ANGEKUA NDUGU KAKA, DADA AU BABA YAKO UNGEJISIKIAJE?

RSM Dominik

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2026
Posts
207
Reaction score
561
Nimeona habari ya vifo vya mahabusu na polisi waliopata ajali wakielekea mahakamani huko singida, na komenti nyingi mitandaoni wanashangilia haswa kwa kifo cha askari sasa nawasihi watanganyika muache masihara kwenye mambo yenye usiriaz nadhani akili zitawakaa sana yakiwakuta personal ktk familia zenu.Huo mzaha wa mwanajeshi wa JWTZ na police wakifa mnashangilia hauoneshi siha nzuri.

Nimeona pia kuna jamaa askari wa uhifadhi TANAPA naye alifariki katika ambush ya wananchi waliokamatiwa mifugo ajabu watu mnashangilia hiyo siyo poa tuache mambo ya ajabu unadhani ingekuwa wewe mdogo wako ni afande kafa leo utakenua unavyokenua?????
INAKERA! !!!!!!
 
Attachments

  • FB_IMG_17900814796823997.jpg
    FB_IMG_17900814796823997.jpg
    64.3 KB · Views: 8
Unajitoa ufahamu sio? Kwamba hujui ni watu gani walioanzisha tatizo hadi uje kuwachimba biti watu ambao wana kila sababu ya kufurahia?

Toa onyo/tahadhari kwa kundi sahihi, then huo utamaduni utajiyeyukia wenyewe automatically.
 
Nimeona habari ya vifo vya mahabusu na polisi waliopata ajali wakielekea mahakamani huko singida, na komenti nyingi mitandaoni wanashangilia haswa kwa kifo cha askari sasa nawasihi watanganyika muache masihara kwenye mambo yenye usiriaz nadhani akili zitawakaa sana yakiwakuta personal ktk familia zenu.Huo mzaha wa mwanajeshi wa JWTZ na police wakifa mnashangilia hauoneshi siha nzuri.

Nimeona pia kuna jamaa askari wa uhifadhi TANAPA naye alifariki katika ambush ya wananchi waliokamatiwa mifugo ajabu watu mnashangilia hiyo siyo poa tuache mambo ya ajabu unadhani ingekuwa wewe mdogo wako ni afande kafa leo utakenua unavyokenua?????
INAKERA! !!!!!!
"Kifo ni kifo tu" nukuu kutoka kwa sa100 basi kama ni kosa nayeye mkemee
 
Nimeona habari ya vifo vya mahabusu na polisi waliopata ajali wakielekea mahakamani huko singida, na komenti nyingi mitandaoni wanashangilia haswa kwa kifo cha askari sasa nawasihi watanganyika muache masihara kwenye mambo yenye usiriaz nadhani akili zitawakaa sana yakiwakuta personal ktk familia zenu.Huo mzaha wa mwanajeshi wa JWTZ na police wakifa mnashangilia hauoneshi siha nzuri.

Nimeona pia kuna jamaa askari wa uhifadhi TANAPA naye alifariki katika ambush ya wananchi waliokamatiwa mifugo ajabu watu mnashangilia hiyo siyo poa tuache mambo ya ajabu unadhani ingekuwa wewe mdogo wako ni afande kafa leo utakenua unavyokenua?????
INAKERA! !!!!!!
Hakuna Polisi Tanzania Bali niajambazi yaliyojipa jipa jina la Polisi. Wafe tu wajinga hao. Kwa mambo niliyoshuhidia Oct 29 Polisi ni wanyama.
 
Nimeona habari ya vifo vya mahabusu na polisi waliopata ajali wakielekea mahakamani huko singida, na komenti nyingi mitandaoni wanashangilia haswa kwa kifo cha askari sasa nawasihi watanganyika muache masihara kwenye mambo yenye usiriaz nadhani akili zitawakaa sana yakiwakuta personal ktk familia zenu.Huo mzaha wa mwanajeshi wa JWTZ na police wakifa mnashangilia hauoneshi siha nzuri.

Nimeona pia kuna jamaa askari wa uhifadhi TANAPA naye alifariki katika ambush ya wananchi waliokamatiwa mifugo ajabu watu mnashangilia hiyo siyo poa tuache mambo ya ajabu unadhani ingekuwa wewe mdogo wako ni afande kafa leo utakenua unavyokenua?????
INAKERA! !!!!!!
Kifo ni Kifo
 
Waliopigwa risasi october wangekuwa watu wao wakaribu wangejisikiaje? Muosha huoshwa yakhee
 
Nimeona habari ya vifo vya mahabusu na polisi waliopata ajali wakielekea mahakamani huko singida, na komenti nyingi mitandaoni wanashangilia haswa kwa kifo cha askari sasa nawasihi watanganyika muache masihara kwenye mambo yenye usiriaz nadhani akili zitawakaa sana yakiwakuta personal ktk familia zenu.Huo mzaha wa mwanajeshi wa JWTZ na police wakifa mnashangilia hauoneshi siha nzuri.

Nimeona pia kuna jamaa askari wa uhifadhi TANAPA naye alifariki katika ambush ya wananchi waliokamatiwa mifugo ajabu watu mnashangilia hiyo siyo poa tuache mambo ya ajabu unadhani ingekuwa wewe mdogo wako ni afande kafa leo utakenua unavyokenua?????
INAKERA! !!!!!!
Ebu waulize Askari pamoja na aliyewatuma wale watu 518 waliowauwa Oct 29 wangekukwa Dada, Mama, kaka zao wangefurahia yale mauaji
 
Back
Top Bottom