ANGEKUA NDUGU KAKA, DADA AU BABA YAKO UNGEJISIKIAJE?

ANGEKUA NDUGU KAKA, DADA AU BABA YAKO UNGEJISIKIAJE?

Hata ukifa wewe mtoa mada tutashangilia maana akili umeziweka sehemu ya utumbo mchafu
 
Jeshi sio kuvaa uniform tu, ni matendo namna wanavyotekeleza majukumu yao kwa weledi. Ukiona watu wanatekwa hovyo alafu jeshi linatoa taarifa ambayo si ya kiueledi tambua litajishushia heshima lenyewe, watu wengi miaka hii wamesoma wanaelewa kupambanua mambo na wengine wamepita mafunzo ya jeshi kwa muda mfupi kupata uzalendo na ukakamavu..sasa mambo yanapotokea uraiani alafu watu waone ueledi wa jeshi ukateteleka ujue watakujibu kwa matendo kukuonyesha hawaridhishwi na utendaji wako....moja ya ishara ni hiyo ya kushangilia maana wao hawana siraha za moto za kukujibia
 
Back
Top Bottom