Ang’atwa ulimi na mpenzi wake wakijamiiana usiku

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nacheka kama mazuri mimi
 
Ila anaweza jitetea alipatwa na usingizi akajikuta kafunga meno huku ulimi wa mwenzie ukipata majeraha
pengine hakukukusudia kwakuwa hata mi iliwah tokea dem amanyonya ulimi hadi nahc ulimi wangu unataka kuchomoka kama nakatwa nikamtowa chap nadhani alizidiwa na utam.

Jambo lingine pengine amefanya kusudi ili amkomeshe.

Pole yake.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bahati yake kabakiziwa kipande cha kuweza hata kumeza chakula
 
Hivi mpaka vijijini mambo ya denda yamefika!! 😳😳
 
Ndio mana nikijua mwezi huu sipo sawa na mama kayai,

hata akinipa simpi chululuu anyonye,asije igeuza ngubiti bureee
 
Kuna maeneo wanaume muwe makini sio mnayatoa toa tu

sasa unampa ulimi wote ulikua unampa wa nini,haya kapita nao sasa

kula huli kuongea ndio unaongea kama mtoto anaeanza ongea leo,mapenzi

ni kitendo cha mwisho kabisa baada ya kuhakikisha moyo wa mwenzako una amani 100%
 
Ni hatari sana wakati wa kufika mshindo so sio sawa kudenduana kwenye Hali hiyo.
 
Kumbe mkiwa mnajamiiana mnapigana na Kiss sijui ndiyo kubadirishana mate?

Kweli nimezeeka 🙆kweli umezeekayani deep kisses uku mkuyange upo ndani,unaingiza taratibu na kutoa

Kumbe mkiwa mnajamiiana mnapigana na Kiss sijui ndiyo kubadirishana mate?

Kweli nimezeeka 🙆
Kweli umezeeka,hii upate mtu anayeiwezea slowly hakuna papara,unaweza mkatisha mtt wa kike pumzi kwa utamu ukabaki na kesi
 
Kwanza wanabadilishana mate ili iweje? Na mimi nimezeeka kwa kweli. 😀
Utasema Kuna mmoja ameishiwa mate kwahiyo ana recharge 😂

Huku Kijijini kwetu hatuna hayo mambo, na Mama Bhoke anajua utaratibu🙊
 
Kweli umezeeka,hii upate mtu anayeiwezea slowly hakuna papara,unaweza mkatisha mtt wa kike pumzi kwa utamu ukabaki na kesi
Kwa kufanya hivyo manake mtoto wa kike ndiyo anazidi kuinjoi huko kujamiiana au wote?

Na what if akakung'ata kama hivyo?

Bora nimejizeekea hayo yamenipita 🙌
 
Kuna demu wangu wa kisukuma yani hana romance kabisa tukikutana ananitupa kitandani hamna denda kupima oil kuzama chumvini Wala nini. Nikimfikisha kileleni yani violence ananing'ata balaa na kunipiga makonzi ya kutosha. Nabaki tu kushangaa WTF!
 
kama wakili namtetea mteja wangu akumng'ata ulimi kwa kukusudia alikuwa anamtania naomba mahakam mumsamehe tu yaishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…