Angekuwa Magufuli kesho tungeamka na Breaking News ya Waziri wa michezo kutumbuliwa

Mama can do it either! Nauona utenguzi wake wa kwanza kwa ngazi hii...
...mmm, nimeanza na wasiwasi na haya unayoyasema mkuu!
Naona mama bado ana huruma za mama..

Yule Uteuzi wake aliyemuambia Mwananchi hadharani kwamba atulize matako, so mpaka Leo anaendelea kula nchi na mama bado anamwachia tu bila kumpa adhabu yoyote!
Hats hili litapita kimya kimya tu...
 
Asilani abadani Magufuli asingeweza kuvumilia huu upuuzi uliotokea leo uwanja wa Mkapa. Kesho asubuhi mapemaaa! kuna mtu angetumbuliwa. Huu si uzembe tu bali dharau iliyopindukia kwa familia ya wanamichezo.

Kiungwana tu Waziri wa michezo atoke hadharani kutuomba msamaha. Na namshauri Mh. Rais nafasi km hii achague mtu wa michezo kweli kweli sio kumteua mbumbumbu asiyejua sheria na kanuni za michezo.
Shida pale ni Abbas anakiburi na inamfanya Innocent kushindwa kufanya kazi yake

Sent from my vivo 1915 using JamiiForums mobile app
 
...mmm, nimeanza na wasiwasi na haya unayoyasema mkuu!
Naona mama bado ana huruma za mama..

Yule Uteuzi wake aliyemuambia Mwananchi hadharani kwamba atulize matako, so mpaka Leo anaendelea kula nchi na mama bado anamwachia tu bila kumpa adhabu yoyote!
Hats hili litapita kimya kimya tu...
Nilichokuwa nampenda mzee Magu ukizingua tu hapo hapo anakutumbua,hakuna kusubiri
 
Asilani abadani Magufuli asingeweza kuvumilia huu upuuzi uliotokea leo uwanja wa Mkapa. Kesho asubuhi mapemaaa! kuna mtu angetumbuliwa. Huu si uzembe tu bali dharau iliyopindukia kwa familia ya wanamichezo.

Kiungwana tu Waziri wa michezo atoke hadharani kutuomba msamaha. Na namshauri Mh. Rais nafasi km hii achague mtu wa michezo kweli kweli sio kumteua mbumbumbu asiyejua sheria na kanuni za michezo.
Wala, Bashu na mwendazake wana historia usidhan alimpa huo uwaziri bahati mbaya. Wizara hiyo alikuwa anaitumia kuwapa watu asiyiwakubali kama nape au anaoona hawana uwezo lakn anawapenda. Bashu wizara ya viwanda ilimshnda akaona kumtosa hawez maana wanajuana toka enz akamweka hapo.
 
Ukzngua kama hakukubali, unadhani kwanini hakumtumbua makonda kwenye issue ya container la samani? Angekuwa mwingine zege lisingelala. Na yule mkurugenz wa geita?
Nilichokuwa nampenda mzee Magu ukizingua tu hapo hapo anakutumbua,hakuna kusubiri
 
Ila Tanzania bwana, yaani kwa issue kama hii na bado hakuna mtu anayeamua kuwajibika.
 
Asilani abadani Magufuli asingeweza kuvumilia huu upuuzi uliotokea leo uwanja wa Mkapa. Kesho asubuhi mapemaaa! kuna mtu angetumbuliwa. Huu si uzembe tu bali dharau iliyopindukia kwa familia ya wanamichezo.

Kiungwana tu Waziri wa michezo atoke hadharani kutuomba msamaha. Na namshauri Mh. Rais nafasi km hii achague mtu wa michezo kweli kweli sio kumteua mbumbumbu asiyejua sheria na kanuni za michezo.
Aombe msamaha au ajiuzulu
 
Kuna mtu ameshauri Serikali vibaya kimazoea!,bila kujali maslahi ya wapenda soka.
Raia wanapaswa kuwa huru kwenda watakapo,kusikiliza watakacho,kuona watakacho ili mradi hawavunji sheria.

Serikali imezoea kupora uhuru wa raia kuamua wakitakacho,sasa leo maelekezo ya Serikali kwenda chama cha mpira imeleta madhara(Mechi imeahirishwa huku washabiki wakipata hasara ya fedha waliotoa baada ya mechi kuvunjika).
Watendaji,wamezoea kutoa ushauri wa kujipendekeza bila kufanya tathimini yenye kujali maslahi ya wengi.
BORA RAIS AFANYE MABADILIKO ZAIDI KWA WATENDAJI,KUNA MAMBO WANAYOYAFANYA HAYAENDANI NA MTAZAMO WA SERIKALI YA AWAMU YA 6.
Well said
 
Yan ww bhna unamlauma bashungwa wkt na yeye kapewa maelkezo kutoka juu,itoshe kusema Tanzania ni nchi ya hovyo,ccm na serkal yake wnaharb sana had wanaboa
Hivi kujiuzlu ni lazima uwe umeharibu wewe?.

Hata kupokea na kutekeleza maagizo yanayoharibu kama Mtu una busara na umekomaa unawajibika tu.
 
Simba walikuwepo uwanjani wapewe pointi zao 3. Habari ndio hiyo
 
Bashungwa ni nshomile kweli. Huwa nikiangalia picha hii alivyoshika karama akiangalia kamera huku hana karatasi ya kuandika ndipo ninapojua jamaa ni nshomile kweli.

1620505746702.png

Ila sasa aangalie asijegeuzwa mbuzi wa shughuli kwani aliletwa na magufuli, na hii inaweza kuwa ni mwanya mzuri ya kumrudisha nape kwenye Wizara ile.
 
Asilani abadani Magufuli asingeweza kuvumilia huu upuuzi uliotokea leo uwanja wa Mkapa. Kesho asubuhi mapemaaa! kuna mtu angetumbuliwa. Huu si uzembe tu bali dharau iliyopindukia kwa familia ya wanamichezo.

Kiungwana tu Waziri wa michezo atoke hadharani kutuomba msamaha. Na namshauri Mh. Rais nafasi km hii achague mtu wa michezo kweli kweli sio kumteua mbumbumbu asiyejua sheria na kanuni za michezo.
Kabisa

Mechinya Simba na yanga haikus emergency

Upoe kwenye calendar for months, watu tumeweka peas na kuchukua likizo tune kuangalia

Sintoelewa if the minister is still in position kesho
 
Hivi kujiuzlu ni lazima uwe umeharibu wewe?.

Hata kupokea na kutekeleza maagizo yanayoharibu kama Mtu una busara na umekomaa unawajibika tu.
Kabisa, kuwajibika sio lazima uwe wewe ndo mwenye makosa. Jambo la ovyo na aibu likitokea ndani ya wizara au kitendo chako ili kurudisha imani ya watu lazima mwenye mamlaka awajibike.
 
Back
Top Bottom