hilo. Kwa hiyo, kwa maoni yangu vyama vya siasa vina jukumu ambalo hawawezi kamwe kuliepa.

Kwa mfano: unajuwa jinsi Kenya walivyo pambania katiba yao mpya? Kuna vyama vya siasa vilivyo kuwa havitaki kabisa habari hiyo, lakini makundi ya kijamii, pamoja na baadhi ya vyama muhimu vya upinzani waliweka nguvu hadi kazi wakaitimiza. Hapa kwetu hata Asassi za kijamii naona CCM ime watawala kabisa.

Tunayo hali mbaya kabisa.

Lakini mkuu 'Msanii', tunachepuka na kupoteza lengo kuu la mada yako. Nilidhani una wastua wasomaji wako kuhusu ujanja unao fanywa na viongozi wa CCM kutusahaulisha yaliyo fanyika kwenye uchafuzi uliofanywa hivi karibuni na kwamba tuwe waangalifu kuwa njama hizo zipo ili kutuelekeza kwenye uchafuzi mkuu hapo mwakani (2025)!
Ndiyo maana nikawakumbuka CHADEMA, na namna wanavyo tutelekeza na wao ili tusiungane kukataa hayo yanayo fuata. Je, CHADEMA nao watakuwa wameamua kujiondoa moja kwa moja kwenye shughuli hii ya mwakani? Kama hawajiondoi, ni wajibu wao waseme wanataka tufanye nini kuzuia haya yaliyo pita kujirudia.
 
Tatizo hata tukijadili hakuna kitakachobadilika.
 
Wakuu,
Hizi failed attempts za utekaji na episodes za uvamizi uvamizi usio na akili unaofanywa na vikosi vya serikali ni mkakati bunifu wa ndani unaolenga kuliondoa taifa kwenye kujadili, kukemea na kupinga uhuni mkubwa na ovu dhidi ya chaguzi zilizofanyika.

Tusitoke relini wakuu
  1. Tuendelee kujadili yatokanayo na uchaguzi huo. Tuendelee kuibana serikali dhidi ya uhuni wanaoufanya kwa kushirikiana na CCM
  2. Mchengerwa na Samia tuwaambie wazi wazi kuwa ni maadui wa Taifa kwa kubuni, kufinance na kutekeleza mipango ovu dhidi ya demokrasia yetu
  3. CCM iendelee kupigwa spana. Hakuna kiongozi bora atakayetokana na CCM.
  4. Tuungane kupambania Katiba bora ya Wananchi. Tusipangiwe bali tupange wenyewe namna tunavyotaka kuongozwa
  5. Tuwapige spana polisi na TISS wasiwafanyie ugaidi Watanzania wanaohoji masuala mbalimbali ya nchi.

Tusife moyo
Punguzeni ujuaji
 
Mkuu Kalamu
Ama hakika umejaa uzalendo mwingi kwenye hoja hii tunayoijadili.
Mimi nina kadi hai ya CCM lakini ukifuatilia hoja zangu humu ni kuiombea ife ama iwekwe pembeni ili Tanzania inasuke kwenye huu mkwamo na kusonga mbele.
Siasa ikiwa safi ni tija kubwa kwa nchi na watu wake, lakini hapa tunapoandika hoja tunaona CHADEMA tuliyoiunga mkono miaka yote ikijiunga na watesi wa Watanzania huku ikiwatupia lawama kuwa wananchi hawashiriki vyema harakati wanazoziongoza.

Nikiangazia Kenya hususan maandamano yao yaliyopita, hayakuwa na vyama bali wananchi walijiunga na kujiumanisha na lengo na wakatokea viongozi katikati ya maandamano wakaibwaga bajeti tata ya serikali.

Tanzania tunahitaji Katiba mpya, wanasiasa wote wanataka madaraka. Sasa tukiwasubiri wayapate madaraka kupitia katiba hii tutakuwa tumerudi hatua 100 nyuma. Kinachotakiwa sasa ni kila mmoja wetu kwa nafasi yake kupiga kelele, kuelimisha na kuhamasisha Katiba Mpya kwa wananchi.

Mkuu, usihofu, tunaweza kuvuka hapa bila kujiweka chini ya kongwa la wanasiasa wenye uchu wa madaraka
 
Nikiangazia Kenya hususan maandamano yao yaliyopita, hayakuwa na vyama bali wananchi walijiunga na kujiumanisha na lengo na wakatokea viongozi katikati ya maandamano wakaibwaga bajeti tata ya serikali
Hili bado nina jiuliza sana liliwezekana vipi. Na hata serikali yenyewe ilishindwa kujuwa nani iwashirikishe katika mazungumzo wakati maandamano yalipo kuwa yamepamba moto! Hata leo hii maandamano hayo yali ratibiwa wapi na nani?

CCM, sote tuliipenda sana kama chama ilipo kuwa ikisimamia maslahi ya nchi na wananchi wake. Lakini CCM hii imegeuka kabisa na kuwa kama imeshikiliwa na genge la hatari sana. Chama kimekuwa ndicho kinawataka wananchi wawajibike kwa serikali badala ya serikali kufanya kazi za wananchi?

Nikueleze ukweli mkuu 'Msanii', mimi sijawahi kuwa shabiki wala mwana chama wa CHADEMA, kwa sababu kuna mambo yake kama chama sikubaliani nayo toka zamani. Lakini nipo tayari kukubali CHADEMA ikiwezekana kuwaondoa CCM madarakani washike nafasi hiyo, pamoja na mapungufu yao kuliko CCM kuendelea kuwalazimisha wananchi wabaki madarakani.
Tukisha juwa kuwaondoa CCM madarakani, tutatafuta njia za kuzuia yanayo fanya wawe ving'ang'anizi kubaki madarakani; kwa kutengeneza katiba mpya, ambayo wao hawaipendi kabisa.

sasa hivi nipo radhi kabisa hata kukubali jeshi lishike nchi, kuliko kuendelea na CCM.
 
Naungana nawe kwenye hitimisho ya hoja yako.

Serikali ya CCM ineshaanguka na sasa wahuni, wauaji na majambazi ndiyo wameshika usukani.

My wish ni kuwa tuendelee kufunga, kuomba na kushiriki harakati za kumtoa mkoloni ndani ya serikali
 
Back
Top Bottom