Angekuwa ndio Magufuli kapokea report ya CAG leo, naamini angefanya maamuzi haya ya kishujaa...

Una uelewa mdogo sana katika uongozi wa hayati JPM.
Hujui kuwa yeye Magufuli ndiye amesababisha huu upotevu kwa kutochukua hatua madhubuti?

Hujui ATCL kwa mfano,imekuwa hasara kwa miaka 5 mfululizo?Nani alikuwa rais kwenye miaka hiyo mitano?
Muache kusifia hata kama ndiyo Ajira yenu.
 
Huyu mama hajawekewa peacemaker, bado ana akili timamu
 
Swali fikirishi, je CAG aliye pita hakukagua miaka hiyo iliyo pita,ama wadangayika hawakutakiwa kusikia ATCL linapata hasara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…