Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 5,586
- 7,087
Waziri wa michezo atumbuliwe, asipotumbuliwa serikali ilipe fidia wadau wote waliopata hasara.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaan inakera sana kwa kweli, aaaaahStill surprised!shughuli ya wazanzibar inavuruga Starehe ya watanganyika!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan vichekesho tupu tu.Mama yuko anagawa benzi huko
[emoji3][emoji3][emoji3]
Na Benz limetolewa km zawadi, mama huyooh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na awamu ya nne, afu hizo zote ni za ISLAMIC. Yaan ni shida kwa kweli khaaaaah.Awamu ya pili = awamu ya sita
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] atapewa nauli ya kupanda Saratoga kurudi huko kibondo.Kuna kakimbia kwa miguu kutoka kigoma kushuhudia hii mechi,sijui ana hali gani muda huu[emoji2][emoji2]
Yule mwamba atakuwa amemind sana hili tukio [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna kakimbia kwa miguu kutoka kigoma kushuhudia hii mechi,sijui ana hali gani muda huu[emoji2][emoji2]
Saratoga walikua na b8scuits nzuri balaa zina maziwa..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] atapewa nauli ya kupanda Saratoga kurudi huko kibondo.
Watu mna roho mbaya aisee[emoji24][emoji24]yuko futi 15 chini ya 'aridhi' wadudu wanamtafuna
kwani nimeongea uongo, hata mie nikifa ntaingia uko, na wadudu watatafuna kama kawaWatu mna roho mbaya aisee[emoji24][emoji24]
Hawezi fanya Utenguzi wakati Alitaka tuangalie Mzazi akizindua Kitabu chake walichoona ni muhimu sana kuliko hisia za Watanzania. Ndio shida ya Nchi kuendeshwa kwa mfumo wa BMWMama can do it either! Nauona utenguzi wake wa kwanza kwa ngazi hii...