Angekuwa Magufuli kesho tungeamka na Breaking News ya Waziri wa michezo kutumbuliwa

Hawezi fanya Utenguzi wakati Alitaka tuangalie Mzazi akizindua Kitabu chake walichoona ni muhimu sana kuliko hisia za Watanzania. Ndio shida ya Nchi kuendeshwa kwa mfumo wa BMW
BMW ni mfumo gn?
 
Nan alimwambia mwananch hvyo na kisa kilikua nin bro?
 
Ujinga ndio maana amendoka yeye Magufuli akatuacha . Reasoning with reasons.
 
BMW ni mfumo gn?
BMW kwa wale waliosoma Politics ina maaana Utawala ambao BABA, MAMA, WATOTO wako kwenye system ya Serikali kwa pamoja. Mwi, SAM etc
Like JK, SALM, RIZ.
Kitu ambacho Dozzer alikuwa hataki hata kusikia mkewe akiwa jukwaani bali abaki mpishi. Thats BMW mean
 
Hiii nafasi ya nape jamani hawa wengine mnafosi tuuu
 
Je na hili la biashara United kushindwa kwenda Libya waziri wa michezo angebakia kwenye dhamana aliyopewa?

Tunaongozwa na watu wasio na interest wala maarifa na mpira sad...
 
Je na hili la biashara United kushindwa kwenda Libya waziri wa michezo angebakia kwenye dhamana aliyopewa?

Tunaongozwa na watu wasio na interest wala maarifa na mpira sad...
Kweni zile pesa zilizochangishwa na kina makonda timu kipindi inaenda Afcon zilipopigwa nani alitumbuliwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…