fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
Wala si kweli,ingekuwa bado ba kuhusu bei nafuu,sahau bro hakuna duniani kwenye umeme wa bei nafuuHayati JPM alikuwa mtu wa vitendo na mtu wa kuhakikisha rasilimali za umma zinatumika kwa manufaa ya umma...
Nakumbuka ngonjera nyingi wakati wa awamu ya nne kuhusu hatima ya matumizi ya mifuko ya plastiki. Ilipoingia awamu ya tano hapakuwa na ngonjera tena ila tukaona hatima ya matumizi ya hiyo mifuko.Ngonjera na nahau kibao. Dogo Januari anatunga mashairi na vina Kila siku.
kabisaaa aiseeeHayati JPM alikuwa mtu wa vitendo na mtu wa kuhakikisha rasilimali za umma zinatumika kwa manufaa ya umma.
Kwa manufaa ya umma na watu wa chini na wanyonge lazima angekomaa na bwawa la JNHP kukamilika ili watanzania wapate umeme wa bei rahisi na wa uhakika.
Watanzania tusitarajie huu mradi kukamilika mwaka huu kama ilivyotarajiwa maana sasa ngonjera ni nyingi...
Ni kweli JPM hayupo, ila MUNGU YUPO na amemuweka Mama badala yake. Mungu YUPO na azidi kwenda na na Mama kwa KISHINDO KIKUU!Hayati JPM alikuwa mtu wa vitendo na mtu wa kuhakikisha rasilimali za umma zinatumika kwa manufaa ya umma.
Kwa manufaa ya umma na watu wa chini na wanyonge lazima angekomaa na bwawa la JNHP kukamilika ili watanzania wapate umeme wa bei rahisi na wa uhakika.
Watanzania tusitarajie huu mradi kukamilika mwaka huu kama ilivyotarajiwa maana sasa ngonjera ni nyingi...
Kamati ya Bunge ilitakiwa kuupitia mradi huo tangu mwanzo hadi sasa, nasikia haukufuata taratibu zinazotakiwa - yaani ulipelewa kienyeji enyeji tu na umejengwa chini ya kiwango.Hayati JPM alikuwa mtu wa vitendo na mtu wa kuhakikisha rasilimali za umma zinatumika kwa manufaa ya umma...
Hizo ni ndoto zako!Hayati JPM alikuwa mtu wa vitendo na mtu wa kuhakikisha rasilimali za umma zinatumika kwa manufaa ya umma.
Kwa manufaa ya umma na watu wa chini na wanyonge lazima angekomaa na bwawa la JNHP kukamilika ili watanzania wapate umeme wa bei rahisi na wa uhakika.
Watanzania tusitarajie huu mradi kukamilika mwaka huu kama ilivyotarajiwa maana sasa ngonjera ni nyingi...
Mbona alikuwepo na SGR phase one haikuisha kwa wakati ulioahidiwa mwanzo?Hayati JPM alikuwa mtu wa vitendo na mtu wa kuhakikisha rasilimali za umma zinatumika kwa manufaa ya umma...
Kwanini nini kimebadirika?, msaidizi wake si yuko madarakani?CCM ni ile ile, serikali ni ile ile...Bunge lile lile... Tusitegemee watu tujenge mifumo, tusingekuwa tunalia hivi...Hayati JPM alikuwa mtu wa vitendo na mtu wa kuhakikisha rasilimali za umma zinatumika kwa manufaa ya umma...
Ilimshinda kukamilisha Sgr , angeweza bwawa?Hayati JPM alikuwa mtu wa vitendo na mtu wa kuhakikisha rasilimali za umma zinatumika kwa manufaa ya umma.
Kwa manufaa ya umma na watu wa chini na wanyonge lazima angekomaa na bwawa la JNHP kukamilika ili watanzania wapate umeme wa bei rahisi na wa uhakika.
Watanzania tusitarajie huu mradi kukamilika mwaka huu kama ilivyotarajiwa maana sasa ngonjera ni nyingi...
We bwege umeenda shule? Pesa hazipo kwa ajili ya mradi?
It's just that mtu mweusi hayupo serious na maisha, amezoea wizi, uvivu, kuomba omba basi, mtu mwingine afikiri kwa ajiri yake, jiulize tu kwanini tupo nyuma kiasi hichi kimaendeleo tofauti na sehemu zingine duniani,?Nakumbuka ngonjera nyingi wakati wa awamu ya nne kuhusu hatima ya matumizi ya mifuko ya plastiki. Ilipoingia awamu ya tano hapakuwa na ngonjera tena ila tukaona hatima ya matumizi ya hiyo mifuko.