#COVID19 Angekubali Chanjo na kuchukua tahadhari mapema, mpaka leo huenda tungekuwa naye

Acha usenge jamaa. Unaona chanjo ndiyo itakufanya usife kabisa
Yaani aliyechanjwa anajiona Yuko immortalized kabisaa! Pathetic waahid
Nani anaweza kuongeza urefu wa maisha take kwa kujitaabisha?
Kama hamuwezi kufanya Jambo dogo Kama Hilo utawezaje kuisemea kesho enyi kizazi chenye Imani haba?
Wewe naye ndezi kweli. Amekwambia ukichanjwa hufi? Huu ujinga uliotopea mnautoa wapi? Kakupa mpaka nukuu ya Biblia, lakini bado umejifunika shuka la ujinga. Mijitu mingine kama wewe imekimbilia kulike ulichoandika bila kusoma mpaka mwisho yakaelewa mada.
 
Yaani wewe jamaa mpuuzi sijawahi ona.
Kwamba unaona uko na Mungu kwa kuchoma jab😃😃
Huenda haya ndiyo madhara menyewe ya chanjo yameanza kujitokeza.
Kwakweli tuna mijinga mingi sana kama wewe. Mada hajaielewa halafu unakimbilia kubwabwaja ujinga hapa. Soma upya acha ubishi wewe.
 
Tupate funzo kupitia hili, Sio kwamba unapokua mkubwa kifedha/kimadaraka ni unaona kila mtu unamzidi akili, hapana Mungu alituumba akatupa akili akatubariki akatufanya tuishi kwa kutegemeana ili kutatua mambo mbali mbali ya duniani,

Mungu akawabariki wataalamu mbali mbali, watabibu, waalimu, wahasibu, wanajeshi, wanasayansi, wakulima, wafanyabiashara, wavuvi, wanamichezo nk

hawa wote tunaishi kwa kutegemeana ili maisha yasonge, mimi muhasibu nikiugua nitaenda kwa mtabibu, mwanajeshi akitaka kula ataenda kwa mkulima, mwanasiasa akitaka haki ataenda kwa wanasheria wamsaidie, mwalimu akipata tatizo la kiusalama ataenda polisi, polisi akitaka elimu atarudi kwa mwalimu, hivyohivyo kwa wote,

inapotokea wewe umewadharau wenzio na kuona unaakili kuliko wote ndugu yangu unajidanganya,

matabibu wamekwambia ukiwa na ugonjwa sugu tafadhari zingatia miongozo kwa usahihi maana upo kwenye risk kubwa, wewe kwa kiburi chako ukaona unacheo kikubwa na kuwadharau wengine ukijiona umewazidi akili matokeo yake utayaona,

wewe mmoja huwezi kuwa mkemia, ukawa mtabibu, ukawa mwalimu, ukawa mchungaji, ukawa mfamasia, ukawa mwanasaikolojia tafadhali heshimu kada za wengine,

ndugu yangu kufa kupo lakini na kufa kijinga kupo,
bibilia inasema usiwe mjinga kupita kiasi ukafa kabla ya siku zako

Mhubiri 7:17
Usiwe mwovu kupita kiasi;
Wala usiwe mpumbavu;
Kwani ufe kabla ya wakati wako?

Kwa maana hiyo ni kwamba sio kila mtu anaekufa basi ni wakati wake, wengine hufa kabla ya wakati kwa upumbavu,

Pengine ungeheshimu taaluma za watu ukachukua tahadhari mpaka leo tungekua pamoja tukiijenga Tanzania Mama,

Dharau na kibuli havijawai kumuacha mtu salama tangu kuumbwa kwa misingi ya ulimwengu huu

View attachment 1924317
Charles Mbowe alikataa chanjo?
 
Mungu alituumba na vipawa tofauti ili tuheshimiane, ni uwezo, nguvu, zawadi ya tofauti iliyo zaidi ya wengine anayopewa mtu ili amtumikie Mungu
 
Covid imetuondolea mtetezi wa wanyonge tumeletewa mumiani anatunyonya damu.
Ni nani mwenye hiyo ripoti? Death certificate je? Nikikwambia hata sasa hao unaodhani ni wataalamu, hawajui wanachokitafuta wanapoamua kukupima covid-19 utaamini?
 
Tupate funzo kupitia hili, Sio kwamba unapokua mkubwa kifedha/kimadaraka ni unaona kila mtu unamzidi akili, hapana Mungu alituumba akatupa akili akatubariki akatufanya tuishi kwa kutegemeana ili kutatua mambo mbali mbali ya duniani,

Mungu akawabariki wataalamu mbali mbali, watabibu, waalimu, wahasibu, wanajeshi, wanasayansi, wakulima, wafanyabiashara, wavuvi, wanamichezo nk

hawa wote tunaishi kwa kutegemeana ili maisha yasonge, mimi muhasibu nikiugua nitaenda kwa mtabibu, mwanajeshi akitaka kula ataenda kwa mkulima, mwanasiasa akitaka haki ataenda kwa wanasheria wamsaidie, mwalimu akipata tatizo la kiusalama ataenda polisi, polisi akitaka elimu atarudi kwa mwalimu, hivyohivyo kwa wote,

inapotokea wewe umewadharau wenzio na kuona unaakili kuliko wote ndugu yangu unajidanganya,

matabibu wamekwambia ukiwa na ugonjwa sugu tafadhari zingatia miongozo kwa usahihi maana upo kwenye risk kubwa, wewe kwa kiburi chako ukaona unacheo kikubwa na kuwadharau wengine ukijiona umewazidi akili matokeo yake utayaona,

wewe mmoja huwezi kuwa mkemia, ukawa mtabibu, ukawa mwalimu, ukawa mchungaji, ukawa mfamasia, ukawa mwanasaikolojia tafadhali heshimu kada za wengine,

ndugu yangu kufa kupo lakini na kufa kijinga kupo,
bibilia inasema usiwe mjinga kupita kiasi ukafa kabla ya siku zako

Mhubiri 7:17
Usiwe mwovu kupita kiasi;
Wala usiwe mpumbavu;
Kwani ufe kabla ya wakati wako?

Kwa maana hiyo ni kwamba sio kila mtu anaekufa basi ni wakati wake, wengine hufa kabla ya wakati kwa upumbavu,

Pengine ungeheshimu taaluma za watu ukachukua tahadhari mpaka leo tungekua pamoja tukiijenga Tanzania Mama,

Dharau na kibuli havijawai kumuacha mtu salama tangu kuumbwa kwa misingi ya ulimwengu huu

View attachment 1924317
Kibiblia hakuna MTU anayekufa siku sio yake.ukiona MTU amekufa ndio ilikuwa inatakiwa afe kifo hcho.kwa hyo watu walioenda kupigana kwenye vita vya kagera wakafa ,wasingeenda tungelikuwa nao Leo?.au babu zako walifanya makosa gani mpaka wakafa?.
 
you are totally wrong
 
Huu ndio ukweli na alisababisha wengi sana kufa kwa misimamo yake ya kijinga na kiwendawazimu.
Inabidi tuanze kumtetea marehemu sasa😉
Weka namba au rekodi mnazozizungumzia. Maana dunia ilidhani baada ya Samia kuonesha maigizo yake basi namba itawekwa hadhari angalau kila week kama kwa siku itawashinda. Ajabu ni kuwa, ile namba iliyotolewa mara moja, ambayo kimsingi inaweza kuwa ya kupika, ndo hiyo hiyo mpaka leo.

Kwamba hata baada ya jiwe kuondoka, wameshindwa ku-release taarifa walizokuwa wakirekodi kwaajili ya matumizi yao kitaalamu? Au hakuna walichokuwa wakirekodi? Hawakutoa death certs? Causes? Kwanini hawatoi hizo taarifa sasa?

Upepo uliotumika kumfuata jiwe, ukapitishwa njia fulani, ndio upepo unaoendelea-tumika ku-justify $574m, hamna namna nadhani.

Wote ni expandables machoni kwao.
 
Mwenyezi Mungu fundi kweli kweli, just imagine kama lijiwe lingekuepo adi sasa na hili wave ya delta ya sasa hivi, roho za waTZ zingeteketea kama nzige na ingekuwa balaa tupu………,
Ni mjuzi siyo fundi,fundi anaweza kosea
 
Kibiblia hakuna MTU anayekufa siku sio yake.ukiona MTU amekufa ndio ilikuwa inatakiwa afe kifo hcho.kwa hyo watu walioenda kupigana kwenye vita vya kagera wakafa ,wasingeenda tungelikuwa nao Leo?.au babu zako walifanya makosa gani mpaka wakafa?.
Hujamwelewa mleta mada na hata hayo maandiko aliyoyanukuu hujayaelewa,aliyekwenda vitani alikuwa anaitetea nchi yake kwa hiyo kufa au kupona ni 50/50 kufa kipumbavu yaani unaumwa unaletewa dawa unaikataa lazima utakufa tu.
 
Inamaanisha waliochanjwa hawafi au hawaugui covid?.mfano wewe umeshachanja ?au ndio wapiga filimbi kuwachochea wengine waingie mtegoni
 
Back
Top Bottom