Angekuwepo Hayati Magufuli bwawa la JNHP lingekamilika Juni 2022 na tungeanza kupata umeme kwa bei nafuu

Angekuwepo Hayati Magufuli bwawa la JNHP lingekamilika Juni 2022 na tungeanza kupata umeme kwa bei nafuu

Vile mwendakuzimu amefurahia uzi wako huu kutokea huko kuzimu😁😁
downloadfile-4.jpg
 
Vile vijiji 300 vingekuwa na umeme. Sasa hivi hata sisi wa mjini hatuna umeme, umeme unawaka kwa mafungu.wale watu walijua kutuumiza.rip jpm kesho trh 9 anamaliza mwaka mavumbini dah.
 
Angekuwepo inafanya hoja kuwa ya nadharia, hadithi, jambo la kufikirika lisilo na namna ya kulithibitisha.
 
Ngonjera na nahau kibao. Dogo Januari anatunga mashairi na vina Kila siku.
Nakumbuka ngonjera nyingi wakati wa awamu ya nne kuhusu hatima ya matumizi ya mifuko ya plastiki. Ilipoingia awamu ya tano hapakuwa na ngonjera tena ila tukaona hatima ya matumizi ya hiyo mifuko.
 
Hayati JPM alikuwa mtu wa vitendo na mtu wa kuhakikisha rasilimali za umma zinatumika kwa manufaa ya umma.

Kwa manufaa ya umma na watu wa chini na wanyonge lazima angekomaa na bwawa la JNHP kukamilika ili watanzania wapate umeme wa bei rahisi na wa uhakika.

Watanzania tusitarajie huu mradi kukamilika mwaka huu kama ilivyotarajiwa maana sasa ngonjera ni nyingi...
kabisaaa aiseee
 
Usiwaamin wanasiasa,hii nchi huwez pata vitu kwa bei rahis,magu alkuwa muongo
 
Genge la kuuza gas liko ndani ya jumba, mission za awamu ya 4 ndio zinakamilishwa!
 
Hayati JPM alikuwa mtu wa vitendo na mtu wa kuhakikisha rasilimali za umma zinatumika kwa manufaa ya umma.

Kwa manufaa ya umma na watu wa chini na wanyonge lazima angekomaa na bwawa la JNHP kukamilika ili watanzania wapate umeme wa bei rahisi na wa uhakika.

Watanzania tusitarajie huu mradi kukamilika mwaka huu kama ilivyotarajiwa maana sasa ngonjera ni nyingi...
Ni kweli JPM hayupo, ila MUNGU YUPO na amemuweka Mama badala yake. Mungu YUPO na azidi kwenda na na Mama kwa KISHINDO KIKUU!
 
Hayati JPM alikuwa mtu wa vitendo na mtu wa kuhakikisha rasilimali za umma zinatumika kwa manufaa ya umma...
Kamati ya Bunge ilitakiwa kuupitia mradi huo tangu mwanzo hadi sasa, nasikia haukufuata taratibu zinazotakiwa - yaani ulipelewa kienyeji enyeji tu na umejengwa chini ya kiwango.

Mpaka hapo kamati itakapoleta taarifa yake ya kina ili ikajadiliwe bungeni na ukweli ujulikane wazi wazi.
 
Hayati JPM alikuwa mtu wa vitendo na mtu wa kuhakikisha rasilimali za umma zinatumika kwa manufaa ya umma.

Kwa manufaa ya umma na watu wa chini na wanyonge lazima angekomaa na bwawa la JNHP kukamilika ili watanzania wapate umeme wa bei rahisi na wa uhakika.

Watanzania tusitarajie huu mradi kukamilika mwaka huu kama ilivyotarajiwa maana sasa ngonjera ni nyingi...
Hizo ni ndoto zako!
 
Walioumizwa hawaandiki chochote ila chawa na hawa wanaoandika ili kuonyesha waliumizwa ndiyo wanasimamisha mapembe.

Mtujuze wapi uliumizwa na late Magufuli ili unapoandika reply au article tukisoma au kuiona tunahakisi uhalisia wa pale ulipoumizwa.

NOTE: Siyo kila jambo ni kafara ilihali hata chawa hujawahi kumuona.
 
Hayati JPM alikuwa mtu wa vitendo na mtu wa kuhakikisha rasilimali za umma zinatumika kwa manufaa ya umma...
Kwanini nini kimebadirika?, msaidizi wake si yuko madarakani?CCM ni ile ile, serikali ni ile ile...Bunge lile lile... Tusitegemee watu tujenge mifumo, tusingekuwa tunalia hivi...
 
Hayati JPM alikuwa mtu wa vitendo na mtu wa kuhakikisha rasilimali za umma zinatumika kwa manufaa ya umma.

Kwa manufaa ya umma na watu wa chini na wanyonge lazima angekomaa na bwawa la JNHP kukamilika ili watanzania wapate umeme wa bei rahisi na wa uhakika.

Watanzania tusitarajie huu mradi kukamilika mwaka huu kama ilivyotarajiwa maana sasa ngonjera ni nyingi...
Ilimshinda kukamilisha Sgr , angeweza bwawa?

When you put profit before people , thats when you have calafates
 
Ni kweli na alikua na ham nalo sana ili kutatua changamoto za umeme Tanzania
 
Unajua tatizo liko wapi, JPM alisema anajenga kwa cash hela ya ndani, sasa wakati safari imeiva alisahau kukabidhi lile furushi la hela ( bulungutu) kwa wasaidizi wake ili wamkabidhi rais ajay ndio maana alipoondoka tu kwenda Ahera hiyo cash hatujaiona mpaka leo, ndio mikopo mikali ikaanza. Jpm angemtonya tu hata Job kwamba liko sehemu fulani, basi Job angeendelea kuwa spika pia.
Sasa job nae akabaki anashangaa tunakopa nini wakati cash imejaa uchumi wa kati unakuwa kwa asilimia 7.

Kwa hiyo tusimtafute mchawi tutafute lile furush alilokuwa hata anagawa fedha barabarani liko wapiiiiiiii ?
 
We bwege umeenda shule? Pesa hazipo kwa ajili ya mradi?

Nakumbuka ngonjera nyingi wakati wa awamu ya nne kuhusu hatima ya matumizi ya mifuko ya plastiki. Ilipoingia awamu ya tano hapakuwa na ngonjera tena ila tukaona hatima ya matumizi ya hiyo mifuko.
It's just that mtu mweusi hayupo serious na maisha, amezoea wizi, uvivu, kuomba omba basi, mtu mwingine afikiri kwa ajiri yake, jiulize tu kwanini tupo nyuma kiasi hichi kimaendeleo tofauti na sehemu zingine duniani,?

Sababu kubwa ni kokasa Viongozi wenye vision, wapo wapo tu hamna matumizi ya akili, mtu mweupe afikiri awambie Cha kufanya,!! Hata resources tunazopata na kupewa na Mungu wanazigawa kwa wazungu kama watu wasiokuwa na ubongo kwa mikataba ya ajabu isiyokuwa na tija kwa kizazi Cha Leo na kesho....JPM na mapungufu yake yote alikuwa na kichwa tofauti kabisa, he was unique!!

Tutabaki masikini kama taifa hao wachache walioamua kuwa madalali wa resources zetu wakiishi kama peponi!! Ila amini kiburi Cha mwanadamu ni siku pumzi ikimtoka na hakika itamtoka hata awe na cheo Gani au ukwasi kiasi Gani!! Na haya maisha wanayowapa wananchi wao ya shida watayalipa sababu Mungu yupo!!
 
Back
Top Bottom