#COVID19 Angekubali Chanjo na kuchukua tahadhari mapema, mpaka leo huenda tungekuwa naye

Mmefunga chuo ee.
Kuwa na ID mpya si hoja. Kifupi umetapika halafu unataka watu wakupigie makofi , hapana.

Unajidanganya sana dogo. Kwa kutapika kule hapana aisee. Kifupi nakuona ni mtu naive fulani unayejidai mwelevu. Kama ungelisoma ile mada vizuri usingeonesha kiwango cha upumbavu wako hapa.
Hiyo ni mada ya kipumbavu kutoka kwa mpumbavu.
Gentamicine snawaita mapopoma
 
Chaliiiiiiiii
 
Hakika nilijua atasahaulika ,kumbe bado na bado haswa ,hakika alikuwa mwamba wa Afrika na dunia kwa Ujumla.
Heko kwako pia unaeamini uviko ndio umemuua hayati
Historia itamkumbuka kama Raisi mjinga na mpumbavu
 
Reactions: BAK
Mbona mnakwepa kumjibu GWAJIMA? Ukichanjwa barakoa ya nini?
Kuzuia maambukizi, na Pia kulinda wasiochanja kwasababu aliyechanja anaweza kupata maambukizi na asitambulike (huwa hawapati active cases)

Ni njia nzuri ya kuokoa watu wengi zaidi
 
Kuna msemo usemwao, "lisemwalo lipo kama halipo linakuja", hili jambo liliwahi kusemwa humu na kweli likaja kutokea just coincidentaly just by coïncidence kama mwaka 2014 mimi niliposema ... Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli na kweli ikaja kutokea kweli.

Ukweli ni "liandikwalo ndilo liwalo". Maisha yote ya binadamu au mwanadamu, yanapangwa na Mungu na unakuwa umeandikiwa kila kitu ile siku unazaliwa. Hivyo mapito yako yote yanakuwa yaliisha pangwa hadi utakuwa nani, utakufa lini na utakufaje, ni Mungu tuu ndiye anayejua.

Malaika mtoa roho, Iziraeli, humpitia kila mwanadamu mara Saba mara sabini daily ili ukifika muda wako, asipitishe hata nukta moja ya sekunde.
Hivyo kila mtu atakufa muda ule na kifo kile alichoandikiwa. Na ikitokea siku yako na saa yako haijafika, hata utendewe vipi, haufi, mfano mzuri ni tukio la shambulio la Tundu Lissu, kikawaida risasi moja tuu inatosha kuitoa roho ya binadamu, Tundu Lissu amepigwa risasi 16, ili auwawe, na kweli zote zimempata lakini hakufa, Jee unajua sababu ni kwanini hakufa?. Sababu ni moja tuu, saa yake ilikuwa haijafika.

Uhai ni kazi ya Mungu na kifo ni kazi ya Mungu, kila mtu atakufa siku ile, saa ile na kifo kile alichoandikiwa. Hii hoja yako kuwa angekubali chanjo na kuchukua hatua, angekuwepo, sio hoja ya kweli, hata kama angekubali chanjo na kuchukua hatua zote, kama saa yako uliyoandikiwa imefika, ni saa imefika, na unakwenda.

P
 
Ila jamaa aliwaokoa maelfu kwa kukataa kuweka lockdown kama hapo jirani kwa Kagame & M7

chief hapo kwa M7 na PK wangapi wamekufa kwa kuwekwa lockdown...?. Je uchumi wa Tanzania umepanda kwa kutokaa lockdown vs waliokaa lockdown?..

tunatakwimu zozote za ukweli zinazoonyesha athari za Covid Tanzania toka covid ilipoanza mpaka sasa?...
 
wewe uyo malaika mtoa roho ulimsoma wapi?
 
PUMBA SANA WA HEAD
 
Ngebe za kinyegezinyegezi zitakuponza. Kati ya hizo chanjo ni ipi inayokubalika?? Haiwezekani kila nchi iwe na aina yake ya chanjo. Ukita kwenda china wa nataka aina yao ya chanjo, ukitakwenda Saudi aina yao, Ukitakwenda US, n.k, sasa wewe kama ni mfanyabiashara siutakuwa zombie???. Mu-head inaonyesha hamnazo
 
Kaka yake Mbowe na mkwe wake na watu zaidi ya 4m.waliokufa nao hwakuchukua tahadhari?

Vipi waliokufa hata baada ya kuchanjwa hawakuchua tahadhari?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…