Angekuwa Magufuli kesho tungeamka na Breaking News ya Waziri wa michezo kutumbuliwa

Waziri wa michezo atumbuliwe, asipotumbuliwa serikali ilipe fidia wadau wote waliopata hasara.
 
Waziri wa michezo atumbuliwe, asipotumbuliwa serikali ilipe fidia wadau wote waliopata hasara.
 
Ningekuwa na uwezo kuna mijitu ningeipiga bastola leo. Basi tu ngoja nisikufuru
 
Ubaya wa Magufuli ilikuwa hata akikutuma kazi yeye ili yeye aonekane ni mchapakazi wewe anakutumbua wakati kazi ni yeye kakuagiza magufuli alikuwa haeleweki. na hili alifanikiwa sana kushika akili za wengi.
 
Mama can do it either! Nauona utenguzi wake wa kwanza kwa ngazi hii...
Hawezi fanya Utenguzi wakati Alitaka tuangalie Mzazi akizindua Kitabu chake walichoona ni muhimu sana kuliko hisia za Watanzania. Ndio shida ya Nchi kuendeshwa kwa mfumo wa BMW
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…