Angekuwepo Hayati Magufuli bwawa la JNHP lingekamilika Juni 2022 na tungeanza kupata umeme kwa bei nafuu

Nani asiyekujua wewe mnafiki na mpumbavu kwa data za kupika na kuokoteza kisa tu chuki zako kwa hayati JPM zionekane.
 
kamfufue ndugu.acha kutupigia mayowe.
 
Lisingekuwa limeisha ila walau tungekuwa tumefika ata 85%

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kweli, mkandarasi ndio alikuwa analalamika juu ya milima na hali ya hewa kumchelewesha.
Hiyo ni excuse ya kuwapa wakazi wa Chato lakini siyo sisi wenye akili zetu. Mkandarasi alipokuwa anaandika BOQ hakuona milima na kujuaj jiografia ya eneo?
 
Hiyo ni excuse ya kuwapa wakazi wa Chato lakini siyo sisi wenye akili zetu. Mkandarasi alipokuwa anaandika BOQ hakuona milima na kujuaj jiografia ya eneo?
Utumwe mtu mwenye akili na wewe umo? Nani hakujui we bwege? Hujui huwa kuna unforeseen circustamces huwa zinatokea?
 
..hata mimi kandarasi toka Egypt alinipa wasiwasi.

..pia naona Jpm aliweka " mayai yote kwenye kapu moja. "

..nilidhani busara ni kujenga miradi ya medium size ambayo in total ingekupa megawatts sawa na zinazozalishwa na mradi mmoja mkubwa.

..advantage ya miradi ambayo ni medium size ingekuwa ni uharaka wa kukamilisha ujenzi na kuingiza umeme ktk gridi ya taifa.
 
Endeleeni kujidanganya kwamba hatimae tutapata umeme wa bei nafuu kutoka JNHPP!!

Nishafafanua hili mara kadhaa kwa indicators za kiuchumi, lakini hata nikiacha mwenendo wa uchumi, turudi kwenye mradi wenyewe!!

Mradi utatumia takribani TZS 7 Trillion... hivi mnadhani hizo TZS 7 Trillion zitalipwa na nani kama sio na watumiaji?! Hadi deni la JNHPP linapungua kwa kiasi cha kuridhisha, kuna uwezekano mkubwa wakati huo hata matumizi ya umeme nchini yakawa yameongezeka!!

Matumizi yakishaongezeka, hizo 2500MW za JNHPP hazitaonekana nyingi tena, na hivyo TANESCO wataendelea na utaratibu ule ule wa ku-discourage matumizi makubwa ya umeme!

Una-discourage vipi matumizi makubwa ya umeme? Very simple... unaongeza bei ili watu waendelee kutumia mkaa kupikia badala ya umeme!!

Nikukumbushe tu kwamba, daladala huwa zinalikwepa Daraja la Kigamboni kwa sababu na lenyewe lilijengwa kwa mkopo, tena mkopo kutoka taaisis ya umma (NSSF) lakini ili pesa ya NSSF iweze kurudi ni lazima magari yawe yanalipia kupita darajani!
 
Nani asiyekujua wewe mnafiki na mpumbavu kwa data za kupika na kuokoteza kisa tu chuki zako kwa hayati JPM zionekane.
Sa' dadangu matusi ya nini?!

Ni frustration za kuachwa na Basha wako marehemu au watoto na mke halali wa marehemu wamekupa vitasa?!

Tafuta mume utulie, kima wewe!
 
Utumwe mtu mwenye akili na wewe umo? Nani hakujui we bwege? Hujui huwa kuna unforeseen circustamces huwa zinatokea?
Msukulue wa Hayati katika ubora wake! Ona unavyoendelea kudhihirisha upumbavu wako! Badala ya kujibu hoja, we kazi ya matusi tu as if hayo matusi yanauzwa.... VERY STUPID!!
 
Huna akili wewe kenge, kwa hiyo kama Tril 7 ikitumika kwenye umeke lazima tulipe gharama kwa kununua umeme? Kwani hakuna source zingine? Pumbavu na elimu ya kukaririshwa upuuzi.
 
Msukulue wa Hayati katika ubora wake! Ona unavyoendelea kudhihirisha upumbavu wako! Badala ya kujibu hoja, we kazi ya matusi tu as if hayo matusi yanauzwa.... VERY STUPID!!
We nishobokee nistalusugua mpaka ukojoe shenzi mkubwa.
 
Nipo mtwara huku huyu mama hawamuelewi ata kidogo nikama hawa masikini wamejikatia tamaa.
 
..asante kwa majibu yako ambayo umeyatetea kwa USHAHIDI wa data na vielelezo toka vyanzo vya serikali.

..tatizo la vijana wengi tunaojadiliana nao hapa JF ni kuamini zaidi ktk propaganda za Ccm kuliko ukweli na uhalisia.
 
Huna akili wewe kenge, kwa hiyo kama Tril 7 ikitumika kwenye umeke lazima tulipe gharama kwa kununua umeme? Kwani hakuna source zingine? Pumbavu na elimu ya kukaririshwa upuuzi.
We nishobokee nistalusugua mpaka ukojoe shenzi mkubwa.
Dadangu uwe unajibu unachoulizwa...

Nimekuuliza:-

Sasa matusi ya nini dadangu?

NI frustration za kuondokewa na basha wako marehemu au watoto na mke halali wa marehemu wamekupa vitasa?

Anza na hayo maswali, kima wewe!!
 
..asante kwa majibu yako ambayo umeyatetea kwa USHAHIDI wa data na vielelezo toka vyanzo vya serikali.

..tatizo la vijana wengi tunaojadiliana nao hapa JF ni kuamini zaidi ktk propaganda za Ccm kuliko ukweli na uhalisia.
Na ni ripoti ya serikali yao ile ile ambayo wamekuwa wakiimba lakini bila aibu, mtu anakuambia data za kupika!!

JPM aliwakamata hawa watu kwa sababu alishafahamu wengi wao ni vilaza wenye uwezo mdogo sana wa kuweza kutofautisha hata rangi...
 
Dadangu uwe unajibu unachoulizwa...

Nimekuuliza:-

Sasa matusi ya nini dadangu?

NI frustration za kuondokewa na basha wako marehemu au watoto na mke halali wa marehemu wamekupa vitasa?

Anza na hayo maswali, kima wewe!!
Nimekuambia nitakusugua mpaka ukojoe, we nishobokee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…