road master
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 2,064
- 3,021
Sio rahisi kumtumbua kwakua mhusika ni kutoka kanda ya ziwa " bashingwe"Asilani abadani Magufuli asingeweza kuvumilia huu upuuzi uliotokea leo uwanja wa Mkapa. Kesho asubuhi mapemaaa! kuna mtu angetumbuliwa. Huu si uzembe tu bali dharau iliyopindukia kwa familia ya wanamichezo.
Kiungwana tu Waziri wa michezo atoke hadharani kutuomba msamaha. Na namshauri Mh. Rais nafasi km hii achague mtu wa michezo kweli kweli sio kumteua mbumbumbu asiyejua sheria na kanuni za michezo.
Mkumbuke wewe na mkeo"MTANIKUMBUKA"
MsitutisheIsee kumbe kila mtu ana pengo lake ....
Mbali na madudu yote aloyafanya,lakini Mzee Baba mambo kama haya ndo yalikuwa yake.....kuna majitu majinga yanatuendesha sana.
[emoji23][emoji23][emoji23] DahhStill surprised!shughuli ya wazanzibar inavuruga Starehe ya watanganyika!
Mkuu kwani Bashungwa aliamua yeye au alipewa amri, haya sasa angekuwa haya yamefanywa enzi za mwendazake tungesikia mengi ya kulaani na maneno mengi ya kuudhi na kejeli, haya sasa KAZI IENDELEEAsilani abadani Magufuli asingeweza kuvumilia huu upuuzi uliotokea leo uwanja wa Mkapa. Kesho asubuhi mapemaaa! kuna mtu angetumbuliwa. Huu si uzembe tu bali dharau iliyopindukia kwa familia ya wanamichezo.
Kiungwana tu Waziri wa michezo atoke hadharani kutuomba msamaha. Na namshauri Mh. Rais nafasi km hii achague mtu wa michezo kweli kweli sio kumteua mbumbumbu asiyejua sheria na kanuni za michezo.
Na baada ya kitabu,Benzi baada ya benzi Iftar.. yakhe umenifahamu vizuri hapoo
Utafikiri wao ni mawe hawatakufaWatu mna roho mbaya aisee[emoji24][emoji24]
Yan ww bhna unamlauma bashungwa wkt na yeye kapewa maelkezo kutoka juu,itoshe kusema Tanzania ni nchi ya hovyo,ccm na serkal yake wnaharb sana had wanaboaAsilani abadani Magufuli asingeweza kuvumilia huu upuuzi uliotokea leo uwanja wa Mkapa. Kesho asubuhi mapemaaa! kuna mtu angetumbuliwa. Huu si uzembe tu bali dharau iliyopindukia kwa familia ya wanamichezo.
Kiungwana tu Waziri wa michezo atoke hadharani kutuomba msamaha. Na namshauri Mh. Rais nafasi km hii achague mtu wa michezo kweli kweli sio kumteua mbumbumbu asiyejua sheria na kanuni za michezo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niliwahi panda 2017 nikitokea kahama mweeeh, hatareeehSaratoga walikua na b8scuits nzuri balaa zina maziwa..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na baada ya kitabu,Benzi baada ya benzi Iftar.. yakhe umenifahamu vizuri hapoo
Sema ueleweke badala ya kujiambia ukaamini umewaambia wana jamvi. nini pwenti yako hapa?Asilani abadani Magufuli asingeweza kuvumilia huu upuuzi uliotokea leo uwanja wa Mkapa. Kesho asubuhi mapemaaa! kuna mtu angetumbuliwa. Huu si uzembe tu bali dharau iliyopindukia kwa familia ya wanamichezo.
Kiungwana tu Waziri wa michezo atoke hadharani kutuomba msamaha. Na namshauri Mh. Rais nafasi km hii achague mtu wa michezo kweli kweli sio kumteua mbumbumbu asiyejua sheria na kanuni za michezo.
Huenda reasoning capacity yake ilikua na hitilafu. Tena kesho ni Jumapili? Ile siku yake pendwa! Dah saa hizi anawaongoza malaika kuimba kwaya hukoAsilani abadani Magufuli asingeweza kuvumilia huu upuuzi uliotokea leo uwanja wa Mkapa. Kesho asubuhi mapemaaa! kuna mtu angetumbuliwa. Huu si uzembe tu bali dharau iliyopindukia kwa familia ya wanamichezo.
Kiungwana tu Waziri wa michezo atoke hadharani kutuomba msamaha. Na namshauri Mh. Rais nafasi km hii achague mtu wa michezo kweli kweli sio kumteua mbumbumbu asiyejua sheria na kanuni za michezo.
MhVipi kama kamtuma yeye ...wewe kwa akili yako ya kawaida unadhani Waziri anapata wapi nguvu ya kusogeza mechi mbele...Na baadooo nchi imeshachukuliwa na mdebwedo ...watu wa Pwani...mbona tutanyooka mwaka huu...Kwani hiyo mechi haiwezi kusogezwa mbele shehe ahaa..Mimi ni Rais Mwanamke
Mkuu umeongea jambo zuri sanaKuna mtu ameshauri Serikali vibaya kimazoea!,bila kujali maslahi ya wapenda soka.
Raia wanapaswa kuwa huru kwenda watakapo,kusikiliza watakacho,kuona watakacho ili mradi hawavunji sheria.
Serikali imezoea kupora uhuru wa raia kuamua wakitakacho,sasa leo maelekezo ya Serikali kwenda chama cha mpira imeleta madhara(Mechi imeahirishwa huku washabiki wakipata hasara ya fedha waliotoa baada ya mechi kuvunjika).
Watendaji,wamezoea kutoa ushauri wa kujipendekeza bila kufanya tathimini yenye kujali maslahi ya wengi.
BORA RAIS AFANYE MABADILIKO ZAIDI KWA WATENDAJI,KUNA MAMBO WANAYOYAFANYA HAYAENDANI NA MTAZAMO WA SERIKALI YA AWAMU YA 6.
Chance ya kuiona mbingu wewe ni FINYUHuenda reasoning capacity yake ilikua na hitilafu. Tena kesho ni Jumapili? Ile siku yake pendwa! Dah saa hizi anawaongoza malaika kuimba kwaya huko
Kutumbua waziri, kwenda sambamba na kulipa fidia wadau walipopata hasaraWaziri wa michezo atumbuliwe, asipotumbuliwa serikali ilipe fidia wadau wote waliopata hasara.