#COVID19 Angekubali Chanjo na kuchukua tahadhari mapema, mpaka leo huenda tungekuwa naye

Wote waliochanjwa na ambao hawajachanjwa wamejaa mashaka,wasiwasi na hofu Mana hakuna mwenye certainty Kama upande wake ndo upo sahihi muhimu ni kuweka tumaini pekee kwa mungu Mana yeye ndo mwenye majibu sahihi. Amina
 
Kama li mke lako linamwona alikuwa kiongozi bora basi litakuwa na shida mahali!
Alikuwa kiongozi bora Tanzania
Ukitaka kubisha anza kuulizia habari zake kwenye familia yako..
Tena anza na mkeo
 
Acha usenge jamaa. Unaona chanjo ndiyo itakufanya usife kabisa
Yaani aliyechanjwa anajiona Yuko immortalized kabisaa! Pathetic waahid
Nani anaweza kuongeza urefu wa maisha take kwa kujitaabisha?
Kama hamuwezi kufanya Jambo dogo Kama Hilo utawezaje kuisemea kesho enyi kizazi chenye Imani haba?
Wala tusijisumbue na kama angelifanya , tukumbuke ya kuwa sikuzako zikifika, hamna namna yakufanya tena. Kwani Maleria haina dawa, mbona inaua? Kwa hiyo tusipende kuongelea walio lala ilihali yetu wazima yametushinda.
 
Weka ushahidi wa kisayansi wa pingamizi lako juu ya weledi wa hao wanasayansi vilaza
Sina hata chembe ya ushahidi boss, nimejibu tu hoja kama ilivyoletwa na mleta hoja, mada ubaoni haina ushaidi wowote wa kisayansi kuthibitisha madai hayo, kwanini mimi niweke ushahidi?

Au kuna ushahidi wowote wa kisayansi uliowekwa na mwenye mada? Kama ungekuwepo, nisingetia mguu aisee.
 
Mwenyezi Mungu fundi kweli kweli, just imagine kama lijiwe lingekuepo adi sasa na hili wave ya delta ya sasa hivi, roho za waTZ zingeteketea kama nzige na ingekuwa balaa tupu………,
Unajuaje? Mkuu, kwani wave ya kwanza si iliua sana ulimwenguni? Usitolee conclusion kitu ambacho hujui.
 
Acha usenge jamaa. Unaona chanjo ndiyo itakufanya usife kabisa
Yaani aliyechanjwa anajiona Yuko immortalized kabisaa! Pathetic waahid
Nani anaweza kuongeza urefu wa maisha take kwa kujitaabisha?
Kama hamuwezi kufanya Jambo dogo Kama Hilo utawezaje kuisemea kesho enyi kizazi chenye Imani haba?
Wa kanda matiti utawajua kwa povu
 
Sina hata chembe ya ushahidi boss, nimejibu tu hoja kama ilivyoletwa na mleta hoja, mada ubaoni haina ushaidi wowote wa kisayansi kuthibitisha madai hayo, kwanini mimi niweke ushahidi?

Au kuna ushahidi wowote wa kisayansi uliowekwa na mwenye mada? Kama ungekuwepo, nisingetia mguu aisee.
Basi kausha, ila hii Corona imetuletea tozo
 
Amekufa na sononeko na damu mikononi mwake....hakika damu ya mtu haiendi bure
 
Kuna idadi ya kutosha ya waliokufa kwa baada ya kupata chanjo zote na kuchukua tahadhari.
 
Kifo ni jambo la wakati,ukifika lazima ufe haijalishi ni sababu gani,hata angepiga chanjo aweke na lock down wakati ukifika hauchomoki...

Sion wala hana cha kujutia kaishi maisha mema sana ya ujana na alikua anaanza uzee,ambao wengi wetu ni ngumu kufika umri wake.
Apumzike kwa amani
 
Mwenyezi Mungu fundi kweli kweli, just imagine kama lijiwe lingekuepo adi sasa na hili wave ya delta ya sasa hivi, roho za waTZ zingeteketea kama nzige na ingekuwa balaa tupu………,
Kelele zote za mnataka chanjo kumbe mlikuwa laki 3 tu nchi nzima...pambafu kabisa
 
Acha usenge jamaa. Unaona chanjo ndiyo itakufanya usife kabisa
Yaani aliyechanjwa anajiona Yuko immortalized kabisaa! Pathetic waahid
Nani anaweza kuongeza urefu wa maisha take kwa kujitaabisha?
Kama hamuwezi kufanya Jambo dogo Kama Hilo utawezaje kuisemea kesho enyi kizazi chenye Imani haba?
Imani na Akili Kinatangulia Nini?
 
Ila jamaa aliwaokoa maelfu kwa kukataa kuweka lockdown kama hapo jirani kwa Kagame & M7
Hivi una akili zinakutosha kweli wewe? Lockdown zinaua watu hadi useme eti aliwaokoa watu na Lockdown?
Sijui kwanini CCM kuna wajinga wengi kiasi hiki
 
Back
Top Bottom