pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Huu ndio ukweli na alisababisha wengi sana kufa kwa misimamo yake ya kijinga na kiwendawazimu.Kwa maana hiyo ni kwamba sio kila mtu anaekufa basi ni wakati wake, wengine hufa kabla ya wakati kwa upumbavu,
Wewe naye ndezi kweli. Amekwambia ukichanjwa hufi? Huu ujinga uliotopea mnautoa wapi? Kakupa mpaka nukuu ya Biblia, lakini bado umejifunika shuka la ujinga. Mijitu mingine kama wewe imekimbilia kulike ulichoandika bila kusoma mpaka mwisho yakaelewa mada.Acha usenge jamaa. Unaona chanjo ndiyo itakufanya usife kabisa
Yaani aliyechanjwa anajiona Yuko immortalized kabisaa! Pathetic waahid
Nani anaweza kuongeza urefu wa maisha take kwa kujitaabisha?
Kama hamuwezi kufanya Jambo dogo Kama Hilo utawezaje kuisemea kesho enyi kizazi chenye Imani haba?
🤷jamaa alikuwa mhusika bapa... Over
Kwakweli tuna mijinga mingi sana kama wewe. Mada hajaielewa halafu unakimbilia kubwabwaja ujinga hapa. Soma upya acha ubishi wewe.Yaani wewe jamaa mpuuzi sijawahi ona.
Kwamba unaona uko na Mungu kwa kuchoma jab😃😃
Huenda haya ndiyo madhara menyewe ya chanjo yameanza kujitokeza.
Charles Mbowe alikataa chanjo?Tupate funzo kupitia hili, Sio kwamba unapokua mkubwa kifedha/kimadaraka ni unaona kila mtu unamzidi akili, hapana Mungu alituumba akatupa akili akatubariki akatufanya tuishi kwa kutegemeana ili kutatua mambo mbali mbali ya duniani,
Mungu akawabariki wataalamu mbali mbali, watabibu, waalimu, wahasibu, wanajeshi, wanasayansi, wakulima, wafanyabiashara, wavuvi, wanamichezo nk
hawa wote tunaishi kwa kutegemeana ili maisha yasonge, mimi muhasibu nikiugua nitaenda kwa mtabibu, mwanajeshi akitaka kula ataenda kwa mkulima, mwanasiasa akitaka haki ataenda kwa wanasheria wamsaidie, mwalimu akipata tatizo la kiusalama ataenda polisi, polisi akitaka elimu atarudi kwa mwalimu, hivyohivyo kwa wote,
inapotokea wewe umewadharau wenzio na kuona unaakili kuliko wote ndugu yangu unajidanganya,
matabibu wamekwambia ukiwa na ugonjwa sugu tafadhari zingatia miongozo kwa usahihi maana upo kwenye risk kubwa, wewe kwa kiburi chako ukaona unacheo kikubwa na kuwadharau wengine ukijiona umewazidi akili matokeo yake utayaona,
wewe mmoja huwezi kuwa mkemia, ukawa mtabibu, ukawa mwalimu, ukawa mchungaji, ukawa mfamasia, ukawa mwanasaikolojia tafadhali heshimu kada za wengine,
ndugu yangu kufa kupo lakini na kufa kijinga kupo,
bibilia inasema usiwe mjinga kupita kiasi ukafa kabla ya siku zako
Mhubiri 7:17
Usiwe mwovu kupita kiasi;
Wala usiwe mpumbavu;
Kwani ufe kabla ya wakati wako?
Kwa maana hiyo ni kwamba sio kila mtu anaekufa basi ni wakati wake, wengine hufa kabla ya wakati kwa upumbavu,
Pengine ungeheshimu taaluma za watu ukachukua tahadhari mpaka leo tungekua pamoja tukiijenga Tanzania Mama,
Dharau na kibuli havijawai kumuacha mtu salama tangu kuumbwa kwa misingi ya ulimwengu huu
View attachment 1924317
Ujumbe mzito sana huuinapotokea wewe umewadharau wenzio na kuona unaakili kuliko wote ndugu yangu unajidanganya
Mungu alituumba na vipawa tofauti ili tuheshimiane, ni uwezo, nguvu, zawadi ya tofauti iliyo zaidi ya wengine anayopewa mtu ili amtumikie MunguTupate funzo kupitia hili, Sio kwamba unapokua mkubwa kifedha/kimadaraka ni unaona kila mtu unamzidi akili, hapana Mungu alituumba akatupa akili akatubariki akatufanya tuishi kwa kutegemeana ili kutatua mambo mbali mbali ya duniani,
Mungu akawabariki wataalamu mbali mbali, watabibu, waalimu, wahasibu, wanajeshi, wanasayansi, wakulima, wafanyabiashara, wavuvi, wanamichezo nk
hawa wote tunaishi kwa kutegemeana ili maisha yasonge, mimi muhasibu nikiugua nitaenda kwa mtabibu, mwanajeshi akitaka kula ataenda kwa mkulima, mwanasiasa akitaka haki ataenda kwa wanasheria wamsaidie, mwalimu akipata tatizo la kiusalama ataenda polisi, polisi akitaka elimu atarudi kwa mwalimu, hivyohivyo kwa wote,
inapotokea wewe umewadharau wenzio na kuona unaakili kuliko wote ndugu yangu unajidanganya,
matabibu wamekwambia ukiwa na ugonjwa sugu tafadhari zingatia miongozo kwa usahihi maana upo kwenye risk kubwa, wewe kwa kiburi chako ukaona unacheo kikubwa na kuwadharau wengine ukijiona umewazidi akili matokeo yake utayaona,
wewe mmoja huwezi kuwa mkemia, ukawa mtabibu, ukawa mwalimu, ukawa mchungaji, ukawa mfamasia, ukawa mwanasaikolojia tafadhali heshimu kada za wengine,
ndugu yangu kufa kupo lakini na kufa kijinga kupo,
bibilia inasema usiwe mjinga kupita kiasi ukafa kabla ya siku zako
Mhubiri 7:17
Usiwe mwovu kupita kiasi;
Wala usiwe mpumbavu;
Kwani ufe kabla ya wakati wako?
Kwa maana hiyo ni kwamba sio kila mtu anaekufa basi ni wakati wake, wengine hufa kabla ya wakati kwa upumbavu,
Pengine ungeheshimu taaluma za watu ukachukua tahadhari mpaka leo tungekua pamoja tukiijenga Tanzania Mama,
Dharau na kibuli havijawai kumuacha mtu salama tangu kuumbwa kwa misingi ya ulimwengu huu
View attachment 1924317
Ni nani mwenye hiyo ripoti? Death certificate je? Nikikwambia hata sasa hao unaodhani ni wataalamu, hawajui wanachokitafuta wanapoamua kukupima covid-19 utaamini?Covid imetuondolea mtetezi wa wanyonge tumeletewa mumiani anatunyonya damu.
Kibiblia hakuna MTU anayekufa siku sio yake.ukiona MTU amekufa ndio ilikuwa inatakiwa afe kifo hcho.kwa hyo watu walioenda kupigana kwenye vita vya kagera wakafa ,wasingeenda tungelikuwa nao Leo?.au babu zako walifanya makosa gani mpaka wakafa?.Tupate funzo kupitia hili, Sio kwamba unapokua mkubwa kifedha/kimadaraka ni unaona kila mtu unamzidi akili, hapana Mungu alituumba akatupa akili akatubariki akatufanya tuishi kwa kutegemeana ili kutatua mambo mbali mbali ya duniani,
Mungu akawabariki wataalamu mbali mbali, watabibu, waalimu, wahasibu, wanajeshi, wanasayansi, wakulima, wafanyabiashara, wavuvi, wanamichezo nk
hawa wote tunaishi kwa kutegemeana ili maisha yasonge, mimi muhasibu nikiugua nitaenda kwa mtabibu, mwanajeshi akitaka kula ataenda kwa mkulima, mwanasiasa akitaka haki ataenda kwa wanasheria wamsaidie, mwalimu akipata tatizo la kiusalama ataenda polisi, polisi akitaka elimu atarudi kwa mwalimu, hivyohivyo kwa wote,
inapotokea wewe umewadharau wenzio na kuona unaakili kuliko wote ndugu yangu unajidanganya,
matabibu wamekwambia ukiwa na ugonjwa sugu tafadhari zingatia miongozo kwa usahihi maana upo kwenye risk kubwa, wewe kwa kiburi chako ukaona unacheo kikubwa na kuwadharau wengine ukijiona umewazidi akili matokeo yake utayaona,
wewe mmoja huwezi kuwa mkemia, ukawa mtabibu, ukawa mwalimu, ukawa mchungaji, ukawa mfamasia, ukawa mwanasaikolojia tafadhali heshimu kada za wengine,
ndugu yangu kufa kupo lakini na kufa kijinga kupo,
bibilia inasema usiwe mjinga kupita kiasi ukafa kabla ya siku zako
Mhubiri 7:17
Usiwe mwovu kupita kiasi;
Wala usiwe mpumbavu;
Kwani ufe kabla ya wakati wako?
Kwa maana hiyo ni kwamba sio kila mtu anaekufa basi ni wakati wake, wengine hufa kabla ya wakati kwa upumbavu,
Pengine ungeheshimu taaluma za watu ukachukua tahadhari mpaka leo tungekua pamoja tukiijenga Tanzania Mama,
Dharau na kibuli havijawai kumuacha mtu salama tangu kuumbwa kwa misingi ya ulimwengu huu
View attachment 1924317
you are totally wrongKibiblia hakuna MTU anayekufa siku sio yake.ukiona MTU amekufa ndio ilikuwa inatakiwa afe kifo hcho.kwa hyo watu walioenda kupigana kwenye vita vya kagera wakafa ,wasingeenda tungelikuwa nao Leo?.au babu zako walifanya makosa gani mpaka wakafa?.
We nijibu ndani ya biblia nani alikufa kabla ya siku si zakeyou are totally wrong
Inabidi tuanze kumtetea marehemu sasa😉Huu ndio ukweli na alisababisha wengi sana kufa kwa misimamo yake ya kijinga na kiwendawazimu.
Ni mjuzi siyo fundi,fundi anaweza koseaMwenyezi Mungu fundi kweli kweli, just imagine kama lijiwe lingekuepo adi sasa na hili wave ya delta ya sasa hivi, roho za waTZ zingeteketea kama nzige na ingekuwa balaa tupu………,
Hujamwelewa mleta mada na hata hayo maandiko aliyoyanukuu hujayaelewa,aliyekwenda vitani alikuwa anaitetea nchi yake kwa hiyo kufa au kupona ni 50/50 kufa kipumbavu yaani unaumwa unaletewa dawa unaikataa lazima utakufa tu.Kibiblia hakuna MTU anayekufa siku sio yake.ukiona MTU amekufa ndio ilikuwa inatakiwa afe kifo hcho.kwa hyo watu walioenda kupigana kwenye vita vya kagera wakafa ,wasingeenda tungelikuwa nao Leo?.au babu zako walifanya makosa gani mpaka wakafa?.
Inamaanisha waliochanjwa hawafi au hawaugui covid?.mfano wewe umeshachanja ?au ndio wapiga filimbi kuwachochea wengine waingie mtegoniHujamwelewa mleta mada na hata hayo maandiko aliyoyanukuu hujayaelewa,aliyekwenda vitani alikuwa anaitetea nchi yake kwa hiyo kufa au kupona ni 50/50 kufa kipumbavu yaani unaumwa unaletewa dawa unaikataa lazima utakufa tu.