Angekuwepo Hayati Magufuli Ruby ya bilioni 240+ isingetoroshwa. Taifa litaibiwa sana rasilimali zake

Madini hata wakati wake Magufuli yalikuwa yanaibwa tu, tofauti na sasa ni kwamba vyombo vya habari viko huru kuripoti bila woga.


Pili hata Magufuli mwenyewe alikuwa mshirika kwenye uwizi wa madini kwa kushirikiana na Paul Kagame. Je unaikumbuka tukio la Magufuli kuingia gereza la Butimba na kuamuru watuhumiwa wa uvushaji dhahabu waachiwe? Kwa taarifa yako zilikuwa ni dhahabu zake na Kagame ila Polisi hawakujua ndiyo maana walizikamata
 
Ni kweli kabisa JPM alikuwa jizi kubwa sana kuliko awamu yeyote ile yeye pamoja na watu wake walikuwa wamejificha kwenye kivuli cha mwamvuli wa uzalendo kumbe ilikuwa uongo. Tangu tupate uhuru hakuna haijawahi tokea 1.5 tirion ikaibiwa kwa wakati mmoja bila maelezo yeyote hii ilitokea kipindi cha utawala wa JPM ndio maana hata riport ya CAG kipindi hiki ilikuwa inabumbwa ili watu wasijue ukweli wa mambo ndio sasa wanaumbuka kwa ufisadi walioufanya JPM na watu wake wakaribu
 
Hebu someni hii report fupi ya CAG ndio utajua ufisadi kipindi cha JPM
 
Ni vigumu kuamini kuwa vyombo husika havikuwa na habari. Kama havikuwa na habari basi tuna tatizo kubwa sana. Iwapo vitu vya uzito wa grammes chache vinakuwa detected na vinakamatwa inakuwaje jiwe kubwa kama hilo lipite undetected?!, we have a serious problem! Mungu tunusuru na kadhia hizi
 
Hayo madini ya rubi yalitoroshwa 2020 JPM akiwa madarakani na sio rubi tu hata Tanzanite watu wana ushaidi jinsi ilivyokuwa inatoroshwa nyie watu JPM mkileta hoja zenu za kipuuzi mjipange watu wana ushaidi wa kutosha wa ufisadi uliokuwa unafanywa kipindi cha JPM haya ndio madhara ya kuendesha serekali gizani
 
Namna ripoti ya CAG inapaswa kushughulikiwa unafahamu vizuri. Bahati nzuri ulikuwa M/kiti PAC.

Lugola alipiga dili zimamoto na likakamilika? Mbona alimtumbua.

Ishu ya Nchambi ilikuwa mahakamani ulitaka afanyeje?

Sabaya na Makonda?

Mwanyika na ufisadi wa mali ya umma wapi na wapi?
 
Waziri wa madini si yule yule Mnyarugusu aliyewekwa kwenye hiyo Wizara na JPM mwenyewe? Inakuwaje sasa anashindwa kumsaidia Rais SSH?
 
Kwa uongozi butu wa hiyu Royal movie, tutaibiwa kila kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…